#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 44
Jaji Nduguru anamuuliza
Mshitakiwa unasemaje?
Mhe. Lissu anasema Waheshimiwa Majaji baada ya kusikia orodha ya mashahidi na vielelezo naomba kusema yafuatayo.
Nina mambo mawili yakusema.
Ninalo lakwanza na la pili ni maelekezo ya…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 40
Mahakama haiwezi kwenda nje huko lakini sisi upande wa Jamhuri tunaathirika tulionekana hati yetu tumekiri kuwa ni mbovu na vyombo vya habari vinapotosha na vyombo vya habari vinalenga kupotosha.
Sasa Mahakama inaweza hata kumsummon huyu Chombo…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 9
Anaendelea Mhe. Lissu
Sasa hoja ni je yanayozungumzwa kwenye hivyo vifungu yanazungumzia confession peke yake?
S. 263(3) of CPA inasema you may say anything that relevant to charge against you and will be written and may be used in evidence…
Hii kauli kwamba hafanyi siasa!!! Nani anawambia watanzania kwamba watatekwa wanasiasa tu?
Hakuna aliesalama kwenye Nchi isiyo salama..
Sote tunapaswa kujitokeza kukomesha uhuni huu ili tuwe salama.
Serikali ya hovyo inayoshindwa kulinda uhai wa binadamu haitakiwi kuwa…
Hii kauli kwamba hafanyi siasa!!! Nani anawambia watanzania kwamba watatekwa wanasiasa tu?
Hakuna aliesalama kwenye Nchi isiyo salama..
Sote tunapaswa kujitokeza kukomesha uhuni huu ili tuwe salama.
Serikali ya hovyo inayoshindwa kulinda uhai wa binadamu haitakiwi kuwa…
“ Uwepo wa Lissu katika kesi yoyote mahakama kuu isichukuliwe kama jambo la kawaida na wakili tu wa upande wa utetezi. Bali Ichukuliwe kama Afisa thabiti wa mahakama kuu Ambaye Akisimama katika kesi yoyote kuna jambo jipya katika sheria zetu mahakama na Nchi itafaidika"*
JAJI…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 13
Anaendelea Mhe. Lissu
Upande wa mashitaka unalazimisha kuipa mamlaka Kisutu ambayo haikuwa na hayo mamlaka, wao wanasema inayo mamlaka mimi nasema haina.
George Abdon Kilinga mahakama inasema walikubaliana.Totally wrong. It is…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 11
Anaendelea Mhe. Lissu
Walinipa uamuzi wa kesi ya Ishengoma na wenzake sita.
Kesi ya Mahakama ya Rufani hiyo Kesi ya Donatus Ishengoma ukurasa wa 15 umecite kesi ya Mbogo niliyoitaja hapo awali.
Anasoma hiyo kesi hapa ilichosema. Maelezo…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Leo September 11, 2025
Jana tuliishia Part 9 so leo tunaendelea na
Part 10
Hali ya hewa ya mahakama ni nzuri na imetulia.
Askari magereza wameingia hawa wawili watatu ambao wamekuwa wakivaa haya madude usoni ingawa wengi wao siku hizi hawajifichi…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Leo Septemba 9, 2025
Part 1
Kesi imeanza Mhe. Lissu ameingia. Katuga amesimama na kutambulisha jopo lake na mshitakiwa amesema yuko tayari.
Jaji amesema naomba nitoe mrejesho wa tulianzia wapi jana na tuliishia wapi? Ametoa huo mrejesho kuwa sasa…
TANZIA
Kwa huzuni na masikitiko makubwa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatangaza kifo cha George Mwingira, maarufu kama MC Mwingira, msanii mkubwa na shupavu wa chama, aliyefariki dunia katika ajali ya basi la SAMA Luxury lililokuwa likisafiri kutoka Songea…
"Labda niwakumbushe tena Sitakwenda kupiga kura nchi hii hadi tutakapomudu kupiga kura kidigitali. Napiga kura yangu naiona inakwenda kwa mlengwa.
Nchi hii tunapiga kura lakini hatuchaguani" :~ Prof Mussa Assad
UPDATES | KESI YA MASHIHIDI WA SIRI
Mahakama Kuu imetoa uamuzi kuhusu shauri lililofunguliwa na Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 , Mheshimiwa @TunduALissu , kupinga ombi la Jamhuri kutumia mashahidi wa siri katika kesi ya uchochezi inayoendelea Mahakama ya Kisutu.
Katika uamuzi…
@zittokabwe It is important to recognize that history will remember Zitto Kabwe not as an opposition or revolutionary figure, but as an opportunist and broker who contributed to the decline of Tanzania’s democracy.
171 Followers 451 FollowingChadema In BLOOD, ✌️✌️NO One Can Silence The Truth,,,,We Must Match Forward To The Victory In Our Life Time
HASTA LA VICTORIA SIEMPRE!!!
7K Followers 338 FollowingHuman Rights Activist & Good Rule of Law || GROUNDERS Media Communication Officer || Chairman of BAVICHA Ilala State || Member of CHADEMA Political Party....
212 Followers 423 Followinglet's hustle together and reach success together ,lets our hustle speak louder than our mouth , join the team of (FHT) FOREVER HUSTLER'S TANZANIA 📌one love ❤️
43K Followers 3K FollowingLaboratory scientist 🥼 | Picha mbao| Story Za Mziki bongo #MadiniNaPatron
Whatsup 0769063447 business
https://t.co/eafnnrcZyv
3K Followers 4K FollowingMgalilaya,,Proud to be Adventist 🙏~ Chelsea fans 💙Simba Damu🦁~59252474 Mpesa lipa No Christina ~mama ntilie🍲 0687747579📲..Sgr Dodoma ..opp na jengo la TRC
3K Followers 1K FollowingDevelopment, implementation and trade of artificial intelligence solutions aimed at analyzing and supporting the decision-making processes of companies.
327 Followers 2K Followinghuman rights activist.
tutapigania haki za wote waliotekwa, tutapaza sauti bila kuchoka kupinga ukandamizaji wa haki ya kuishi ya kila binadamu. kindly follow.
352K Followers 989 FollowingFounder & CEO @TibaFasta | Advisory Board Member @YouthCNTDs | Former Gender & Sexuality Fellow @UCL | Former Clinical Research Fellow @BarrowNeuro
51K Followers 5K FollowingSDA || Doctor || Psychologist || Family and Marriage therapist || Helping spouse save their marriage. Sharing insights on my 6+ years of happy marriage.
23K Followers 144 FollowingGrow your Company/Business Sales with Me | Increase your Market Outreach with Me | I'm the Founder & MD at @ebdigitaltec | JESUS IS MY LORD
171 Followers 451 FollowingChadema In BLOOD, ✌️✌️NO One Can Silence The Truth,,,,We Must Match Forward To The Victory In Our Life Time
HASTA LA VICTORIA SIEMPRE!!!
2.1M Followers 9K FollowingHusband. Dad. Patriot. Presidential Aspirant, Kenya 2027. Let’s work together to build a Kenya that works for all of us. #LoveAndCourage #BonifaceMwangi2027
39K Followers 680 FollowingFounder of @MalemboFarm l @AcademyFarms l Helping new and experienced Agribusiness investors make better trading decisions through research and market updates.
3K Followers 1K FollowingAn independent activist, I fight to free my country in darkness. All of our associations, let us educate each other, let us remind each other of our roles.
110K Followers 705 Following🔛#Chadema| Central Committee Member|
A Former Chairperson Of CHADEMA National Youth Council (BAVICHA)|
🔜Next Isimani MP 2025|
Politician & Entrepreneur|
2K Followers 218 Following- Politician-Chadema Secretary Nyasa zone.
- Born again Christian
- An Entrepreneur| Founder of Urithi Co. Ltd |Tourism| food|realestate @urithi03 @urithitours
82K Followers 5K FollowingInternational lawyer specialising in political advocacy and human rights.
Founder and Managing Partner of Amsterdam & Partners LLP.
No recent Favorites. New Favorites will appear here.