The only positive ya hii Demo ya ma Daktari, realisation that kumbe wako na handwriting normal. Tunaeza soma grievances poa kwa placards. We are fully in support!
28
403
2K
62K
23
@JulianiKenya Hawamalizangu hesabu ju Hawajui 2x2 ni ngapi
@JulianiKenya Lazima wewe uko na damu ya pharmacist ikiwa umeweza kusoma hizo grievances
@JulianiKenya Thank you for the support 👊🏾
@JulianiKenya Nani hajui, uDaktari si lazima uwe mwerevu, kwa karatasi ya dawa hamalizangi hesabu
@JulianiKenya We hire people with good handwriting to write for us.
@JulianiKenya Tumeimba wimbo yako kwa maandamano tukiuliza tu hii njaa inaishanga kweli?