Leo tarehe 01 Agosti, 2021 nimewaongoza Waandishi wa Habari wenzangu kupokea chanjo dhidi ya Uviko-19 (Korona). Nimechoma chanjo aina ya Jansen. Nimetekeleza ushauri wa Wataalamu wetu wa afya kuwa ukichanja unajikunga na unawakinga wengine dhidi ya ugonjwa wa Korona. 🙏🏼🙏🏼
202
46
759
0
2
Download Image