#Neno... HERI KUTESEKA KWA KUTENDA MEMA. 1 Petero 3:14-17...Heri kuteseka kwa kutenda mema una heri na Bwana atakulipa. Mwana Ligi ikiwa uteteseka basi heri uteseke Kwa kufanya vyema, hivyo ndivyo Mungu hutupandisha viwango vingine. Tukutane Galilaya! #NuruNaEvahMwalili
@EvahMwalili Amen Heri kuteseka kwa kutenda mema #NuruNaEvamwalili
@EvahMwalili #Neno....HERI NITESEKE KWA KUTENDA MEMA maana hivyo ndivyo Mungu hunipandisha Viwango vingine 👉🏼1 Petero 3:14-17 #NuruNaEvahMwalili
@EvahMwalili Heri kuteseka kwa kutenda mema @EvahMwalili @Radio47KE #NuruNaEvahMwalili
@EvahMwalili HERI KUTESEKA KWA KUTENDA MEMA...... @EvahMwalili nikiwa kisii suneka nimelipokea neno #NuruNaEvahMwalili
@EvahMwalili #Neno.Nakubaliana na Neno, namuomba mwenyezi Mungu akanipandishe viwango vingine.#NuruNaEvahMwalili.
@EvahMwalili Hallelujah! NAKUBALIANA na HILI ANDIKO...katika jina la Yesu aliye hai. @Evamwalili #radio47ke #NuruNaEvaMwalili
@EvahMwalili #Neno. Wa vokoli maragoli. Heri kuteseka kwa kutenda wema. Nimepokea neno. #NuruNaEvahMwalili.
@EvahMwalili #Neno. Wa vokoli maragoli. Heri kuteseka kwa kutenda wema. Nimepata neno. #NuruNaEvahMwalili.
@EvahMwalili #Neno. Wa vokoli maragoli. Heri kuteseka kwa kutenda wema. Neno limekolea. #NuruNaEvahMwalili.