Zitambue neema za Muumba wako, mshukuru, mtumainie na mtukuze
8
37
129
8K
9
Download Video
@SnrDirector MUNGU fundi.Anataka Kila mmoja amuombe,amshukuru na amtukuze yeye mwenyewe.Shida tunayokutana nayo.Kuna watu wanawaaminisha watu kuwa ili kumuomba MUNGU unahitaji dalali!Yaani umwambie shida zako yeye ili akuombee kwa MUNGU!Huu ni msiba!
@SnrDirector Duh.! Hawa viumbe wanakimbia sana aisee.. 🙌
@SnrDirector Ameni ameni Mushukuru Muumba kwa zawadi ya uhai kila siku Mengine Yako chini ya kibinadamu