@moodewji@SimbaSCTanzania@EmmanuelMacron Daaah unajitahidi Sana broh kuipromote Simba yako lkn bado Kuna watu hawakuelewi kbs . Ww Ni mwekezaji mzuri Sana , mm nikushauri km utaona vipi wewe ichukue Simba mazima mazima kbs na ubadilisha mifumo yote Ili tuone Simba ikifika mbali zaidi
@moodewji Ww nae bhana , kila muda sijui biriani kwa timu gani unayocheza nayo? Wanaume wenzio ushawafunga 04? Al Ahly ulimfata misri ulipata hizo 04 na mwaka huu utatoka mapema kwa sababu ya over confidence ...... Utakuja kunambia boss wabongo huwa tunawah sn kuridhika
@moodewji Rudisha logo ya awali tofaut na ivyo utakuwa unalalamika kila siku , wazee wenye simba yao hawajapenda ht kidogo kitendo cha kubadili logo yao na kuweka logo ya uarabuni ambayo hadi slogan ya simba umeitoa daaah huo ni uwekezaji au ubeberu?
@moodewji Boss unatumia nguvu nyingi sn mambo km haya hutakiw ww kuyasema bhana ivi ushasikia hata boss wa chelsea au madrid analalamika kwenye mitandao km ww? Yaan unaenda mpka kwenye vijiredio kufanya interview kweli? Hizo kazi zingine uwe unamwachia manara bhanaa
@mshambuliaji Huo uzi kaka kitenge hadi wazungu wanauulizia now , wanauliza ety yanga wameutengenezea wapi? Muda mfup tu rafk angu anaish london kanambia huo uzi ni mkali balaa
@moodewji Moo unasema allah ndo anaekuendesha sio! ko allah ndo alikwambia ubadili logo yetu uweke simba wa kialabu? Unatumia nguvu ya pesa vibaya asee zaidi ya miaka 84 hiyo logo haikubadilishwa ww ni nani mpka ubadili logo? Ko viongozi wote waliopita walikuwa sio welevu au?
773 Followers 881 FollowingFor Funny and None Funny tweet |Jokes|Good Friendship | Exchange Idea| No Hate| Give deals| Funs of Simba Sc. and Asernal the Ganners
775 Followers 1K Following1.Kuwafanya Mataifa kuwa wanafunzi wa YESU; MATHAYO 28:19
2. Kuhubiri na Kuwafundisha NENO LA MUNGU; MARKO 16:14-18
3. Huduma Kwa Wahitaji Maalumu: Yakobo 1:27
3K Followers 2K FollowingMuslim👳| ⚽ fan | Phone 📸 | Simple&Cool 👨| Guru shots Veteran | @Bin_Baamir Inst| Not everyone can become a great 🎨 but a great 🎨 can come from anywr
971 Followers 2K FollowingSuccess make better choices .
from Manyara Tanzania 🇹🇿 northern part of Tanzania More blessed with many tourist attraction areas.
proud of being Tanzanian 🇹
133K Followers 53K FollowingDell's Social Media 24X7 Global Support. We're here to listen, help & provide proactive info to our customers.
Order Status: https://t.co/ES8yuC4IJm
19K Followers 3K FollowingJE WAJUA/ KUTOKA MAKTABA/ STORI ZA KUSTAJAABISHA/NUKUU YA LEO /Fans of @manutd na @SimbaSCTanzania / SAILOR/ IN GOD WE TRUST/ believe الله
773 Followers 881 FollowingFor Funny and None Funny tweet |Jokes|Good Friendship | Exchange Idea| No Hate| Give deals| Funs of Simba Sc. and Asernal the Ganners
2.6M Followers 48 FollowingThis account has been archived. You can follow former U.S. Secretary of State Mike Pompeo at @mikepompeo. For U.S. State Department updates, follow @StateDept.
165K Followers 43 FollowingIs A full Service, Management, Music, Publishing & Entertainment Company founded by @diamondplatnumz | New KOMASAVA RMX
https://t.co/kzZO8biLVw
25K Followers 458 FollowingJoin 17,000+ subscribers who trust https://t.co/9Q9GKKxO0P for news and deep dives. Get smart on LA tech in 5 mins, 2x a week.
11K Followers 437 FollowingOfficial @Forumfed MENA project "Empowering Women for Leadership Roles in the MENA Region - Jordan, Morocco and Tunisia.
Funded by @CanadaDev
147K Followers 742 FollowingHE, a conveyor of brightness and power, is providing quality products for the power energy development of both China and the World.
21K Followers 119 FollowingAccount ufficiale di China Eastern Airlines Italia. Membro dell'alleanza SkyTeam, China Eastern Airlines, raggiunge oltre 170 paesi e 1036 destinazioni.
17K Followers 701 FollowingPrimer grupo de alimentación en España y líder mundial en arroz, con una importante posición global en pasta premium y fresca.