Dar Young Africans Page .💚💛
Sharing the latest news, photos, and videos of Young Africans SC . Join us to celebrate our team talent and achievements!Joined September 2021
𝐀𝐃𝐍𝐀𝐍 𝐁𝐄𝐇𝐋𝐔𝐋𝐎𝐕𝐈𝐂 via Yanga SC
Napenda kutoa shukurani kwa viongozi na Benchi la ufundi na wachezaji wote.tulikuwa na wakati muzuri sana,bira kusahau mashabiki wa 𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚𝐒𝐜 kwa upendo wenu nilijiona nipo nyumbani wakati wote.
"Tangu nilipokutana nawe (Hamisa), nilijua kuwa wewe ni wangu wa milele. Wewe ni ushindi wangu mkubwa, ndoto yangu nzuri zaidi imetimia."
"Mwaka jana, nilipiga shuti muhimu zaidi-sio uwanjani, lakini kwa goti moja. Na uliposema NDIYO, Dunia yangu ilibadilika milele."
Aziz Ki.
Licha ya kutopata matokeo chanya katika sare ya jana dhidi ya JKT Tanzania. Bado straika wa Klabu ya Yanga Clement Mzize ni kinara wa mabao - NBC PL 🇹🇿 2024-25 hadi sasa
1. Clement Mzize (Yanga): 9️⃣
2. Jean Ahoua (Simba): 8️⃣
3. Lionel Ateba (Simba): 8️⃣
4. Elvis Rupia Singida 8️⃣
Mchora katuni wa DW Saidi Michael ameilezea Klabu ya Yanga kwa namna ya tofauti katika kuadhimisha miaka 90 tokea kuanzishwa kwake.
Kwako wewe mwananchi, miaka 90 ya klabu yako inasadifu nini?
MIAKA 90 YA YANGA SC: “Nembo ya Young Africans imepitia mabadiliko mara nne” maneno Mzee Mudhihir Mudhihir akitoa historian ya safari ya Yanga ambayo leo Februari 11, inatimiza miaka 90 tangu kuanzishwa kwake.
Via @azamsportshd
#YangaSC#YangaMiaka90
ILIANZISHWA Kama njia ya kupigania uhuru wa Tanganyika baada ya Wakoloni kugomea mikusanyiko nchini isipokuwa soka tu.Ikapitia vipindi vigumu na kutokea mgawanyiko kwa nyakati tofauti tofauti ukiwemo ule uliosababisha kutokea kwa Yanga asili na Yanga Kampuni, sasa ina miaka 90.
408 Followers 591 FollowingThe world is ruthless..no one cares till you make it #keepfighting.. Blessed the hand that gives🙏🙏 @YoungAfricansSC💚 fan of all time and @Chelseafc
680 Followers 929 FollowingMdau wa anga na nyota 🌌 | Mpenzi wa mambo yanayohusu anga za mbali na ulimwengu kwa ujumla | Kila unachokiona angani kina historia yake| GOD DID 💯| @LFC
1K Followers 948 FollowingFootball fan @young AfricansSc🔰🔰 @Manchester City& @realmadrid @Cristiano
#Kwenye maisha ukiwa mkweli na muwazi utawakosa watu wengi.
300 Followers 359 FollowingArsenal the gunx⚽||
living life on my own terms, I don't care what people think of me, I was born to do exactly what i'm doing today✊
3K Followers 3K FollowingJaribu kilicho tofauti kwa kupata dondoo za mikeka kutoka ligi mbalimbali duniani.
Cheza kistaarabu 🔞
Kumbuka; betting haitaki hasira na betting siyo ajira.
43K Followers 3K FollowingLaboratory scientist 🥼 | Picha mbao| Story Za Mziki bongo #MadiniNaPatron
Whatsup 0769063447 business
https://t.co/eafnnrcZyv
9K Followers 9K FollowingHabari wakati wote kwa weledi ,APP ya Matukio Daima ni Bure Pakua kupitia Google Play store kama unatangazo au habari ☎️0754 026 299
408 Followers 591 FollowingThe world is ruthless..no one cares till you make it #keepfighting.. Blessed the hand that gives🙏🙏 @YoungAfricansSC💚 fan of all time and @Chelseafc
680 Followers 929 FollowingMdau wa anga na nyota 🌌 | Mpenzi wa mambo yanayohusu anga za mbali na ulimwengu kwa ujumla | Kila unachokiona angani kina historia yake| GOD DID 💯| @LFC
686 Followers 387 FollowingMarketing officer kinglion mabati mwanza phone number 0746969085....
muuza bundle mitandao yote halotel vodacom tigo na airtel.... Kila kitu ni kwa huamifu....
1K Followers 948 FollowingFootball fan @young AfricansSc🔰🔰 @Manchester City& @realmadrid @Cristiano
#Kwenye maisha ukiwa mkweli na muwazi utawakosa watu wengi.