Hii maandamano imenionyesha mambo. Nimeingia mat, henda kutoa fare, nikatoa firimbi yangu ya yellow na tropikos. Sasa conductor anashangaa mtu ako na suti na firimbi inaingiliana aje😂
8
28
134
4K
0
@NgalulaDonald Hahaha!!! Hajui kuna Amapiano ya watu ya kutibu?
@NgalulaDonald mwambie things have bitten each other