Deyaz Adeo... @DeodathSangawe
Politcian , Business , Football and Mucic Kilimanjaro Tz Joined June 2016-
Tweets7K
-
Followers397
-
Following265
-
Likes10K
Siku hizi ukiwa serious sana kwenye Mahusiano unaachwa mchana kweupe! 💔😂
@DeodathSangawe @Twaha_Mwaipaya @TunduALissu @HildaNewton21 @HecheJohn @John_Pambalu Nitakuwa Dodoma,Singida,Arusha
Chora picha ya mpumbavu yule ingetolewa na @mdudechadematz ,@PMadeleka au @LusakoAlphonce au @AbdulkarimJum10 muda huu wangesakwa kama Mahaini au Magaidi. KOSA KUBWA LA YULE KIJANA AMEROPOKA UKWELI CCM WANAOPANGA CHUMBANI.Yule kijana amesema ukweli unaofichwa na viongozi wake.
Mimi siyo muumini wa Matusi kabisa. Lakini mwambieni ATULIZE MAKALIO yake. Mliua akina Alphonce Mawazo, mkamuia Ben Saanane, Azory Gwanda, mkampiga risasi Tundu Lissu mnadhani mtaganya Ujinga huo Tena Kwa mtu yeyote?. Bladfakeni
@donminja47 Au wajengewe nyumba zao angani wasiishi na sisi
Huyu jamaa ana vyeo vitatu, Yaani Mwamba, Mwanaume halafu Mfalme.
Huyu jamaa ana vyeo vitatu, Yaani Mwamba, Mwanaume halafu Mfalme.
Kumekuchaaaaaaaa... #MaandamanoYaAmaniShinyanga. Yatafanyika katika Mji wa Kahama na Mwamba @freemanmbowetz ataongoza maandamano haya. 🔥 #ProuderStrongerAndBetter ✊
@250_chacha Serious uliza JKT RUVU wote wanajua
Just imagine mwenetu anapigana against the whole country, plus Mange wenu Na Bado Jombaa Yuko Fiti MMM apewe maua yake🙌
@IAMartin_ @fatma_karume Kazini kwa fatma kuna kazi😄😄
@DrCyrilo Hiyo lugha anayotumia mwache aendelee - audience yake inamwelewa na kushawishika! Si kila mtu ni msomi! Tusimpangie 😃
@Born_T0WN Yaani ni hivi mi siwezi kukamatwa maana siko available! 😃 yaani ukishajua mbinu ya kiuanaharakati huwezi kushindwa kuwapokonya! Unafikiri utaleta suspicion kwa watu kuhusu mimi? Mbinu ya kijinga! Mi nimewindwa na kila mtu anajua ila wameshindwa!
Mange ni wa kupuuza, harakati zake ameziweka kwenye tumbo. Inaonekana ako na harakati za kutingisha. kwanini!? Amekosa consistency kama kweli anapiga harakati za kweli si za kutingisha au maokoto. Hatukuona anakomaa na oparesheni OKOA bandari zetu. (Hapa alitingisha siku moja…
@LamuRafael77 @SuluhuSamia @ExMayorUbungo @BabaMwita @PMadeleka @freemanmbowetz @abdulnondo2 @VitusNkuna @Twaha_Mwaipaya @John_Pambalu @Ndolezi_Petro Kumbe akili unazo sema unajifyatua tuu hahaha @DeodathSangawe @Emanuela_Andrew @Gomeezmarketer leo dish halijayumba
Ndugu zangu tukubali tu Yanga wamesajili na Wanawachezaji wa Kupambana. Tukitaka timu yetu ifike mbali tukubali ukweli na vitu vya wazi kama hivi. Hata wenzetu wakifungwa kipindi cha pili lakini wameonyesha ubora wa hali ya juu tofauti na sisi tulivyo tegemea.
@Ludan180 Mimi nimeonana naye na nilimpa heshima zote hata baada ya kupuyanga..
1. Ukimtongoza akakukatalia, usimzingue na kumzushia uongo. Siyo lazima kukubaliwa naye. 2. Mcheki mara moja. Mara ya pili. Hataki kujibu. Achana naye. Usimsumbue. Hamisha kambi. 3. Usijishushe kiwango cha mwisho. Hataki kuongea, achana naye. Usifosi. Siyo mama yako huyo bablai
@DeodathSangawe @MwanzoTvPlus @TunduALissu @olesendeka Sendeka si kada mwenzie
Uteuzi wa Makonda unajadiliwa sio kwa sababu ya chuki. Bali kwakuwa ni mshenzi, mhalifu, muuwaji, hana maadili na uadilifu. Wanaomsifia ni juu ya ujinga na ubinafsi wao. Makonda na aliyemteuwa wana kesi ya kujibu mbele ya Mahakama ya HAKI.
Boniface Jacob @ExMayorUbungo
450K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberMaria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Patrick John Assenga @PatrickJAssenga
67K Followers 2K Following Mwenyekiti CHADEMA Jimbo la Segerea | Mgombea Ubunge Rombo 2020 | Diwani Tabata 2015-2020 |Tito Magoti, PG @TitoMagoti
244K Followers 10K Following Bingwa. Attorney | Human rights, criminal justice, (African) human rights systems | #NguvuMoja🦁ClassMonitor👩�.. @Daktariwawatoto
100K Followers 5K Following Medical Practitioner⛑️Content Creator🎭@LFCJibril Haruna Musa @Jibrilharun187
17 Followers 259 FollowingGabriel F2 @feruz0769
27 Followers 62 Followingmary koromaay @koromaay37089
743 Followers 2K Following£1000✍️ @robb200000
153 Followers 718 FollowingSkyline @AntonyElia87437
14 Followers 183 FollowingCR WENU @GunnerfanEA
2K Followers 2K Following Chairman of Arsenal football club fans in East Africa,Yanga fan .Rodrick kasilati @KasilatiRodrick
909 Followers 3K FollowingLajuana Zalwsky @lajuana80272
88 Followers 5K FollowingBeatrix Mcnelley @b_mcnell
54 Followers 5K FollowingJoachim Mabula @JoachimMabula
355K Followers 36K Following Gender & Sexuality Fellow @UCL | Former Swahili Content Manager @AdaHealth | Former Clinical Research Fellow @BarrowNeuro | Advisory Board Member @YouthCNTDskvo bady @BadyKvo96494
109 Followers 484 FollowingHaji Hamadi @hamadi_haj43698
7 Followers 28 Followingwise mumy@shama'skitc.. @shamaskitchenet
1K Followers 1K Following a beautiful and wise lady mwanamke wa kisasa,mwanaharakati mzalendo mpenda haki mpambanaji mwenye hofu ya Mungu mjali utu kuliko vitu mama wa kipepeo mrembo.Boniface Mwabukusi @Mwabuk2Boniface
18K Followers 2K Following Advocate | father | husband. HUMAN RIGHTS. Tanzania🇹🇿 Politics Review. Busokelo.Newton Andrew @newtonandrew34
206 Followers 724 Following 🔰K/Hamasa seneti mkoa wa iringa 🔰MJ wa baraza UVCCM mkoa wa iringa 🔰MJ kamati ya utekelezaji 2022 🔰MJ mkutano mkuu UVCCM IRINGA2022 🔰EX-M/Kiti UVCCM TIHASAasma Khan @Aasma__Khan_
5K Followers 4K FollowingMasanja Igobeko @IgobekoMas46887
1 Followers 13 FollowingMr chuma @TafteniMpagike
2K Followers 3K Following the concept of life is false ll @SimbascTanzania ll @mancity ll @masandawanaTanganyika_1961 @emmdismas
288 Followers 458 FollowingHuncho Casanova @sabasyasin
789 Followers 2K Following Mtoto wa Mama! 💖💖 C.E.O Wavimbaji Family Businessman C.E.O Sabas Home Of Printers Owner Printing T-shirts BusinessThe King Kibwana Jr. @JumaShaban89935
18 Followers 223 FollowingTYGER @tagaya01
11K Followers 9K FollowingRobert Metana @robertmetana
11K Followers 6K FollowingFarag @FNjonjoma
815 Followers 898 Following Engineering student, engineering technician, local footballer-midfilder maestro😎 _Gospel preacherCERTIFIED HATER.🚀 @Noedson_tz
16K Followers 4K Followinganderson Julius @julius956461
653 Followers 3K Following Man united & Yanga fan ,(BSc.ed)@udsm, psychologistlinnie @linnie54482432
4 Followers 115 Followinggenes Emanuel mrema @genes_mrema
81 Followers 600 FollowingDevota Minja @DevotaMinja
14K Followers 6K Following Professional journalist ,worked with ITV /Radio one 2002-2015 Former Mp Morogoro region (special seat)2015-2020. To date Chairperson of Bawacha Morogoro region.GIFT WILLIAM🇹🇿 @Giftwilliam_
8K Followers 7K Following Son of Africa/ Proudly Tanzanian🇹🇿 / Educationist #BeatitudoEstOmniaExpensive Boy Iringa .. @NyenzajuniorPJN
2K Followers 2K Following Studied Sokoine university of Agriculture SUA yanga Fc, Barcelona Fc & Manchester city Fansjaysure @joshua_alfredy
495 Followers 1K Following Business Man ¶¶ Instagram @jaysure_accessories @darbagz ¶¶ Google map 🗺 - JAYSURE ACCESSORIES STOREMartin Maranja Masese @IAMartin_
501K Followers 2K Following MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum |Boniface Jacob @ExMayorUbungo
450K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberMaria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,John Heche @HecheJohn
734K Followers 1K Following Member of chadema central committee. Former Member of Parliament ,Tarime rural constituency 2015- 2020.Godbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherFreeman Mbowe @freemanmbowetz
629K Followers 498 Following Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA & Chairman for DUAPatrick John Assenga @PatrickJAssenga
67K Followers 2K Following Mwenyekiti CHADEMA Jimbo la Segerea | Mgombea Ubunge Rombo 2020 | Diwani Tabata 2015-2020 |fatma karume aka Shan.. @fatma_karume
1.1M Followers 601 Following Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fightThink Different @lifeofmshaba
420K Followers 3K Following #ChangeTanzania |#KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi | for activism contact via WhatssApp and Telegram +1 (862) 438-3337 |Personal Views| like Not upholding |Mohammed Dewji MO @moodewji
2.1M Followers 131 Following President, @MeTL_Group || Founder, @DewjiFoundation || President, @SimbaSCTanzania #HoyaTundu Antiphas Lissu @TunduALissu
741K Followers 308 Following Tanzania 🇹🇿 Presidential Candidate 2020 for @chadematz | Former President of the Tanganyika Law Society | Parliamentarian | Political Leader | Survivor#NIPENI_MAUA_YANGU�.. @Roma_Mkatoliki
1.1M Followers 149 Following Rapper/Songwriter/Best Hip Hop Artist 2012 and Best Hip Hop Song(MATHEMATICS)2012, ACTIVIST🎤John Pambalu @John_Pambalu
281K Followers 1K Following BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.Yericko Nyerere @YerickoNyerereT
254K Followers 4K Following @Zikomoawards: Best AUTHOR of the Year in Africa 2023 | Intelligence and Security Analyst | Member of National Assembly of CHADEMA | Chairman-YECCO GROUP LTD.Tito Magoti, PG @TitoMagoti
244K Followers 10K Following Bingwa. Attorney | Human rights, criminal justice, (African) human rights systems | #NguvuMoja🦁Jebra Kambole @Advocate_Jebra
335K Followers 299 Following Law Guards Advocates, Criminal, Corporate and Civil Litigation lawyer. Togo Tower, kinondoni Business Only Call +255748334032Mdude Chadema @mdudechadematz
122K Followers 389 Following I'm back from prison. MDUDE PEOPLE'S VOICE (MPV). An Activist For Democracy and Good Governance. Tanzanian🇹🇿.Jibril Haruna Musa @Jibrilharun187
17 Followers 259 Followingelyneema yuda🇹🇿.. @elyneema
6K Followers 5K Following #Combatant,teacher by professional(BAED),Analyst,adovocate(a voice to the voiceless),political figure,young Marxist,Next Mp, Father, mhazini Bavicha UkongaCR WENU @GunnerfanEA
2K Followers 2K Following Chairman of Arsenal football club fans in East Africa,Yanga fan .Rodrick kasilati @KasilatiRodrick
909 Followers 3K Followingthanosflips 🇹🇿 @karibuarchitect
2K Followers 677 Following Whether it impacted our precious freedoms or not, that's what we needed.𝑵𝒐𝒗𝒂𝒉_.. @Cassanovah_
3K Followers 2K Following 𝑪𝒐𝒎𝒎𝒊𝒕 𝒕𝒐 𝒕𝒉𝒆 𝑳𝒐𝒓𝒅 𝒘𝒉𝒂𝒕𝒆𝒗𝒆𝒓 𝒚𝒐𝒖 𝒅𝒐,𝒂𝒏𝒅 𝒚𝒐𝒖𝒓 𝒑𝒍𝒂𝒏𝒔 𝒘𝒊𝒍𝒍 𝒃𝒆 𝒔𝒖𝒄𝒄𝒆𝒔f𝒖𝒍 @manutd 🔴⚪️ @youngafricanssc💛💚⚡️EMMA A KIMAMBO @Emmakimambo1
2K Followers 2K Following Chairperson CHADEMA youth Wing Arusha Region//Activist//Married//mother//Photographer//Simba fanDr. Chris Cyrilo @DrCyrilo
33K Followers 1K Following Medical Doctor | Author | Health Literacy | Critics. +255713933736 +255745830775CHADEMA Jimbo la Hai @ChademaHai
10K Followers 25 Following Official Account For Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Hai Constituency. #HaiKwenyeRamani #SeraZaChademaThabit Jacob, PhD @ThabitSenior
103K Followers 4K Following Scholar, feather ruffler & lots of other hats. Political economy of devt, all things Energy, Extractives & more. ⚽️ junkie 🦁💙. Not necessarily in that orderKolnerio Frances Odon.. @KolnerioO
6K Followers 764 FollowingMwishowadunia @Mwishowadunia
7K Followers 10 Following Kizazi kilichojawa na uchafu na uasherati kitatafuta ishara lakini hakitaona lakini ishara pekee itakayoonekana ni ya yona #TruthSeekerSweety✨ @sweertheaty
7K Followers 2K Following God over everything| Humble girl 😘| Lastborn🥂| arsenal 🩵 & ✨Sheila Mchamba @SheilaMchamba
8K Followers 332 Following GOD OVER EVERYTHING ||CHIEF EXECUTIVE OFFICER OF NURU YA BINTI ORGANIZATION 👸🏾||CHADEMA’S LITTLE PRINCESS👸🏾Haji Hamadi @hamadi_haj43698
7 Followers 28 FollowingIssa Shivji @IssaShivji
163K Followers 67 Following Professor Emeritus of Public Law & First Julius Nyerere University Prof, Uni of Dar es Salaam. THE ART OF KNOWING IS KNOWING WHAT TO IGNORE -Rumiwise mumy@shama'skitc.. @shamaskitchenet
1K Followers 1K Following a beautiful and wise lady mwanamke wa kisasa,mwanaharakati mzalendo mpenda haki mpambanaji mwenye hofu ya Mungu mjali utu kuliko vitu mama wa kipepeo mrembo.Aasma Khan @Aasma__Khan_
5K Followers 4K FollowingMasanja Igobeko @IgobekoMas46887
1 Followers 13 FollowingMr chuma @TafteniMpagike
2K Followers 3K Following the concept of life is false ll @SimbascTanzania ll @mancity ll @masandawanaTanganyika_1961 @emmdismas
288 Followers 458 FollowingHuncho Casanova @sabasyasin
789 Followers 2K Following Mtoto wa Mama! 💖💖 C.E.O Wavimbaji Family Businessman C.E.O Sabas Home Of Printers Owner Printing T-shirts BusinessThe King Kibwana Jr. @JumaShaban89935
18 Followers 223 FollowingTYGER @tagaya01
11K Followers 9K FollowingRobert Metana @robertmetana
11K Followers 6K FollowingFarag @FNjonjoma
815 Followers 898 Following Engineering student, engineering technician, local footballer-midfilder maestro😎 _Gospel preacherChadema Kanda ya Sere.. @ChademaSerenget
33K Followers 379 Following Mara, Shinyanga and Simiyu are the regions forming CHADEMA Serengeti Zone. The account will provide all the informations, events and activities of CHADEMA.James Mbowe @JamesMbowe4
35K Followers 331 FollowingDevota Minja @DevotaMinja
14K Followers 6K Following Professional journalist ,worked with ITV /Radio one 2002-2015 Former Mp Morogoro region (special seat)2015-2020. To date Chairperson of Bawacha Morogoro region.Advocate Paul Kisabo @Advocate_Kisabo
6K Followers 138 Following Advocate~ Nimble Person ~ Human Rights Defender ~Justice AmbassadorGIFT WILLIAM🇹🇿 @Giftwilliam_
8K Followers 7K Following Son of Africa/ Proudly Tanzanian🇹🇿 / Educationist #BeatitudoEstOmniaExpensive Boy Iringa .. @NyenzajuniorPJN
2K Followers 2K Following Studied Sokoine university of Agriculture SUA yanga Fc, Barcelona Fc & Manchester city Fansdidas mkumbwa @DidasMkumbwa
11 Followers 76 FollowingVictor Lashiko @victor_las34439
25 Followers 131 FollowingMtazamo ni kawaida, licha ya suala kuhitaji wataalamu, wananchi wananchi wana chaguo la kusema wanavyoona - na demokrasia, wakati mwingine, inawapa ushindi 'wajinga' kutokana na idadi yao. Kura zinapigwa vivyohivyo.. sasa kosa la @TheCitizenTz ni lipi hadi waombe radhi?
@MalisaGJ_ @ExMayorUbungo Nini msingi wa matukio ya aina hii katika nchi yetu kila kukicha? Kauli hasa ya @tanpol @WizaraMNN @EngineerMasauni ni ipi? @JonMrema @godbless_lema @MariaSTsehai @humanrightstz @PMadeleka @joeselasini @hakaido2 @Mugaka_N @HildaNewton21 @lifeofmshaba @TitoMagoti @Mwabuk2Boniface
@Noedson_tz Wanaoiba mabillion RB zao zinatolewa wapi?
Siku hizi ukiwa serious sana kwenye Mahusiano unaachwa mchana kweupe! 💔😂
@IAMartin_ Anakuja kutafuta huruma baada ya kumkuta!! Hwa waache yawakute tu wnatunyanyasa sna hawajui tu ndio wnaochangia sna kurudisha halakati za kutafuta haki
@DeodathSangawe @Twaha_Mwaipaya @TunduALissu @HildaNewton21 @HecheJohn @John_Pambalu Nitakuwa Dodoma,Singida,Arusha
Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. @TunduALissu ataongoza maandamano akipita route hii. 1. Tarehe 25/4/2024-Arusha 2. Tarehe 26/4/2024-Manyara 3. Tarehe 27/4/2024-Singida 4. Tarehe 29/4/2024-Dodoma 5. Tarehe 30/4/2024-Morogoro
Chora picha ya mpumbavu yule ingetolewa na @mdudechadematz ,@PMadeleka au @LusakoAlphonce au @AbdulkarimJum10 muda huu wangesakwa kama Mahaini au Magaidi. KOSA KUBWA LA YULE KIJANA AMEROPOKA UKWELI CCM WANAOPANGA CHUMBANI.Yule kijana amesema ukweli unaofichwa na viongozi wake.
Hii ilikuwa tarehe 1/7/2016 nikiwa nawahi kuingia kikao cha Kamati ya fedha ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kama mjumbe (Meya wa Manispaa ya Kinondoni). Nje ya Ukumbi wa Karimjee ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam palikuwa na shughuli ya mahafali ya Mawakili…
@HecheJohn @Mwabuk2Boniface Naungana nawewe kaka heche hata kwa kidogo nitakachokua nacho ili jambo lifanikiwe
Mimi siyo muumini wa Matusi kabisa. Lakini mwambieni ATULIZE MAKALIO yake. Mliua akina Alphonce Mawazo, mkamuia Ben Saanane, Azory Gwanda, mkampiga risasi Tundu Lissu mnadhani mtaganya Ujinga huo Tena Kwa mtu yeyote?. Bladfakeni
Nina hasira sana na SSH. Fikiria Kennedy Mwamlima anaonyesha udhaifu wa utendaji wake ukosefu wa barabara, maji, zahanati n.k huko TikTok anatekwa. Halafu hawa watekaji wa Task Force wanamuuliza ametumwa na nani kuibua mapungufu ya serikali ya SSH? Napata hasira mpaka natetemeka
@donminja47 Au wajengewe nyumba zao angani wasiishi na sisi
Huyu jamaa ana vyeo vitatu, Yaani Mwamba, Mwanaume halafu Mfalme.
Duniani kuna mambo sana Kuna dada kanifata anaomba ushauri Ameolewa na amefanikiwa watoto 3 Kuna kipindi alichepuka na rafiki wa mume wake akapata ujauzito na kuzaa mtoto wa 3 Sasa anasema toka ajifungue mtoto ana miezi 7 sasa mume wake hajawahi kusex naye wala kuongea…
Kumekuchaaaaaaaa... #MaandamanoYaAmaniShinyanga. Yatafanyika katika Mji wa Kahama na Mwamba @freemanmbowetz ataongoza maandamano haya. 🔥 #ProuderStrongerAndBetter ✊
25/9/2023 niliandika hapa juu ya taarifa zinazohusu @TuliaAckson kufadhili kikosi cha Green Guard ili aniuwe kwa kunikata mapanga. 7/10/2023 niliandika taarifa za TISS Mbeya kupanga tukio hilohilo juu yangu Tukio la Mwamlima kutekwa tunawatuhumu Tulia na TISS Mbeya kuhusika.
@250_chacha Serious uliza JKT RUVU wote wanajua
@joeselasini @hakaido2 @HildaNewton21 Mimi ukiniomba kama Kuhani nije kubariki, nikaja,wewe ukaleta makamera,kosa langu ni lipi?. Sidhani kama Muadhama Pengo anaweza endorse dhambi na Uhalifu. Sidhani kama ombi na baraka alompa ni endorsement ya Uhalifu.
Nyie si mnapenda dhulma haya pambaneni na hali yenu hapo Msituambia habari ya Matusi mbona nyie mnaua ndugu zetu Maasai na #KatibaMpya Mmegomea ili mtuibia madawa hospital, bima ya afya kwa watoto mmefuta Halafu mtu awarushie Makombora mtulilie? Anzeni nyie ustaarabu…
Mwanasheria Mkuu wa Serikali MSHAURI Mh. Rais ATEUE Waziri Mkuu kwanza KABLA ya kufanya mabadiliko kwenye Baraza la Mawaziri. La sivyo, hata kama atabadili Mawaziri wote, bado hiyo Cabinet itakuwa BATILI tu (unconstitutional). Nini kinaendelea hasa! Msaidieni huyu MAMA jamani.