Assallam Alleykum ! Ndugu zangu nimerudi tena na mchango wa juzuu na mas haf, awamu iliyopita tulipata juzuu zaidi ya 2000 🙏🏻 Juzuu moja ni 400 na Mas haf moja ni 5000, kwa utafiti wetu tumegundua kuna upungufu mkubwa sana wa Mas haf hivyo chochote utakacho jaaliwa tunapokea
9
235
439
34K
12
Download Image
Kuna njia mbili za kuwezesha hili, ulete Mas haf au Juzuu kariakoo au utume pesa tukanunue In shaa Allah NAMBA ZA KUCHANGIA 👇🏻 Lipa namba Tigo ( 8827050 ) Lipa namba Voda ( 5155579 ) Kutuma kawaida voda 0763514126 (Baraka mnzava) Mtu wa kupokea kariakoo 0713809555 Ameen 🙏🏻
@TriciaAbou Kesho tutatuma kwaajili ya Mas haf.