Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amewaahidi wakazi wa Kigoma kwamba endapo watamchagua kuwa Mbunge atashusha bei ya Saruji (Cement) inayozalishwa mkoani humo.
Zitto amesema bidhaa hiyo inauzwa kwa bei sawa na sarujiā¦
Wapora Ardhi au majasiri sana, na hawaogopi kuvunja sheria.
Na wanashirikiana kwa karibu sana na Watendaji au wenye mamlaka.
Naongea kama mtu ambaye nimewahi kuona live.
VIDEO:
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akitembea kuomba kura mtaa kwa mtaa katika Kata ya Buhanda, Kigoma Mjini.
Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera amekubali kushindwa na Rais wa zamani Peter Mutharika, kwa kutambua matakwa ya Wananchi na kuheshimu Katiba.
Mutharika alichukua Uongozi kwa zaidi ya 65% ya kura halali zilizopigwa katika uchaguzi wa Septemba 16.
Mgombea anahitaji 50% pamoja naā¦
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akibadilishana mawazo na Bill Gates usiku kuamkia leo ambapo ameshiriki katika hafla ya āGoalkeepersā Jijini New York Marekani, iliyoandaliwa na Taasisi ya Bill Gates na kukutana na wadau mbalimbali.
Hafla hiyo ambayo ilihusu masuala yaā¦
Aisee uwa nachukia sana kupeana taarifa ya vitu ambavyo sio emergency kama Emergency, I mean ulikua na uwezo wa kusema jambo mapema watu wakajiandaa na kusolve issues mapema, ila mnakuja kukimbizana kwenye suala halikua na udharura huo.
Huu nao ni ujinga mwingine.
Maxi Mpia Nzengeli netted our opening goal of the NBC Premier League 2024/25.
Tonight at 19:00 Mkapa Stadium becomes the stage for a new beginning 2025/26.
#TheClubAboveAll#DaimaMbeleNyumaMwiko
Unadanganya watu eti ukipewa uraisi uta ajiri watumishi wa afya na walimu elfu 10 hadi kufikia December, meanwhile hawa watumishi wa mkataba wanaolipwa nusu ya mshahara umeshindwa kulipa watumishi zaidi ya 200 wamefukuzwa kazi hospital ya Muhimbili. Nchi imekushinda SAMIA
#VIDEO Ajali inayohusisha lori lililobeba kontena imetokea asubuhi hii karibu na daraja la Mto Mzinga, Mbagala jijini Dar es Salaam. Chanzo na idadi ya majeruhi bado havijafahamika wakati vyombo vya uokoaji vikielekea eneo la tukio la tukio.
Endelea kufuatilia East Africa TVā¦
6 Followers 5 FollowingYou are not broke. You just didn't have daddy's money, rich relatives, or connections. You are building everything from scratch. Dear bro, your time will come.
6 Followers 5 FollowingYou are not broke. You just didn't have daddy's money, rich relatives, or connections. You are building everything from scratch. Dear bro, your time will come.
1.2M Followers 2 FollowingSubscribe for the best X experience: ad-free, post edits, content monetization, Grok AI with higher limits, video downloads, long posts, X Pro, and more.
4K Followers 3K FollowingUnapologetically speaking truth to power | Advocate for justice, equity & radical societal reform | Voices raised, systems shaken, change inevitable. #freedom