Soja huko karen ananiona kwa nduthi ya elfu mia tatu alafu ananiuliza kama nimeleta delivery? Nimamwambia aulize nyanya yake iyo swali. How can you disrespect me like that
Nishatuma email kuapply kazi yenye I don't even have half the requirements. The same way I'm frustrated ndio nataka pia admin aone page moja ya CV aclick mpaka ulimi ing'oke