🚨HUKUMU YA KUSOMA QUR-AAN KWA MSAHAFU ULIYOMO KATIKA SIMU NDANI YA MSIKITI📵 🎤Amesema Mwanachuoni mkubwa Ubaid al Jaabiriy - Allah amuhifadhi. “Ikiwa msikitini kuna misahafu haitakikani kusoma (Qur-aan) kwakutumia simu, na mimi nalichukia (jambo) hili kwa sababu (mtu)
@msouthherbs Sio mbaya ni fikra na mawazo yake tu kuwa anachukizwa nako.
@AutoBostock @msouthherbs Nikuulize swali ili uone utofauti uliopo hapo: 1.Je waweza ingia na mas'haf chooni (والعذ بالله)... 2.Na jee simu yako ambayo ndani yake ina mas'haf (Kama ipo) Huwa unaingia nayo ama la?
@MohamedMAPUA @AutoBostock @msouthherbs Na je mbona vichwani mwetu tumehifadhi quran na tunaingia chooni bila tatizo..
@Canibis5 @AutoBostock @msouthherbs Hii haikuwa mada isipokuwa nilitaka nimuonyeshe utofauti uliopo baina ya hayo mambo mawili. Muhimu: Kushika mas'haf na kusoma qur'an ni bora kuliko kusomea kwenye simu ikiwa mas'haf ipo.... Kama hamna basi bora kusoma katika simu!
@MohamedMAPUA @AutoBostock @msouthherbs Hapo sawa...