Wakuu Wazo langu, Mnaonaje Tukamtafuta huyu Mama Tumchangie Buku buku akuze mtaji wake? Ni Wazo Langu tu🙏
598
423
5K
530K
21
Download Image
Kaka @Adventure_36 hii Picha umeipata wapi tufanye jambo🙏
@LucasbrownTz Ni wazo ila huwa hawa move kutoka hiyo hatua labda kumpa tu.
@LucasbrownTz Weka juudi za kumtafuta akipatikana tumshike mkono japo ata kwa kidogo tulinacho
@LucasbrownTz Kaka naomba ujitafakari mwenendo wa Maisha yako, Haiwezekani tangia ufungue account ya X "2019", Leo tu ndo umeongea point😂 Fanya tumpate bi mkubwa tumshike mkono🙌🏾✊🏿