𝗔𝗭𝗔𝗠 𝗦𝗣𝗢𝗥𝗧𝗦 𝗙𝗘𝗗𝗘𝗥𝗔𝗧𝗜𝗢𝗡 𝗖𝗨𝗣 𝗖𝗛𝗔𝗠𝗣𝗜𝗢𝗡𝗦 𝟮𝟬𝟮𝟮-𝟮𝟬𝟮𝟯🔰 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
@YangaSCEnglish Klabu ya mkali wa soka kutoka ufaransa karim benzema @ittihad yaipongeza klabu ya @AlAhly ya misri kwa kutwaa ubingwa mara 11 wa @CAFCLCC_fr "Hongera Al- Ahly ya Misri kwa kushinda Ligi ya MabingwaAfrika 2023Tukutane hivi karibuni katika Kombe la Dunia la Klabu"
@YangaSCEnglish Yangaa msimu huu hatariiiii sanaaaa
@YangaSCEnglish Ulikuwa msimu bora kwa klabu yetu pendwa Yanga Sc, sifa na shukrani namrudishia Mungu kwn yy ndiye mpaji wa yote, shukrani za dhati kwa mwl Nabi na benchi lake la ufundi na wachezaji wote, viongozi, wanachama na mashabiki. Umoja wetu ndio ufunguo wa mafanikio haya.
@YangaSCEnglish Naona fei toto hayupo kwenye picha 😂😂🙌🏿