"Nawaomba watanzania wampuuze mzee Joseph Butiku, nafikiri Mwl. Julius Nyerere angekuwepo angesikitika sana kama mzee ambaye amewahi kuwa msaidizi wake. Amesema chama chetu kinapokea fedha kutoka marekani, huyu ni mtu ambaye amewahi kuwa Katibu wa Rais."- John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
USHAURI WANGU KWA WATANZANIA WOTE.
Kila Mtanzania ambae anaunga mkono Maandamano ya Oktoba 29 anapaswa kuandika kupitia kwenye ukurasa wake kuonyesha kuunga mkono jambo hili maana kila mtu akiwa Anaandika Polisi watashindwa kujua wamkamate nan wamuache nani.
Lakin hii ya kuacha wachache ndo wawe front kupush jambo hili ndo inafanya watu wanakuwa targeted mwisho wanakamatwa na kutekwa.
Kila mtu akiandika kuhusu #OktobaTunatoka#NoReformsNoElection kupitia ukurasa wake itapungunguza watu kuwa kwenye risk ya kutekwa/kukamatwa so naomba kila mmoja wetu abebe hili jukumu kwa uzito tusiwaachie watu wachache.
Uzuri ni kwamba hata Serikali na Jeshi lake la Polisi wanajua kwamba hawana lock up wala magereza ya kutosha kutuweka Watanzania wote.
Nawatakia mchana mwema.
Huyu anaitwa Frida Mikoroti.
Leo ni siku ya pili tangu atekwe na Jeshi la Polisi maeneo ya Mbezi Malamba Mawili.
Mpaka sasa haijulikani wamempeleka wapi, ndugu zake wamezunguka vituo vyote vya Polisi bila mafanikio.
Gari waliyotumia kumtekea ni PT 4855
#FreeFridaMikoroti
Leo wanangu wa #NoReformsNoElection ni siku maalumu ya kukumbuka MASHUJAA wetu wa kupigania HAKI & DEMOKRASIA ya kweli. #ChademaMashujaaDay
Napiga LOKOO ya kushtukiza kujua nani bado yupo na sisi. Nakuomba hapo kwenye comment ndugu zangu wa #NoReformsNoElection
REPOST 500
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
29K Followers 14K FollowingManchester United is my religion. Sir Alex Ferguson is my God. Ruud van Nistelrooy is my idol. Cantona is my saviour from afar. #GlazersOut #MUFC
220 Followers 7K Followingwe provide UK/USA based 4K, Ultra hd IPTV subscription worldwide sports, Entertainment Chanalls.All Devices https://t.co/w6XlqSynAA
831 Followers 1K FollowingChemist | Lab Technician | Former QA Supervisor Shelys Pharmaceutical | Former Prime minister at ARUSHA TECH COLLEGE l Apparatus & Chemicals Supplier I Dalali
585K Followers 9K FollowingEx-mayor @Ubungo Municipal Council 2016-2020
Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov.
Ubungo councilor 2010-2020
BAEd Udsm
CHADEMA CC MEMBER
1.3M Followers 1K FollowingPolitician/Activist/Member @Chadematz Member of Central Committee , Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and Father
29K Followers 14K FollowingManchester United is my religion. Sir Alex Ferguson is my God. Ruud van Nistelrooy is my idol. Cantona is my saviour from afar. #GlazersOut #MUFC
158K Followers 388 FollowingPolitical Activist in Tanzania focusing on Civil Rights and Good Governance. 🇹🇿. #Author- #FiveYearsOfPain. - To buy my Book, please click the link below.
276K Followers 1K FollowingDigital Influencer | Content Creator
Ubunifu na mitazamo chanya kwa ajili ya jamii.
Nashirikisha hadithi zenye kuhamasisha na kugusa maisha.
220 Followers 7K Followingwe provide UK/USA based 4K, Ultra hd IPTV subscription worldwide sports, Entertainment Chanalls.All Devices https://t.co/w6XlqSynAA
49K Followers 52K Following#Laiti nyumba zingekuwa Na vinywa zingetoa siri za Wengi. @Bora uanze vibaya ukamalize vyema kuliko kuanza vyema ukamaliza vibaya🤦
21K Followers 264 FollowingDirector of Publicity and Communications CHADEMA|Secretary General of the Women wing in Kinondoni Region|Mom|Citizen of my Nation.