We are a tech-enabled circular steel company that transformes Africa's steel value chain by using AI.
☎️ +255 768 500 555
🇹🇿 Proudly #Tanzaniacountrymaterial.com Dar es Salaam, TanzaniaJoined November 2024
Leo tuko site kuona matokeo ya kazi yetu. Mradi huu mkubwa umejengwa kwa NONDO BS 500 kutoka COUNTRY MATERIALS LIMITED.
Kutoka ofisini kwetu mpaka kwenye msingi wa jengo lako, tunahakikisha unapata nondo imara, iliyokidhi viwango vya kimataifa (TBS & ISO).
Build with strength. Build with confidence. 💪🏗️
Our BS500 Steel Bars deliver superior strength and reliable performance, giving your structures the reinforcement they need to stand strong for years to come.
🔩 Stronger Reinforcement. Better Construction. Lasting Quality
#bs
NONDO ZA ‘BS500’ HUU NDIO MSINGI WA KILA JENGO
Usicheze na msingi. Chagua ubora. Chagua usahihi.
Nondo zetu ni imara, na hudumu kwa mda mrefu na inasifika kwa uwezo wake wa kupingana na kutu.
Jenga kishua na COUNTRY MATERIALS LIMITED
Tembelea: countrymaterial.com
ULIWAHI KUSIMAMISHA KAZI KWA SABABU YA MSUMARI?
Sisi hatutaki itokee tena.
Kwa hiyo tumehakikisha size zote zipo.
Inch 1,1 na nusu ,2,3,4
Unapofika unaondoka na kazi yako.
Mzigo upo wa kutosha
+2555 768 500 555
#SuluhishoLaMfundi#ZipoDukani#misumari
Leo ni siku maalum sana kwetu. Ni miaka 4 tangu tulipoanza safari hii na ndoto moja tu: Kujenga pamoja na watu.
Katika miaka hii 4 tumepitia mengi. Tumecheka, tumepambana, tumekua, na tumefanikiwa kwa sababu ya NYINYI.
💪🏗️
BS 500 kutoka **Country Materials Limited** inashikamana vizuri na zege, ikitoa uimara na nguvu inayohitajika kwenye ujenzi imara. 🏗️🔥
Jenga kishua. Jenga na BS 500.
Karibu **Country Materials Limited** kwa bidhaa bora za chuma kwa ujenzi wako.
#CountryMaterialsLimited
Are You passionated about sales and construction industry?
We are looking for a motivated sales Officer to join our growing team
Apply now and become part of our succes.
#wearehiringnow‼️ #salesofficer#buildinaterials#jengakishua
Mafanikio haya ni ushahidi wa dhamira yetu ya kujenga ubora, kuendesha ubunifu, na kuleta mabadiliko yenye tija. Tunajivunia kutambuliwa miongoni mwa Wajasiriamali 100 Bora Afrika 2026. Asanteni kwa kuwa sehemu ya safari hii.
#jengakishua#countymaterials
Honored to be selected among the Africa's Business Heroes 2026 Top 100 entrepreneurs.
Congratulations to every founder and innovator on this list. We're proud to be part of a community building solutions that are shaping Africa's future.
#ABH2026
Muundo wa ribu zinazokwenda sambamba (parallel rib pattern) pamoja na kiwango kidogo cha carbon kwenye nondo huongeza uimara na uwezo wa kupinga kutu. Teknolojia hii husaidia nondo kudumu kwa muda mrefu bila kuathiriwa kirahisi na mazingira, hivyo kuhakikisha usalama.
23K Followers 24K FollowingTunauza vifaa vyote vya ujenzi tunapatikana Arusha mtaa wa sabena simu 0755-868931 pia tunauza viwanja kwa ajili ya ujenzi na mashamba maeneo yote Arusha na Dar
3K Followers 7K FollowingHi Darcy here follow for a 💯%follow back I post photos and videos off wonderful nature follow backup account darcyN52961 please thank you 🙏 new zealand AK
23K Followers 24K FollowingTunauza vifaa vyote vya ujenzi tunapatikana Arusha mtaa wa sabena simu 0755-868931 pia tunauza viwanja kwa ajili ya ujenzi na mashamba maeneo yote Arusha na Dar
25 Followers 546 FollowingMr. Cry | Afrobeat Artist
Making waves, not noise. Turning visions into reality. From the mic to the world—music is my language, and the world
#mkakaMWENYEfyuc
1K Followers 773 FollowingCivil engineer by day👷🏾♀️, feminist superhero by night! 🦸🏽♀️🏗️Turning chaos into construction magic. ✨ Empowering women and championing human rights
12K Followers 787 FollowingA member of @The_Safal_Group. We deliver trusted building solutions that are made with pride and care to provide superior customer value. Call 0707600588
3K Followers 7K FollowingHi Darcy here follow for a 💯%follow back I post photos and videos off wonderful nature follow backup account darcyN52961 please thank you 🙏 new zealand AK
28 Followers 35 FollowingHerbal medicine for Gastric ulcers, Bloating n acid reflux.
Dawa ya vidonda vya tumbo,kujaa Kwa gesi na kuzidi Kwa tindi Kali tumbo. (0693196197)
6K Followers 416 FollowingA woman with a 💜/ Tv personality /business woman / 👸🏻/ SIMBA FAN / add me though Instagram as emmy_neysha and Snapchat emmyneysha 😊 tiktok emmy_neysha 🇹🇿
317K Followers 1K FollowingThis is #ChangeTanzania movement of citizens exercising their right to #FreedomOfExpression | for activism contact via WhatssApp & Telegram +1 (862) 438-3337
754 Followers 983 FollowingThey plan. And Allah plans. And Allah is the best of planners.
~ Qur'an 8:30
“And He found you lost and guided you”.
-Al Qur’aan | 93:7