@BenMembe Angalia mlivyo wanafiki eti muungane!? Huo ukuta uliwashinda kila mmoja ana uchu wa madaraka.wewe hupiti ng'o hata huyo kibaraka wa ubeligiji hapiti hata akatambike mwezini
@AlfredMasesa1@BayaRashidi@fatma_karume Wewe Ni layman barabara na madaraja Ni miundo mbinu inayo facilitate hayo yote unayo yaongea.punguzeni ujinga na mihemko ya kisiasa
@HildaNewton21@freemanmbowetz Pelekeni siasa zenu na Kiki zenu hukohuko kwenye chama chenu mambo ya kitaifa yanq protocol zake.nyie mmekuwa wakwenda kinyume na taratibu kila wakati ndio maana hata huyo rais wenu Domo Kaya alivuliwa ubunge kwa upumbavu.
@RingoMzawa @HildaNewton21@freemanmbowetz Mnajipambanua wenye akili kumbe nyinyi na viongozi wenu wote nima bogus tu.mnaleta siasa kwenye mambo ya kitaifa mnatafuta attention ya watu kwenye mambo ya kitaifa.kila wakati taratibu zinawashinda ndio maana huyo rais wenu wa mashoga alifukuzwa ubunge.
@TunduALissu Mwanasheria kujadili vitu vya kusikia Ni aibu.hiyo haki ya kupotosha,na kutukana serikali mmeipata wapi? Wewe ukiwa rais halafu uone watu wanakutukana Hadi matusi ya nguoni utapendezwa?
@IamJongwe__ Wapuuzi tu nyie mie nikifikili mko majimboni mwenu kumbe kila mtu unamsikia Yuko Dar.nchi ikiwa na viongozi wapumbavu waimba rap Kama nyie Ni shida tupu.bs kila mtu akimbie ofisi hata madaktari na wizara ya afya nayo iache ofisi kila mtu aende kula bata
@Thomasjosephat6@kigogo2014 Uongo mtupu hao walio kufa hawana ndugu,jamaa hata rafiki.kwamba tusipate habari Wala post za kupoteza wapendwa wao Kama ilivyo kwa wanao fanyiwa wengine!! Danganyaneni tu hata mkipostiwa mapicha ya walio kuwa wakizikwa kwa sababu ya Ebola mtakubali 😂😂😂
@kigogo2014 Kwa Tz ya Leo hii ya social media kwamba watu wafe halafu hata ndugu,jamaa Wala rafiki asipost amepoteza mpendwa wake kwa corona!? 🤣🤣🤣 Danganya mapunga zeze wenzio
308K Followers 2 FollowingHuman Rights Advocate || Exposing abuses || Protecting civic freedoms || Equality & Rule of law || Equality means the whole bundle of rights, not a reduced set.
1.5M Followers 789 FollowingOfficial X handle of Kigogo Media I The uncensored,unfiltered and unbiased online news in East Africa I Email: [email protected]
1.2M Followers 662 FollowingWho’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fight
2.2M Followers 251 FollowingHuu ni ukurasa wa habari za dunia kutoka BBC. Facebook: https://t.co/ZZJDhvaNyo. Instagram: https://t.co/LqmfEIlht3. YouTube: https://t.co/mv5T3KheUN.
601K Followers 11 FollowingBunge la Tanzania ni baraza la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linalotunga sheria na kuisimamia serikali katika utekelezaji wa majukumu yake.
762K Followers 10 FollowingUkurasa Rasmi wa Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania 🇹🇿 | The Official Account of the Chief Spokesman of the Government of Tanzania 🇹🇿