#sports Msemaji wa Yanga, Ali kamwe akieleza ni jinsi gani timu bado inanguvu na uwezo wa kubadilisha matokeo katika mkondo wa pili wa fainali huko Algeria wikiendi ijayo. 'Kama walivyopata matokea nasisi tunauwezo wa kupata huko kwao' - Ali kamwe. #yanga #CAFCCFinal #USMAlger
0
0
0
51
0
Download Video