John Manyama @JohnManyama
Athletics Trainer Athletics Trainer Diploma Mainz University-Germany Director Dar Runners club Dawn breakers fc Joined August 2011-
Tweets165
-
Followers26
-
Following151
-
Likes94
Kama tamasha hili lipo kwa ajili ya kuwaenzi wanawake waliofanya vizuri michezoni huko nyuma wangekumbukwa kwa kuzawadiwa kwa vile baadhi yao bado wapo, Kama wafanyavyo Jeshi letu kwa kuwambuka mashujaa wetu waliopigana hata Vita ya pili ya dunia
Simbu Felix alishika nafasi ya Saba katika mbio za marathon Tokyo, Olympics iliyopita huku Rio alishika nafasi ya 5 hivyo amerudi nyuma nafasi 2, mwanariadha pekee wa kike alishika nafasi ya 24
Tanzania imewakilishwa na wanariadha watatu, wawili wanaume na mmoja mwanamke, Nafikiri idadi ndogo haijawampendeza Mh Rais Samia na pia kwa Watanzania walio wengi, pia matokeo ya wanariadha wetu hayakuwa mazuri,
Ili kuweza kuwa na maandalizi Bora zaidi ya wanamichezo wetu Ni muhimu tukafuata mfumo wa kufundisha michezo kisayansi (scientific training method program)bila kuwa na mfumo huu wa kufundisha michezo kuanzia umri mdogo hatutaweza kuwa na wanamichezo mahiri kushindana duniani
Nafikiri Mh Rais angependa kuona Tanzania tunatoka hapa tulipo kwa kuanza matayarisho mapema ya timu zetu, angependa kuona wanawake wanaendelezwa katika michezo kwa vile wanaweza kufanya vizuri wakiandaliwa vema
Baada ya timu kurudi kutoka Tokyo, nafikiri ingekuwa vizuri viongozi wa michezo wangekaa chini na kujadili sababu ya Tanzania kuendelea kufanya vibaya kwenye michezo na badala ya kujisifia tumefanya vizuri kwa kushika nafasi ya saba, pengine tungemwacha Simbu aseme anejitahidi
Team Dawn breakers v Lulu fc Sept 3 2021 Lugalo Ufundi ground 16hrs Kinondoni 3rd div football league
League div 3 Kinondoni Dar es Salaam August 20 2021 Lugalo ground 16hrs Team Dawn breakers 3-0 Ukwamani
Match Preview: Jogoo fc v Dawn breakers fc Lugalo ground August 13 2021 16hrs Team Dawn breakers Paul Frank Pablo Balotel Kelvin Daud Said Idd Agano Ajiru Nado Luka Rama Zuber
Jirani zetu Zambia baada ya kupigwa 10-3 na Uholanzi mechi yao ya pili wamefungana 4-4 China, sisi kwetu tunapanga kuandaa tamasha la wanawake, lini tutaanza kujitayarisha kwa michezo ya ushindani(professional training)
Taifa cup Ni tamasha lingine baada ya michezo ya shule za msingi na sekondari Wizara inayohusika na michezo haina mipango ya kufundisha vijana michezo ili waje kuwa mabingwa na kuwakilisha Taifa letu kwenye mashindano mbali mbali Duniani Hapa mabilioni yatateketea bure
Tanzania ingeweza kushinda medali nyingi kwenye michezo mbali mbali Duniani ikiwemo ya Olympics kama kungekuwa na mashindano ya kuandaa matamasha, Wizara ya michezo nayo inajikita kuandaa matamashal
🇰🇪 أبو إي�... @Abubaka52113583
1K Followers 4K Following
Uncle G @Lukala_Ngesse
46K Followers 4K Following A Jack Of All Trades : Join PARIPESA 👉 https://t.co/DaWjre7cev : Promo :MAOKOTO whatsapp 👉 https://t.co/NFz6gMc0r7
Peter Schaad @PeteSchaad
7K Followers 6K Following Former football commentator. Host, pundit and owner @holy_trinity_show_av on @youtube.
Fatih AYAZSIN @fayazsin
365 Followers 261 Following
Goodluck Kombe @GoodluckKombe
180 Followers 2K Following
Peter Mdadila🇹🇿 @pmdadila
16 Followers 188 Following 🌐Global Networker |Aviator |Trader | Social Runner
Hanifi ÇALIK @MHanifiCALIK
2K Followers 2K Following Yazdıklarım sadece beni bağlar. Matematik Öğretmeni
FEZA PRIMARY SCHOOL @FezaPrimary
710 Followers 501 Following +255712339237 #Tanzania #Daressalaam #DSM
Samed Adam @SamedAdam3
25 Followers 84 Following
Sir Dennis Marley @Dennis_Mdoe
17 Followers 132 Following
Privaty Patiensi Ruga... @pasiansi
753 Followers 357 Following Partner at Trill & Associates Advocates | Managing Director of @SheriaPoa|Podcaster - Sheria Poa Podcast
ramadhan omar @ramaomartz
172 Followers 1K Following
paul oliech @PaulOliech
71 Followers 518 Following
Othman Michuzi @othmanmichuzi
5K Followers 3K Following #TanzanianSwahiliBlogger #Photographer #Videographer #MichuziMediaGroup #MtaaKwaMtaa
patrick nyembera @patoo6
228 Followers 49 Following Producer/Presenter 5sport show on East Africa Television!
issamichuzi @issamichuzi
371K Followers 6K Following Tanzanian photojournalist and social media guru
Dorice Medard @Galady66
31 Followers 118 Following
Gideon wilbert @WilbertGideon
175 Followers 477 Following
Emil Habil Gamba @EmilHabilGamba
1 Followers 2 Following
National Geographic @NatGeo
28.1M Followers 179 Following Step into wonder and find your inner explorer with National Geographic 🌎
CHAMA CHA MAPINDUZI -... @ccm_zanzibar
44K Followers 4 Following Chama Cha Mapinduzi (CCM) - #Tanzania's governing party, founded on 5th February 1977. Membership: 15 million
Joe Biden @JoeBiden
37.9M Followers 48 Following Husband to @DrBiden, proud father, grandfather, and great grandfather.
ikulu_Tanzania @ikulumawasliano
555K Followers 6 Following Ukurasa rasmi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu-Tanzania 🇹🇿
Hamza ilkay Emin @arushatrabzon
912 Followers 922 Following Against all odds...Her seye ragmen......
CNN Breaking News @cnnbrk
60.1M Followers 121 Following Breaking news from CNN Digital. Check @cnn for all things CNN, breaking and more.
Taifa Daily @TaifaDaily
37K Followers 0 Following Tanzania & beyond | News, Reports, Opinion & Analysis | send to [email protected] IG: https://t.co/CqWKelDP6O FB: https://t.co/pFWuhzm233
Julius Nyerere @nyererejuliusk
40K Followers 5 Following Dedicated to Mwalimu Julius Nyerere, one of the Founding Fathers of the United Republic of Tanzania.
Finance News @ftfinancenews
962K Followers 20 Following The latest news and analysis on the finance industry, from the @financialtimes
Real Time Economics @WSJecon
1.0M Followers 91 Following Economic insight from The Wall Street Journal. Want more? Sign up for our daily Real Time Economics newsletter: https://t.co/HX7UM0pmuK
WSJ Business News @WSJbusiness
1.8M Followers 377 Following The Wall Street Journal's Business editors share the latest breaking news and their insights on what matters most in business and finance.
Financial Times @FT
7.1M Followers 1K Following Big stories and breaking news as they are published on https://t.co/EYmAcRLBHv. Register here to access free articles: https://t.co/NRg2hritkA
Guardian news @guardiannews
3.6M Followers 1K Following This account has been archived. Follow us on https://t.co/IXCCW0ileV
Bonnah Ladislaus Kamo... @BonnahKa
37K Followers 135 Following Mwakilishi Wa Wananchi Wa Jimbo la Segerea katika Bunge la 11 na 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015-2020,2020-2025. #TukutaneJimboni
CNN International @cnni
15.1M Followers 360 Following Breaking news from around the world, plus business, style, travel, sport and entertainment. We #gothere.
Sky News Breaking @SkyNewsBreak
4.8M Followers 3 Following The full story, first. Free, wherever you get your news. Follow @SkyNews for more. Insta & Tiktok: SkyNews Download our app: https://t.co/TsPkPSRmsO
Bakari S. Machumu @bmachumu
20K Followers 2K Following BSM is a media personality with over 27 years of experience. The former CEO of Mwananchi Communications Ltd, retired in August 31st, 2024.
BBC Breaking News @BBCBreaking
50.2M Followers 3 Following Breaking news alerts and updates from the BBC. For news, features, analysis follow @BBCWorld (international) or @BBCNews (UK). Latest sport news @BBCSport.
United Nations @UN
16.1M Followers 1K Following Official account of the United Nations. For peace, dignity & equality on a healthy planet.
Kitila Mkumbo (PhD) @kitilam
145K Followers 820 Following Husband to Prosista, Dad to Aggrey, Calvin and Abigail, TZ raia, mwananchi, MP, Minister. Tweets mine!
Uwekezaji Tanzania @UwekezajiTZ
38K Followers 1K Following This page highlights investment flairs in the resources and the people of Tanzania. #KaribuTanzania 🇹🇿
HabariLeo @HabariLeo
169K Followers 759 Following Kwa habari za uhakika na kina | Sehemu ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali Tanzania Tanzania Standard Newspapers (TSN)
TPA_Official Page @tanzaniaportshq
43K Followers 72 Following Official Twitter Account for Tanzania Ports Authority (TPA) which regulates and licenses port, marine services and port facilities. Free Number 0800-110032/47.
Wizara ya Habari, Uta... @WizaraSanaa
128K Followers 80 Following Karibu katika Ukurasa rasmi wa Twitter wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Porsche Formula E Tea... @PorscheFormulaE
282K Followers 253 Following 🏆 ABB FIA Formula E S12 Drivers’ World Champions 👩🏽⚖️ Legal notice: https://t.co/txXhjJ1bQD 🕵🏻♂️ Privacy policy: https://t.co/yQAsI08pTq
Daily News Tanzania @dailynewstz
95K Followers 169 Following Authoritative Newspaper|Government Newspaper|Part of Tanzania Standard (Newspapers) Limited | Bringing you detailed Tanzania news in English
Air Tanzania @AirTanzania
92K Followers 575 Following The official Twitter channel for Air Tanzania. Please tweet @airtanzania if you need any assistance. Working hours are 8:00 am to 5:00 pm.
Wizara ya Ujenzi @WizarayaUJ
153K Followers 6K Following Wizara ya Ujenzi (Aug. 2023)|Ministry of Works(Aug. 2023)|Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sept 2021-Aug 2023)
NHIF Tanzania @nhiftz
45K Followers 39 Following The Official Account of the National Health Insurance Fund (NHIF) of Tanzania I Ukurasa Rasmi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya 🇹🇿 Customer Service: 199
Swahili Times @swahilitimes
1.6M Followers 0 Following Habari | Elimu | Burudani | [email protected] | Maoni ya wasomaji si maoni ya Swahili Times | Simu/WhatsApp/Telegram: +255 743 778 779
Biashara Tz @BiasharaTz_
50K Followers 95 Following Biashara Tz ni jukwaa la habari na taarifa za biashara, uchumi, uwekezaji na fursa za kibiashara nchini Tanzania na Afrika. Tunawaletea wasomaji habari, uchambu
Tanzania Railways Cor... @tzrailways
87K Followers 200 Following Official Twitter Account for Tanzania Railways Corporation | Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Shirika la Reli Tanzania | Toll Free 0800110042 for Enquiries
AyoTV @ayotv_
140K Followers 61 Following Official Video Twitter page for @millardayo | We tell the best news and stories from East Africa | from the Most Subscribed to Journalist on YouTube in Africa.
Maelezo News @maelezonews
29K Followers 9 Following Ukurasa Rasmi wa Idara ya Habari - MAELEZO ~ Information Services Department 🇹🇿
Harmonize @harmonize_tz
220K Followers 59 Following The East African Elephant 🐘 Bookings: [email protected]
TBC DIGITAL @TBConlineTZ
134K Followers 18 Following Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC). TBC kiganjani mwako, usipitwe #ukwelinauhakika
美加墨世界杯官... @kaiyuntiyu666
402K Followers 22 Following 世界杯注册网址 开云 https://t.co/6n2RcSgTws 手动浏览器输入【关闭VPN】不支持国外ip注册。如有打不开.切换浏览器再次输入即可.注册就送,存的多送的多. 支持 u 冲 u 提。
Wizara ya Madini @MadiniTanzania
75K Followers 142 Following Huu ni Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Madini Tanzania 🇹🇿
Maria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.4M Followers 10K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,
Mtanzania Digital @MtanzaniaNews
214K Followers 640 Following Official account of Mtanzania Newspaper. | Top News | Tips | #BreakingNews 24Hrs | #MTANZANIA | Subscribe to our YouTube Channel 👉https://t.co/qmsD7DMbor
The Citizen Tanzania @TheCitizenTz
308K Followers 395 Following Tanzania's preferred English language newspaper. Listen to #RisingWomanOnX 👉🏾 https://t.co/kcX4pqqigz
Wizara ya Afya Tanzan... @wizara_afyatz
243K Followers 141 Following Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Afya Tanzania. Ukurasa huu unaendeshwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini - AFYA P.O. Box 743, Dodoma
Police Force TZ @tanpol
476K Followers 35 Following Tanzania Police Force - Usalama Wa Raia na Mali zao
Msemaji Mkuu wa Serik... @TZMsemajiMkuu
762K Followers 10 Following Ukurasa Rasmi wa Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania 🇹🇿 | The Official Account of the Chief Spokesman of the Government of Tanzania 🇹🇿
Mwigulu Nchemba, PhD @mwigulunchemba1
549K Followers 339 Following Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi.









