Dada anaishi Mpendae-Zanzbar ni mgonjwa mwaka 4 naomba kama wadau tumchangie aweze kupata mashine ya kupumulia.
@BarakaMaviatu @__abdulazack @advocate_silayo @amprincess9 @AyoubChakah @ayubu_madenge @B_Rashfordy @babalao__ @bajabiri @Big0047 @bob_mchelsea Serikali ya ccm nina imani haishindwi hili,,, @__abdulazack fikishen salam kwa mama enu aokoe jahazi hili inshallah
@BarakaMaviatu @__abdulazack @advocate_silayo @amprincess9 @AyoubChakah @ayubu_madenge @B_Rashfordy @babalao__ @bajabiri @Big0047 @bob_mchelsea Kuna sehem nimesoma kwamba before kuchangidha ni lazma uombe na upewe kibali kwanza
@BarakaMaviatu @Nunda255 @__abdulazack @advocate_silayo @amprincess9 @AyoubChakah @ayubu_madenge @B_Rashfordy @babalao__ @bajabiri @Big0047 @bob_mchelsea Mungu amtangulie apone salama