Sijui umeanza vipi mwaka ila natamani nikusaidie kuuboresha zaidi. Naomba nikupe 500,000/=, nioneshe biashara yako ilipofikia na ungependa kufanya nini zaidi. Mwenye comment yenye most retweets (nahesabu kama ndo kura za wananchi) kabla ya 07:00am Ijumaa, atapata haki yake.
528
418
2K
487K
140
@IdrisSultan Habari Idris. Mimi ni mfanya biashara Mdogo wa usafi wa majumbani, maofisini,maofisini, -nyumba iliyomalizika kujengwa, inayotarajiwa kuhamia na usafi wa nguo, Kwa Sasa nimefikia hatua ya kununua baadhi ya vifaa. Lakini baadhi bado. Pesa yako itaniongezea mtaji niongeze vifaa.
@Litelight9 @CelsiusErick @IdrisSultan Hongera sana
@Litelight9 @Ireneigora @IdrisSultan @IdrisSultan huyu apewe yote