Alinanuswe Kasyele @alinanuswetz
Producer| Film and Television Director| Screenwriter| TfD Expert! A Loving Dady of Three Girls Dar es Salaam, Tanzania Joined November 2014-
Tweets3K
-
Followers402
-
Following436
-
Likes2K
Surround yourself with people who’ve failed more times than they’ve won. Their wisdom outweighs their ego.
Tukishirikiana, Usawa wa Kijinsia Katika Elimu Unawezekana! youtu.be/NhyQVgsWqJo?si… via @YouTube
@MariaSTsehai Nilifikiri Watawala waongozwe zaidi na Busara ili kuliunganisha taifa badala yake wanazidi kulikoroga! INASIKITISHA MNOOO.
Je, umewahi kupokea simu au ujumbe kutoka shuleni kwa mwanao ukihitajika ufike haraka? Moyo wako ulijawa na nini? Hofu isiyo na kifani? Matumaini ya kupokea habari njema? Au ulibaki na maswali mengi, ukijiuliza "mtoto wangu amefanya nini?’’ Tushirikishe uzoefu wako ilikuwaje? #MaleziNaElimu #SautiZetu #ElimuJumuishi #ESRAC #UwajibikajiwaPamoja
Wanafunzi Vinara (Champions) kutoka shule ya msingi Soraa wanaendelea kujifunza kushona na kutengeneza taulo za kike (Sodo) zinazoweza kutumika tena, chini ya mradi wa GET unaotekelezwa na @hakielimu kwa kushirikiana na wadau wengine wilayani Babati, mkoa wa Manyara. Elimu hii itawasaidia mabinti kujitengenezea Sodo wenyewe na hivyo kupunguza changamoto za hedhi salama. #HakiElimu #Sodo #GETproject #Babati #Manyara #ElimuYaHedhiSalama #WatotoWaKike #SanitaryPads #ReusablePads
📸 A Visit to Remember On 10th July 2025, we were honored to host the @MalalaFund delegation at HakiElimu. 🤝This visit reflects our strong, shared commitment to standing with girls in Tanzania, championing their right to quality education, equality, and the opportunity to thrive. 📚✨ #StandWithGirls #GirlsEducation #MalalaFund #HakiElimu #Tanzania Photo credit: @michaelgoima
ZAMANI ilikuwa kawaida, lakini SASA ni HISTORIA! Kwa miongo mingi, watoto wa kike walikumbwa na changamoto kubwa ya kupata elimu sawa na watoto wa kiume. Mara nyingi walilazimishwa kuacha shule mapema, kuolewa wakiwa katika umri mdogo, na ndoto zao zikibaki mitaani. Hii ilikuwa ni hadithi ya kawaida kuisikia katika jamii nyingi nchini Tanzania. Lakini Sasa, hali imebadilika kabisa! 🌟 JAMII IMEAMKA! 🙌 Watoto wa kike sasa wanapata fursa sawa na watoto wa kiume kuendelea na masomo na kutimiza ndoto zao. Mabadiliko haya yamewezekana kupitia juhudi za pamoja za kuelimisha, kuhamasisha na kusisitiza umuhimu wa usawa katika elimu kwa kila mtoto. . 🎥Karibu kutazama video hii fupi na uone jinsi mtazamo wa jamii unavyobadilika youtube.com/watch?v=F7StFl… #ElimuKwaWote #UsawaKatikaElimu
💡 How can local governments drive gender equality in education? HakiElimu is working with 8 district councils in Tanzania to ensure gender-responsive planning becomes the norm not the exception. Read how one reflection meeting in Dodoma is helping turn policy into action. 👇 shorturl.at/S3dTb
Harakati za Marafiki wa Elimu ni jukwaa linalowaunganisha watu binafsi, makundi, taasisi na mashirika yanayojitolea kushiriki katika shughuli za kuboresha elimu na kulinda misingi ya demokrasia katika jamii zao hapa nchini Tanzania. 🌍 Marafiki wa Elimu wanahamasisha jamii, kutetea haki za watoto ikiwemo Elimu, na kupambana na ukatili wa kijinsia—shuleni na majumbani. 📸 Pichani ni Marafiki wa Elimu kutoka Geita, wakiwa kwenye kikao kazi cha kupitia nyenzo kwa ajili ya kufanya zoezi la Ufuatiliaji wa Uwajibikaji Jamii katika utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Taifa wa Elimu Jumuishi 2021/22–2025/26, kutoka kwa wadau mbalimbali katika baadhi ya shule za Halmashauri ya Mji wa Geita. 🤝 Na wewe unaweza kuwa sehemu ya Mabadiliko! Ni rahisi sana kujiunga na Harakati za Marafiki wa Elimu, bonyeza kiunganishi hiki hakielimu.or.tz/jiunge-na-hara… #MarafikiWaElimu #UwajibikajiJamii #ElimuJumuishi
HakiElimu YASHIRIKI UZINDUZI WA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 Julai 17, tumeungana na wadau wengine katika uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 uliofanyika jijini Dodoma na mgeni rasmi akiwa ni Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kwa niaba ya HakiElimu, Mwemezi Makumba, Mkuu wa Idara ya Utafiti na Uchambuzi wa Sera, alihudhuria tukio hili muhimu na la kihistoria. Tunajivunia kuwa miongoni mwa wadau waliotoa mchango mkubwa kuhakikisha kuwa suala la Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto (ECD) linatambuliwa na kuingizwa rasmi katika vipaumbele vya Dira hii mpya. HakiElimu inaendelea kushirikiana na serikali na wadau wengine kuhakikisha utekelezaji wa Dira 2050 unafanikiwa hasa kupitia ushiriki wetu katika kuandaa Mkakati Endelevu wa Utekelezaji wa Dira ambapo HakiElimu katika rasimu yake ya awali, ilijikita katika uchambuzi wa kina wa mfumo wa elimu nchini na kutoa mapendekezo yenye mwelekeo wa elimu tunayoitaka. 🤝 Pamoja tunaweza kujenga Tanzania yenye Maendeleo Jumuishi na Endelevu kwa wote. Sisi tuko tayari kutekeleza Dira 2050, wewe je? #HakiElimu #UstawiWaMtoto #Nitamlinda #Tanzania2050
JE, SHULE ANAYOSOMA MTOTO WAKO NI SALAMA KWELI❓ Je, unajua kuwa: ✅ Mazingira salama hujenga msingi bora wa ujifunzaji? ✅ Watoto hujifunza vizuri zaidi wanapojisikia salama kimwili, kihisia na kiakili? ✅ Shule salama huzuia ukatili, huchochea maadili na huwapa watoto ujasiri wa kufikia ndoto zao? ✅ Wazazi wanapohakikishiwa usalama wa watoto wao, hujitokeza kwa wingi kushiriki katika shughuli za maendeleo ya shule? 🤝 Elimu bora huanza na mazingira salama kwa kila mtoto. 📌Usalama wa shule ni jukumu letu sote – wazazi, walimu, jamii na viongozi. #ShuleSalama #Nitamlinda #ElimuBoraKwaWote #UstawiWaMtoto
Malala Yousafzai Visits HakiElimu: A Milestone for Girls' Education in Tanzania. On July 10, 2025, HakiElimu had the distinct honour of hosting Malala Yousafzai, the youngest-ever Nobel Peace Prize laureate and a renowned Pakistani education activist and girls' rights advocate. Leading a delegation from the Malala Fund, Malala moderated a "Learning Session" that featured panelists representing four Tanzanian bases Malala Fund grantees: HakiElimu, Msichana Initiative, Hope 4 Young Girls, and the Tanzania Education Network (TEN/MET). Malala's visit to HakiElimu signifies a crucial step in our ongoing partnership with the Malala Fund, dedicated to advancing girls' education. Through this collaboration, HakiElimu is currently implementing the Education Champion Network (ECN) project. This initiative strives to cultivate inclusive, safe, and high-quality learning environments for girls in 60 schools across 11 districts: Muleba, Mpwapwa, Kigoma, Njombe, Mbeya, Kilosa, Tabora Municipal, Iramba, Musoma, Korogwe, and Moshi. The project directly benefits 11,772 students (8,116 girls and 3,656 boys) through interventions designed to improve educational outcomes and ensure that no child is left behind. The ECN initiative goes beyond direct student support, actively engaging in policy advocacy and generating evidence to inform decision-making. It also focuses on strengthening the capacity of local governments and school leadership to prevent violence against children. The project challenges harmful social norms and empowers marginalized girls to remain in school and fulfil their educational aspirations. 💪📚 #GirlsEducation #MalalaFund #HakiElimu #EducationForAll.
JE!, MTOTO WAKO ANAKUKUMBUKA KWA LIPI – VITU ULIVYOMLETEA, AU MUDA ULIOMPA? Katika maisha yenye harakati nyingi za utafutaji, tunajikuta tukisahau jambo muhimu zaidi: Uwepo wetu wa kweli kwa watoto wetu. 🔹 Je, unajua kuwa dakika chache unazotenga kwaajili ya kucheza, kumsikiliza na kuzungumza na mtoto wako zina thamani isiyo kifani? 🔹 Dakika hizo chache zinamjengea msingi wa kujiamini, kujifunza na kuwa na upendo wa kweli. Mtoto hatakumbuka bei ya zawadi ulizomletea, lakini hatasahau jinsi ulivyomfanya ajisikie unapokuwa naye. 💙 Anza leo – Jenga kumbukumbu zenye thamani kwa kushiriki maisha ya mtoto wako kila siku. #UstawiWaMtoto #MtotoKwaza #DakikaZaThamani #MaleziYenyeMwitikio #ChezaNaMtoto
TUNAPOSEMA HEDHI SI KIKWAZO – TUNAMAANISHA! Je, unajua? 📊 Kwa mujibu wa ripoti ya UNICEF (2019), nchini Tanzania wasichana hukosa masomo kwa siku 3 hadi 5 kila mwezi kwa kukosa taulo za kike wakati wa hedhi. Lakini kwa wasichana wa shule ya Sekondari Kitete, wilayani Kilosa – hali hiyo imebaki kuwa historia! 🩸✅ Kupitia Klabu za Wanafunzi Vinara “Champions Club”, wasichana hawa wamejifunza kutengeneza taulo za kike kwa njia salama na endelevu - na sasa hawakosi tena masomo wakiwa kwenye hedhi. Je, ungetamani kuona wasichana katika shule au jamii yako wakipata maarifa haya muhimu? Endelea kuwa nasi, pamoja tunayo nafasi ya kuondoa vikwazo vya kielimu kwa wasichana! #OndoaVikwazoAsome #UsawaKatikaElimu #WasichanaWanaweza #KlabuZaVinara #HedhiSalama #Kilosa WHEN WE SAY PERIODS AREN’T A BARRIER – WE MEAN IT! Did you know? 📊 According to a UNICEF report (2019), in Tanzania, girls miss 3 to 5 days of school each month due to lack of access to sanitary pads during their periods. But for the girls at Kitete Secondary School in Kilosa District, that challenge is now history! 🩸✅ Through the Champions Club, these girls have learned how to make safe and sustainable reusable sanitary pads — and now, they no longer miss school because of their periods. Would you like to see girls in your school or community gain access to this life-changing knowledge? Stay with us — together, we have the power to break down educational barriers for girls! #BreakBarriersLetHerLearn #EqualityInEducation #GirlsCan #ChampionsClub #SafePeriods #Kilosa
🚨 Consultancy Alert! 🚨 HakiElimu is inviting qualified consultants to conduct an audit of our ERP System. 💼 Deadline for Submission: 18th July 2025 📩 Submit your technical and financial proposals to: [email protected] 🔍 For full Terms of Reference and application details, visit: hakielimu.or.tz
🧒🏾 Udumavu Unaanzia Nyumbani – Chukua Hatua Sasa! Ripoti ya ufuatiliaji Uwajibikaji wa Jamii iliyotolewa hivi karibuni na Marafiki wa Elimu Mpwapwa imeonesha kuwa familia nyingi zinapata shida kupata milo mitatu kwa siku kwa sababu ya ugumu wa maisha. ⚠️ Hali hii inasababisha watoto kukosa lishe kamili na kusababisha udumavu unaoathiri ukuaji, afya na ujifunzaji wa mtoto. 👶🏾 Watoto wa umri wa miaka 0 hadi 8 wanahitaji kula chakula bora kila siku ili miili na akili zao zikue vizuri. 🗣️ Vunja ukimya! zungumza kuhusu lishe bora kwa mustakabali wa maisha ya mtoto wako. #UstawiWaMtoto #MtotoKwanza #LisheBora #MarafikiwaElimu #Tanzania2050
Cheza Leo, Jenga Kesho Yenye Mafanikio! Watoto wanapocheza, hawafurahii tu bali WANAJIFUNZA! 👉 Kupitia michezo: ✅ Wanajenga misuli na afya bora ✅ Wanajifunza kushirikiana na kufuata sheria ✅ Wanaongeza ubunifu na uwezo wa kufikiri ✅ Wanajifunza kujieleza na kuelewa hisia zao ✅ Wanapata ujasiri wa kujaribu mambo mapya! Uwekezaji katika mazingira salama na yenye nafasi ya kucheza, kunawapa watoto fursa ya kujifunza na kustawi. #UstawiWaMtoto #MtotoKwanza #Tanzania2050
Join Us for an Important Session! Hosted by @HakiElimu and @ten_met We’re excited to introduce our featured discussant, along with the session’s presenter and moderator, for the upcoming discussion on: ‘‘Reintegrating Teenage Mothers into Formal Education System in Tanzania.’’ This session will explore challenges, opportunities, and policy directions for supporting young mothers to continue their education and build brighter futures. When: Thursday, 05th June 2025 Time: 10:00 -11:00 AM Where: Main Hall, Mount Meru Hotel, Arusha. Let’s come together to discuss how we can create a more inclusive and supportive education system for all. Together, we can ensure no girl is left behind. #CSOWeek2025 #PathwaysToProgress #OndoaVikwazoAome #GirlsEducation #EducationForAll cc @tenmet @FlavianaMatata @humanrightstz @CSOWeek @FCSTZ
Vanessa A. Mkagilage @VannesserMalick
9K Followers 2K Following Founder @VAFTanzania | Clinician | @AfricaCDC MHLP Alumni| Youth Champion #MentalHealthAdvocate | #MentalHealth Lived Experience Champion| #AI in MH | Chef 🇹🇿
Jaunita Mayert @JaunitaM39304
93 Followers 3K Following
Africa Updates @africaupdates
171K Followers 188K Following Africa Updates from all corners of Africa. Subscribe to our YouTube: https://t.co/VbcjSle9kw
HakiElimu @HakiElimu
154K Followers 618 Following A non–profit organization strives for an open, just and democratic society with quality education for all. Overall winner of African CSO Excellence Awards.
shedracka martin @ShedrackaM52609
21 Followers 132 Following
RCA GERMANY @RCAinGermany
134 Followers 1K Following Official Account of the Rwandan Community Abroad Germany ( RDD e.V)
ombeni moses @_mos93838
23 Followers 523 Following
Thore @ThoreuYegce
120 Followers 3K Following
seki shangari @SekiShanga10630
11 Followers 322 Following
Maxi @MaxiAllister
10K Followers 5K Following Do unto others as you would want them do unto you. @LFC || X for fun || Medical lab scientist🥼. A liverbird upon my chest 🐔
Sadick M Sadick @SadickMSadick
127 Followers 1K Following born in Mwanza in 1984. He graduated from UDSM in 2010.Fatih treyler
Mwl Mzalendo, GMD �... @AmosAnatory_
4K Followers 7K Following || Teacher || Lawyer || Story Writer || I love Efatha Church || Founder, CEO & GMD @agrinimalgroup || E-mail: [email protected] ||
hehealex @hehealex220221
2K Followers 6K Following
Mwl mjasiliamali @SawayaLeon56018
579 Followers 1K Following
Kunta Kinte @ErNyoni
2K Followers 4K Following
Proffessor Of IQ @dollarstraight0
1K Followers 2K Following
Prosper 💸📻 @muta_94
2K Followers 2K Following Mtoto wa Mkulima || Kijana kutoka Mbwinde || Mpenda Soka
B.T.M Global Tech @msaka_Daily
3K Followers 6K Following 📱 Your trusted source for smartphones & accessories📍 Location: Kawe, Dar es Salaam 📞 Contact: 0786 320 031 REAL MADRID & LIVERPOOL FAN
Linden Mwampashe🇹�... @lindigitalstore
3K Followers 5K Following Social Media Strategist 📱 | Rafiki wa Elimu 📚 | Youth Advocate 🌍 Sharing real stories. Inspiring change.
SELF MADE BILLIONAIRE @MadeinChunya13
2K Followers 2K Following my first Job is to be happy the rest will align itself
RASHID RAMADHAN @RASHIDRAMA83979
41 Followers 744 Following
Planet Kingdom @kamuli910861
290 Followers 892 Following
KUNGUNI PRO MAX🪢 @kungunipromax
5K Followers 4K Following *KATAA DHAMBI YA KUKATA TAMAA KATIKA MAISHA YAKO 👊* MAN UTD FANS ⚽ FOOTBALL & MUSIC
b @ZMazengo
9 Followers 156 Following
Sinior_Junior @SalehBacho
361 Followers 2K Following Not everyone will understand your journey, that's ok! You are here to make progress not to make everyone understand. #SuleshTheMajor
Patrick Gwandumi @GwandumiPa13258
0 Followers 64 Following
MJOMBA @junior_kimambo
1K Followers 7K Following Change Maker, Medical Personnel, Enterprenuer, Dane Wine Agent, Youth Ambassador & Car Dealler💫
winharder_ @winharder_
16K Followers 8K Following Entrepreneur/ Teacher/Digital Advocacy officer/ Safe Online Space Diplomat / #SOSDiplomats #UstawiSalamaMtandaoni #RoadSafetyAmbassador/ #YangaSc
samwelsr @samwelsr1
264 Followers 4K Following Project management, Conservationist,EIA Expert,Tourism and hospitality business consultant.
Chandan Kumar @CKRaiTweets
1K Followers 3K Following Rational Optimist I Communication and Experience Designer l Social and Behavioral change strategist I Sr. Consultant @UNICEF
Patrick Gwandumi @PGwandumi
2 Followers 98 Following
Popa Matumula @PopaToonz
293 Followers 65 Following Popa Matumula is a self-syndicated Tanzanian award-winning Cartoonist & Comic Artist. For commissions & reprinting requests, Email him: [email protected]
Israel Yanga @mwalukon
854 Followers 2K Following RESPECT IS HOW TO TREAT EVERYONE, NOT JUST THOSE YOU WANT TO IMPRESS
D.C WA BUZA @Vascodaggama148
765 Followers 1K Following MASIKINI HANA KIAPO🤔. @Cristiano @Arsenal @Simba
Lutu II @Lutu_II
391 Followers 2K Following Every day brings an opportunity to do something legendary.
Sammy The Trend🇰�... @KuSammy3
2K Followers 2K Following 🚀Tech Enthusiast | System Admin | Cybersecurity Expert | Passionate about innovation and securing digital spaces. #Tech #Cybersecurity 🌐
Mwl mjasiliamali @SawayaLeon56018
579 Followers 1K Following
Kunta Kinte @ErNyoni
2K Followers 4K Following
Prosper 💸📻 @muta_94
2K Followers 2K Following Mtoto wa Mkulima || Kijana kutoka Mbwinde || Mpenda Soka
NURSE WA ZAMU @nurse_wa_zamu
3K Followers 6K Following Creative/Social Media Influencer/ Educator/Health Teller/Content Creator /Medical Advisor/
Proffessor Of IQ @dollarstraight0
1K Followers 2K Following
Adriano @STATIC_RH
323 Followers 320 Following
Nuru🌹🌹 @nuru_yumyum
36K Followers 29K Following The World Need True Love❤️, Safe Sex🍑🍆, Clean Money 💰💰 and Good Leaders. But God Should Be First.
Linden Mwampashe🇹�... @lindigitalstore
3K Followers 5K Following Social Media Strategist 📱 | Rafiki wa Elimu 📚 | Youth Advocate 🌍 Sharing real stories. Inspiring change.
KijomoTJ @KijomoTJ
18K Followers 4K Following Broadcast Operator at EATV (EAST AFRICA TELEVISION) CREATOR. PRO, Music Composer
SELF MADE BILLIONAIRE @MadeinChunya13
2K Followers 2K Following my first Job is to be happy the rest will align itself
KUNGUNI PRO MAX🪢 @kungunipromax
5K Followers 4K Following *KATAA DHAMBI YA KUKATA TAMAA KATIKA MAISHA YAKO 👊* MAN UTD FANS ⚽ FOOTBALL & MUSIC
Shadrack philipo🇹�... @SMsokela
275 Followers 419 Following Graphics designer || Digital Marketer || Social media manager
Mdadisi @Udadisi
110K Followers 45K Following A multimedia platform originally founded as a blog in 2007, currently owned by Udadisi Limited.
Bwanashamba wa taifa ... @msakufarm
13K Followers 2K Following 👨🎓Agronomist,I help serious Farmers to get serious results. Ambassador for @east_west_seed_tanzania and @yaratanzania Cont: +255 767337029
Samuel Eto'o @SamuelEtoo
1.8M Followers 45 Following President of @fecafootofficie // President of @etoofoundation // SC Ambassador @roadto2022
betPawa Tanzania @betPawaTZ
15K Followers 67 Following Official account of betPawa Tanzania. Africa’s trusted sports betting platform. Bet small, win BIG. Licensed. Secure. Responsible. 18+.
𝑩𝒂𝒃𝒂 𝑾... @KamigakikuMbise
49K Followers 2K Following Son Of Jesus/ Entrepreneur/ Farmer/ Let Your Kingdom Come To Me🙏🏾/ Smile more than U cry/ Give more than U take/ Love more than U hate. ~|Psalms 128,46:1-3
Ujuguhapa @Ujuguhapa
60K Followers 15 Following C.E.O : UJUGU ARENA { sina RAFIKI wa KUDUMU sina ADUI wa KUDUMU }
Rise (Techstars 2020)... @Risevest
45K Followers 51 Following The all in one platform for building wealth. Better investments, better returns (Techstars 2020). 🌍
Nickson Kisinga @nickson_Kisinga
9K Followers 806 Following Founder & Product Engineer @MastaOS Building ACLOZO, Masta Voice, MesejiMasta & Masta Cloud. Tanzania → Global. 🚀
Daktari Ya Wamama @OmugaBash
21K Followers 3K Following Stand Up Comedian|Script Writer|Actor|KOT Underated Comedian| @Arsenal die hard| Top plugger wa mtush.
Odds2tu @odds2tu
19K Followers 741 Following Stake what you can afford to lose💰, Chelsea fan 💙 ⚠️If you don't PLAY, you can't WIN⚠️
KIRIKUU✏️ @Kirikuu20
427K Followers 2K Following We Provide Free Tips and Odds || Certified Tipster || Ghost Punter || Follow 🔗 || C.E.O 👉BetsArena
Dr. Daniel Masaba @MasabaDaniel
39K Followers 234 Following Retired Medical Doctor | Entrepreneur | Man of Faith | Contrarian | Always Learning
𝐏𝐡𝐢𝐥𝐢�... @ModernAgri_Tips
8K Followers 421 Following Sustainability & Climate Risk Leader | Agri‑Food Systems Strategist | GRI‑Certified | Scope 1–3 GHG Reporting, Assurance & Decarbonization Planning
































