Kuna haja gani ya kamati? It's like mnatengeneza tatizo ili mtatue! Achana na kamati agiza wakuu wa mikoa ,wakuu wa wilaya na watendaji kata na mitaa,au vijiji hutaona chinga mgeni.
Stop chasing the world because it will never give you a healed heart.
The more you try to pursue worldly desires, the greater the likelihood of experiencing heartbreak.
@godbless_lema@CarolNdosi Upooooo! Hili lisisahaulike chuki dhidi ya police haikubaliki lisemwe baada ushindi. Wengine wana mapenzi mema na nchi shida ni approach
TRUMP ANATUFANYA TUMHITAJI TUNDU LISSU SASA KULIKO WAKATI MWINGINE WOWOTE.
Bila shaka mmesikia executive orders alizosaini @realDonaldTrump siku ya kwanza ofisini.
Moja ni kuiondoa USA kwenye @WHO . FYI, USA ni moja kati ya funders wakubwa wa WHO, wengine ni Billl Gates pamoja na serikali ya Ujerumani.
Kama sikosei ni jana tu nimesikia WHO wameipa Tanzania Billioni 7.5.
Executive order nyingine ambayo Trump amesaini leo ni ile ya kuzuia misaada ya Marekani kwa mataifa ya nje, mojawapo ikiwa Tanzania.
Tukumbushane kidogo, mwaka 2023 VP wa Marekani alipledge dola billioni 1.1$ kama AID kwa Tanzania kwa kipindi cha miaka mitano.
Bajeti ya Marekani ya AID kwa Tanzania mwaka 2024 ilikuwa dola milioni 561$ kwa mujibu wa @AidData .
Kwa lugha nyepesi, tunaweza kusema baada ya President Trump kuingia madarakani leo rasmi, there is no more free lunch.
Sasa kwa taifa ambalo mpaka Tundu la choo cha shule tunategemea kuchimba kwa msaada wa watu wa Marekani, you can tell the gravity of this.
Hii ni sababu nyingine ya wajumbe wa mkutano mkuu wa @ChademaTz kutuletea @TunduALissu .
Bila kuwa na upinzani wenye nguvu ya kusimamia nidhamu ya matumizi ya serikali, kudai accountability, na kuhakikisha kila shilingi ya umma inatumika kwa maslahi mapana ya umma, watanzania wengi sana watateseka kwa kukosa hii misaada.
WAJUMBE WANAHITAJI KUONA PICHA KUBWA.
Kwakuwa tunaanza na UCHAGUZI wa MAKAMU MWENYEKITI, basi ni wazi kuwa WAKALA JASUSI ataweka REKODI kama WAKALA wa kwanza kupigwa kwenye chaguzi za 2025.
Tuweke sawa hii rekodi.
Boni Yai: Kaka niombee msamaha kwa Watanzania nimeyakanyaga nanuka mwili mzima
Lema: Waambie kwanza hela za Ghorofa zilitoka kwenye dili la kumuuza nani?
😂😂😂😂
5K Followers 6K FollowingMgalilaya,,Proud to be Adventist 🙏~ Chelsea fans 💙Simba Damu🦁~59252474 Mpesa lipa No Christina ~mama ntilie🍲 0687747579📲..Sgr Dodoma ..opp na jengo la TRC
29K Followers 20K FollowingUchaguzi wa Mwaka Huu Upinzani Tunaitaji Kushinda ili na Chama Cha CCM kiwe Chama Cha Upinzani, Kione Joto la Kuitwa Chama cha Upinzani.
Maneno yenu ya Umbay
66 Followers 470 FollowingNo one has finer command of language than the person who keeps his mouth shut
#Simbasportclubfan
#Nguvumoja
#ArsenalfanCoyG
#APHANAMEDICALCOMPANYCEO
11K Followers 5K FollowingEntrepreneur | Writer | Chartist | Content Manager. | 📚Novels: MAFIA CASH Book One 2020, Time After Time, Lengo la Siri 2017, The Rise Of Bantu Conmen 2021
23K Followers 24K FollowingTunauza vifaa vyote vya ujenzi tunapatikana Arusha mtaa wa sabena simu 0755-868931 pia tunauza viwanja kwa ajili ya ujenzi na mashamba maeneo yote Arusha na Dar
1.4M Followers 325 FollowingDirector of the Federal Bureau of Investigation, #9 Former Chief of Staff for DoD, Deputy Assistant to President Trump, Trump Senior Advisor. K$H Foundation
7K Followers 3K FollowingMimi ni mwanaharakati mpenda haki za watu wote ,..Sipendi kuona binadamu mwenye nguvu anamuonea binadamu mwenzie kwasababu tu ana nguvu ,Napenda Haki Sawa 🙏
3K Followers 1K FollowingExec.MusicProducer/Composer,
Genre-Bender #AED*Afrobeats, Electronic & Drill,
*T W I S T *
Writer/Animator/Comic Artist/Director/Teacher
174K Followers 2K FollowingThe most accurate football odds and news | Powered by @KalshiSports | Trade against others, not a house https://t.co/mtwdM2p7HZ