Hivi sasa, ni msimu wa kuchanua kwa maua ya magnolia katika Kijiji cha Cangwangzhai cha Mji wa Yongsheng huko Jiangyou, Mkoa wa Sichuan, kusini-magharibi mwa China. #China #Magnolia #flower #bloom #flowerphotography