Mnaona wenye mpira wao wanavyochambua? Kweli kabisa Lukaku anafungua makima hayampigii pass. Chelsea kuna michezaji mibovu inajificha kwenye pazia la lukaku hajui kucheza.
@BobMchelsea Kweli kabisa aisee , leo kafanya movements lakini mipira haiendi. Binadamu wa kawaida lazima umaindi
@George_Ambangil @BobMchelsea Kuna jambo pia haliko sawa wachezaji wanaonekana kuchoka sana pia chelsea mbona kila wiki wanacheza wao tu hata siku mmoja sijaskia game yao imehairishwa kuna nn ?
@kareemKTBFFH @George_Ambangil Hao man city game yao imehairishwa ipi? Kaka huko kujitetea kwa kiboya sana
@BobMchelsea @George_Ambangil Key player wa man city ambaye ni majeruhi ni nan?
@kareemKTBFFH @BobMchelsea Hivi unajua City kabla ya mambo ya kuahirishwa mechi hapa oktoba alipata sana majeruhi . Sema tu kikosi chao kipana cha quality na kocha mzuri ba hiyo sio kosa lao ... hakuna anayezuiwa kusajili wachezaji wengi wazuri . Wiki iliyopita walipata covid cases nao nyingi tu
@George_Ambangil @kareemKTBFFH @BobMchelsea Majeruhi gan zaid ya debryne hee😀
@hassani_hilali @kareemKTBFFH @BobMchelsea Tafuta bro. Foden aliumia, Gundo aliumia, kuna mechi mbili hapa kati kacheza Ndinho , Rodri aliumia , Walker aliumwa akakosa some games .
@George_Ambangil @kareemKTBFFH @BobMchelsea Anaumia mmoja mwingine anarudi chelsea wanaumia kwa pamoja