Octavian Barnabas @Octabar7
Freedom fighter, Peace maker, Struggle activist . Joined October 2018-
Tweets628
-
Followers124
-
Following953
-
Likes894
@HecheJohn By best song of all time
Askofu Mwamalanga amepiga panapouma. REPOST 200
Hii ndio inavyotakiwa, wastaafu watoe matamko kama haya ya kuweza kuli-shape taifa na watawala. Hamkuiacha Tanzania ilivyo leo, Tupo kwenye hali ya hatari Amka!
@Maestrowafact Mtu wa ajabu na maji akanyimwa na akaondoka!! Mmh😋
Heri ya mwaka mpya kamanda ,haya maneno ni mazito mno hadi yana ni rizamimi hasa tuliyofanyiwa 29😭
UJUMBE MUHIMU SANA HUU, USAMBAE.
30 seconds speech
““Vijana mkadai haki yenu kwa amani bila fujo yoyote”-; Sheikh
FATHER KITIMA ANAPIGA PANAPOUMA, Msikilize Father. REPOST 200 TUTAKUWEPO🫵😎
@ReganTesla_ Cheza na mindset za wateja mwambie 949999.9 atajaa chap
Msikilize Mambi Kimambi ameongea jambo la muhimu sana.
Ni kweli kabisa. Hawa ni watu ambao ni wazi hawakulelewa vizuri na wazazi wao na walijingiza kwenye chama chao kinyemela. Ni watu ambao inaelekea hawakujifunza chochote kutoka kwa Mwalimu Nyerere bali wanapinga kila kitu alichokisimamia Mwalimu Nyerere na wanasema Ikulu si sehemu takatifu kwani kwao ni pango la Wanyang'anyi na kujitajirisha. Wanaamini kuwa kila aliye serikalini ale kwa urefu wa kamba yake. Hivyo kamba ya Mkuu na Mktugenzi wa Wilaya insidhia katika wilaya yake. Mkuu wa Mkoa ni mkoa wake; Waziri ni Wizara yake na Raisi ni nchi nzima! Kwa hawa watu uchaguzi si shughuli takatifu ambapo Wananchi wanachagua viongozi kwao ni udanganyifu mkuu. Mjanja na mbabe anayeweza kutumia dola na ubabe ndiye anakuwa kiongozi. Hivyo hata mchakato wa uchaguzi katika chama chao ni udanganyifu mtupu kwani mgombea wa chama hicho, kisicho na maadili, anapatikana kwa kushitukiza kupitia mkutano usio wa uteuzi na mgombea huyo ndiye anakuwa mwenyekiti wa mkutano huo! Mgombea huyo ambaye alidaiwa kuchangiwa fedha za kuchukua fomu na wananchi wa makundi mbalimbali kwa kipindi cha miaka miwili nyuma hata fomu hiyo hakuchukua kinyume na Katiba ya chama hicho kisichofunzwa na mamaye. Mgombea huyo hakuwa hata na staha ya kurudisha fedha hizo kwa wananchi hao vimbelembele. Mgombea huyo hakuridhika kupitia serikali yake akaamua kumuweka ndani kiongozi mkuu wa upinzani anayepigania mabadiliko ya kweli ya demokrasia na kumfungulia Kesi ya uhaini. Na kukifungia chama cha mpinzani wake kupitia kesi ya mamluki wa chama hicho iliyoendeshwa na mahakama kwa kasi ya ajabu. Ni mgombea aliyehakikisha vyombo vyote vya habari vinaiba nyimbo za mapambio ya kumsifu kuwa Dunia nzima hakuna kiongozi kama yeye na kufikia hatua ya kumuita "Mama wa Taifa"! Hakuna kuandika habari yoyote hasi dhidi ya Mgombea huyu aliyetukuka sana. Ni mgombea aliyeweka mabango ya kampeni zake kwa miaka mitatu mfululizo kupitia njia ya kuadhimisha mwaka wa kwanza,wa pili, wa tatu na wanne wa utawala wake na kupewa Kila aina ya sifa. Mwaka 2025 nchi ikashamirishwa na picha zake akipewa sifa kede kede. Mara: "Muadilifu, Mama Hana Deni, Mtu wa Watu, Msikivu, Mnyenyekevu, na Mpatanishi". Yaani ni sifa za Mtu anayejua kila kitu hata Kim Jong Un, yule Raisi wa Korea Kaskazini, lazima amuonee wivu. Mgombea huyu akawafikia wananchi kwa motisha za ajabu kwani kinyume Cha Sheria za nchi zinazokataza rushwa na takrima akagawa pikipiki na baiskeli. Akatoa michango mikubwa mikubwa ya ujenzi wa makanisa japo hakututajia za misikiti kwani huko alitoa kimya kimya. Vyombo vya dola navyo akavitumia kikamilifu kufanya kampeni zake. Kila mkutano wa kampeni wake na viongozi wa kitaifa wa chama chake wafanyakazi wa serikali na wanafunzi ilikuwa ni lazima wahudhurie. Aliyekosekana huyo ni mpinzani wa Kiongozi Wetu Mkuu na Chama chetu kikubwa barani Afrika na alishughulikiwa. No mgombea ambaye kampeni yake ilihanikizwa na usombaji wa wasikilizaji. Malori na mabasi yakatumika kuwasomba watu kuhudhuria mikutano yake ya kampeni na wahudhuriaji hawa wakasombwa kutoka vijiji, kata, wilaya na mikoa jirani. Ikajaa pomoni. Akasema kuwa Watanzania wanampenda haijawahi kutokea. Akasema kuwa wanaopanga kuandamana siku ya tarehe 29 Oktoba wakumbuke yeye ni "Amiri Jeshi Mkuu na kuwa maandamano pekee anayoyatambua ni ya kwenda kupiga kura basi. Akaendelea kusema siku hiyo ya uchaguzi hakutakuwa na ,"nywinywi Wala nywinywinywi". Siku hiyo ikafika kiongozi huyo kipenzi Cha watu na wafuasi wake wasio jaa katika mkono ndio waliopiga kura. Mamilioni ya Watanzania wakalinda kura zao kwa kubakia majumbani mwao. Malaki ya vijana (Gen-Z) wakaandamana. Jeshi la polisi na vyombo vingine vya Dola vikaua maelfu ya Watanzania na nchi ikawekwa lockdown ikiwa ni pamoja na mitandao kuzimwa kwa siku Tano. Ajabuye Tume ya Uchaguzi iitwayo Huru, wakati si huru hata kidogo, ikatutangazia matokeo kuwa mgombea huyo Kashinda uchaguzi kwa 98%. Ndiyo maana wahenga wakasema "Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu."
Ujumbe mzito sana
@MabalaMakengeza Kwann akutengeneza Katiba Bora kabla yakung'oka ni kweli hakujua Kuna wahuni wanaweza kuchukua nchi mbona alikuwa na akili na akili sana Leo watoto wetu wanakufa ili watu watawale Mungu mwenye haki tokeza
@SimbaSCTanzania Mamae weseng nyie
mako @makovdn
8 Followers 290 Following
Emma last warning @brandito1776
110 Followers 5K Following too sensitive for the app but still posting 🌷 100% follow back
mrbk2025 @RamadhaniB20949
45 Followers 336 Following
Alfred John @alfred_mdemu
749 Followers 4K Following I, son of living GOD|I love Jesus| Let love lead
FUNDI Samwel 🔧 @Samskills_tz
5K Followers 6K Following Mechanical Top voice/Car Adviser/ Founder SGL / Mind set/ Business Owner SAM GENERAL LIMITED.
ZEGEGA @Zegega339
5K Followers 7K Following Jifunze maarifa mbalimbali ya kiroho na kimwili,tambua ulimwengu wa kiroho hasi na chanya,elimu zilizofichwa,zijue/0747422466 call/ 0678252118 whatsapp
Simon Nguye @NguyeSimon
3K Followers 3K Following
PEE RON MAN TIPS @terresa_grey
749 Followers 2K Following
Ethelyn Beer @EthelynB46322
73 Followers 3K Following
Adero Onagi @AderoO59178
80 Followers 1K Following
Ibrahim @Ibrahim07284558
167 Followers 372 Following
Mr Daniel fixedgame @MrFixed68976
693 Followers 3K Following
Deus Festo @DeusFesto3
67 Followers 353 Following
vision Empire store �... @visionempire_tz
705 Followers 630 Following 🔥 Vision Empire Store | Jezi Original 🇹🇿 🛒 Jezi Grade 1 – 25,000 TZS 📍 Dar & Mtwara | 🚚 Tunatuma popote 📩 DM kwa oda 📞 0694336065 | +255 625 449 187
Dellemonster 💀 @Dellemonster
1K Followers 2K Following We don't stop we just take a break and keep moving forward🏒🏀⚽💸|| @chelseafc|| 🇹🇿,🇪🇸 || punter|| https://t.co/cclC54BWcO
DOVILLEN REAL ESTATE ... @DovillenP
2K Followers 7K Following Property Broker Services Buying, Selling, Renting: Houses Plots Yards Godowns Farms Industrial Plots Contact: +255 756 060 183 @DovillenP
Stueneesl @StueneeslzE4SG
74 Followers 2K Following
Angetile Mwakajobela @mwakajobel90225
6 Followers 74 Following
RAHISI TECHNOLOGY @rahisitech
6K Followers 1K Following We no dey chase odds, odds dey chase us 😎 From street to sports betting, na steady tips only Small stake, better thinking, better results 🔥
Paz 16 @MikePaz255
3K Followers 2K Following busy building || in a relationship w @ManCity NEVER LOOK BACK 🪜
Boniface Mwabukusi @Mwabuk2Boniface
68K Followers 8K Following Advocate | father | husband. HUMAN RIGHTS. Tanzania🇹🇿 President Tanganyika Law Society 2024-27
𝑩𝒆𝒆𝒌𝒆�... @Duncan_Mamadii
379 Followers 3K Following 𝐂𝐨𝐦𝐩𝐨𝐬𝐞𝐝. 𝐈𝐧𝐭𝐞𝐥𝐥𝐢𝐠𝐞𝐧𝐭. 𝐔𝐧𝐝𝐞𝐫𝐫𝐚𝐭𝐞𝐝. SuperMan.. Manchester city fan.
𝐆𝐢𝐝𝐢𝐨�... @MtumwaWaYesu
3K Followers 2K Following Christian Musician and composer | Teacher | Spiritual Mentor and Pastor |Husband of one wife | Sisi tu watumwa wasio na faida -Luka 17:10
JFJustice @JFJustice
12K Followers 2K Following JFJ calls out impunity wherever it occurs and amplifies voices for victims of atrocity crimes in seeking justice RTs ≠ endorsements.
AGIZA NA NICE 🇨�... @AM_NIC3
6K Followers 4K Following +255745221288 💫BIDHAA CHINA 💫ZENYE UBORA NA UAMINIFU WA HALI YA JUU KUJIFUNZA SAVINGS DM AFISA MAENDELEO NA USTAWI https://t.co/K9OKtRC1yC
Taylor King @TaylorKing62447
1 Followers 6 Following
Bailey Bennett @BaileyBenn60212
1 Followers 6 Following
Avery Bell @AveryBell139328
2 Followers 8 Following
Nanaba @coyaya203
224 Followers 3K Following
mako @makovdn
8 Followers 290 Following
SIASA NI MAISHA @SiasaMaisha2030
2K Followers 172 Following Siasa ni maisha yetu ya kila siku.Unawajibu wa kutetea kila haki ya mtu inayoporwa bila kujali mlengo wa mtu husika.
Pepechu @Pepechu9
146 Followers 362 Following A farmer at Lengusero village/ Chelsea and Dar young African die hard fan. Fikra huru
Diego Muller @Muller95Diego
2K Followers 592 Following I hit below the belt, an #activist fighting for the freedom of #Tanzanians who face a repressive kleptocracy, comprising some of Africa's most corrupt leaders.
Maviatu 👞👟🥾�... @BarakaMaviatu
153K Followers 1K Following Entrepreneur | Footwear Specialist School, Safety, Official Shoes 🛍️ 👟👞🥾 | Tech & Accessories 💻 |Movies & Film 🎬 https://t.co/D0rNCR5Bxq |
Oops That's Deadly @OhShittVidz
20K Followers 0 Following posts of people interacting with potentially deadly animals/plants and manmade objects without understanding the risk... ☠️💀 PS-66QR-Y4BW
Nickson Kisinga @nickson_Kisinga
9K Followers 808 Following Founder & Product Engineer @MastaOS Building ACLOZO, Masta Voice, MesejiMasta & Masta Cloud. Tanzania → Global. 🚀
Precious @precibaby4
68K Followers 3K Following God first🤍 | Messi🐐| Barcelona💙❤️ | Cruise | Just vibes and passion
Kaka mkubwa @sapro_phyticus
5K Followers 3K Following Proud Gooner | North London forever 🔴⚪ Talk less, do more Your limits? Self-made Level up daily 💨
Edge_Finder @Edge_finder001
70K Followers 330 Following Sportsmanship⚽️⚾️🥎🏀🏐🎾🏓🏆 Moving man🥇 🏆 Finding the edge. Beating the odds. 📈🎯
Phemmy @Oluwaphemmy30
20K Followers 3K Following Sport Lover⛹🏽♀️|| Tipster ⚽️ || Chelsea 💙 || Always follow the SWYCATL Rules || Stake What You Can Avoid To Lose 📌|| DM FOR ADS & PR📩🧳❤️
𝐉𝐑 𝐉𝐔... @anuskills3
406K Followers 3K Following | Hasbiyallahu wa ni'mal wakee|| Social Media influencer || Digital Marketer || BA. Marketing and PR ||Content creator ||
Gabo Zigamba @GaboZigamba_
4K Followers 100 Following •Actor •Producer || Director •Award winning 🏆 •Best Male Actor 🇹🇿 •2015 - 2019 •Facebook Page Gabo Zigamba •Official Twitter Account •YouTube ⬇️
Peter Msigwa @MsigwaPeter
25K Followers 257 Following Pastor | Former Member of parliament-iringa constituency 2010 -2020 | Former Shadow Minster for Natural Resource and Tourism 🇹🇿
TANGANYIKA @freetanganyika
7K Followers 7K Following TANGANYIKA ndio nchi yangu . ilipata uhuru mwaka 1961. naamini tunastahili kuwa na katiba yetu , Raisi wetu na Bunge letu ili kulinda Rasilimali zetu
9Z @9zerobillions
147K Followers 2K Following @arsenal | Punter| Check Highlights | DM for advert | it will work out. ☘️
39 @39billion
829K Followers 153 Following Billions punter. winning big is the aim..! A win that covers all lost..! Inquiries 📩: [email protected]
MWANAMAPINDUZI @MachumuKadutu
9K Followers 366 Following Askofu Maximillian Kadutu|Mwanasiasa na Mchambuzi wa Mambo ya Siasa|Mpenda Haki na Maendeleo
David Hundeyin @DavidHundeyin
1.2M Followers 3K Following Investigative journalist, author & filmmaker | 2023 James Currey Fellow @Cambridge_Uni | building @Spearhead_Af | https://t.co/07XivAeu4N
Dan Chibo (DC) @danchibodc
16K Followers 1K Following Father | Husband | Catholic | Media Personnel | 📖 1 Yohana 2:6
Emma last warning @brandito1776
110 Followers 5K Following too sensitive for the app but still posting 🌷 100% follow back
mrbk2025 @RamadhaniB20949
46 Followers 336 Following
Alfred John @alfred_mdemu
749 Followers 4K Following I, son of living GOD|I love Jesus| Let love lead
Tipster Young Blood @youngblood77_
63K Followers 7K Following || DM FOR PROMOS 📩 || TIPSTER || Join my free telegram channel with the link below let's win together 👇
Taifa Newz @mchina_jr94958
1K Followers 61 Following Taifa Newz 🇹🇿 | HABARI Sisi Wananchi Ndiyo Taifa 📍 Updates za Siasa, Jamii na Taifa 📲 DM for tips Tanzania ni Yetu Sote.
EMA_FUNDI_GAIRO @ema_fundi_nguo
3K Followers 2K Following fundi nguo za aina zote ni C.E.O wa @ema_fundi_gairo pia shabiki wa @YoungAfricansSC na @chelseafc napatikana GAIRO 📞+255744289072 Wattsap+255698830288
Sirtee 📊⚽️ @Iam_sirteee
117K Followers 2K Following GOD First🫡 | Crypto Enthusiast | Sport lover | Community❣️💯 | DM For Ads & Promo |[email protected] | Telegram https://t.co/y44D0x3wdd
diamond NBA @Diamondnba2
41K Followers 1K Following The winning spirit is real! 💪🏆 Chasing greatness, one punt at a time 🏆🍀
FUNDI Samwel 🔧 @Samskills_tz
5K Followers 6K Following Mechanical Top voice/Car Adviser/ Founder SGL / Mind set/ Business Owner SAM GENERAL LIMITED.
Juma Jr. @Jumah_Lin
15K Followers 6K Following Tipster - Simple - Black - No birthdays - No unnecessary attentions.
Daily wins @Godofrollover
134K Followers 449 Following Talented Bet Tipster 🏀⚽️ . join my free telegram let’s win together
ZEGEGA @Zegega339
5K Followers 7K Following Jifunze maarifa mbalimbali ya kiroho na kimwili,tambua ulimwengu wa kiroho hasi na chanya,elimu zilizofichwa,zijue/0747422466 call/ 0678252118 whatsapp
Esther @_QueenHadasah
40K Followers 2K Following SPORTS ANALYST || INFLUENCER || HARD TRUTH || DM FOR ADVERTS & PROMOTIONS











































