@umwalimu @maendeleoyajami Sote kila mtu kwa namna yake tumwombee kwa Mungu azidi kumtia nguvu ktk kipindi hiki kigumu hakika viatu vya mtoto Anna ni vizito tuzijitahidi kumwombea kwa Mungu na kumtia moyo wa faraja kwani itachukua muda kuka sawa. Hakika pigo alilopata ni kubwa.