freeCodeCamp.org in Swahili @freeCodeCampSW
Sisi ni jumuiya ya mamilioni ya watu ambao wanajenga ujuzi mpya na kupata kazi mpya pamoja. Shirika lisilo la faida la 501(c)(3). Twiti kutoka kwa @larymak1 Joined October 2021-
Tweets121
-
Followers337
-
Following38
-
Likes27
Heri ya Siku ya Kiswahili Duniani! 🥳 Ni fursa nyingine ya kuthamini urithi wetu, kukuza utofauti wa tamaduni, na kusisitiza umuhimu wa lugha yetu.
Heri ya Siku ya Kiswahili Duniani! 🥳 Ni fursa nyingine ya kuthamini urithi wetu, kukuza utofauti wa tamaduni, na kusisitiza umuhimu wa lugha yetu.
Happy Swahili Day! Waendelezaji mahiri na Wapangaji wa programu. Celebrate the beauty of Usimbaji, Kubuni, and Uhandisi wa Usanifu in our rich Kiswahili culture! #SwahiliDay #Kiswahili.
Happy Swahili Day! Waendelezaji mahiri na Wapangaji wa programu. Celebrate the beauty of Usimbaji, Kubuni, and Uhandisi wa Usanifu in our rich Kiswahili culture! #SwahiliDay #Kiswahili.
🎉 Tunasherehekea miaka 9 ya kuwepo kwa @freeCodeCamp! 🎂 Asante kwa jamii yetu ya wanafunzi na wachangiajiambao wamewezesha safari hii. Kwa pamoja, tumewawezesha mamilioni kujifunza jinsi ya kuandika msimbo. 🚀 Tuendelee na azma yetu ya kufanya elimu ipatikane kwa kila mtu! 🌐
Wadau! Kumbuka kuwa, Ingawa teknolojia inaleta mabadiliko makubwa, usisahau thamani ya ujuzi wako na mchango wako katika kuboresha maisha ya wengine. Muwe na wiki yenye tija. 💪✨
🎉Habari Njema!🎉 Je, unafahamu kuwa unaweza pata cheti cha "Responsive Web Design" kwa Kiswahili? Shukrani za dhati kwa wale walio jitolea kuhakikisha hili linawezekana. Usiachwe nyuma, jiunge nasi tunapoendelea kufanya kazi kwenye miradi mingine ya mtaala wa freeCodeCamp 🚀
🚀 Exciting news! The @freeCodeCampSW curriculum is now live! 🇹🇿🇰🇪 Shukrani kubwa kwa timu iliyofanya hili liwezekane, huu ni mwanzo tuu. Tuko katika harakati ya kutafsiri mtaala mzima wa freeCodeCamp na unaweza kujiunga nasi freecodecamp.org/news/help-tran… Hapa kuna muonekano
Kama Waswahili wasemavyo🤝 Ushirikiano ni nguvu! Kwa pamoja tushirikiane kuboresha teknolojia kwa Kiswahili. Angalia miradi inayohitaji msaada na ushiriki, Hapa kuna baadhi yazo: - freecodecamp.crowdin.com/curriculum/sw - nuruprogramming.org
Unapoanza safari yako ya #Hacktoberfest2023, Tunahamasisha wote kuanza mwezi huu kwa kuchangia kwenye miradi inayosaidia lugha ya Kiswahili. Kwa mfano, unaweza kusaidia kutafsiri mtaala wa freeCodeCamp kama sehemu ya mchango. Kila mchango unahesabika! 🌍💡
🚀Hacktoberfest iko hapa! 🎉 Sisi kama jamii inayozungumza Kiswahili, huu ni wakati wetu wa kuchangia, kukuza na kuboresha teknolojia kwa Kiswahili kupitia miradi ya chanzo-wazi Tuungane pamoja na tuhakikishe lugha yetu inasikika duniani kote! 🌐💙
Wadau! Ulimwengu wa teknolojia unabadilika kila siku. Kuwa tayari kujifunza na kukumbatia mabadiliko, kwani ndio njia ya kusonga mbele.
Kama nyongeza ya chapisho la jana, hapa kuna podcasts zaidi za teknolojia za Kiafrika unazoweza kusikiliza na kujifunza : - Swahili Tek => swahili-tek.simplecast.com - TechTalk Africa => linktr.ee/tt_afrika - Moses Kemibaro Podcast => open.spotify.com/show/4uxvWAVig…
Imepita muda tangu tulipotoa chapisho letu la mwisho. Natumaini wote mko salama katika. Je, umesikiliza podcast yetu? Ina hadithi za kuhamasisha kutoka kwa waendelezaji mbalimbali. Kama bado, unaweza kuisikiliza hapa 👇 freecodecamp.libsyn.com
Gundua Teknolojia kwa Kiswahili 🔍 Tupo na hamu kubwa kuwaletea njia mpya ya kuongeza maarifa yenu ya teknolojia 🚀. Tuunganishe pengo la lugha kwa kuongeza ufahamu wetu! 📚 Jifunze neno jipya. Jiandae kuongeza msamiati wako wa teknolojia na kuboresha ujifunzaji wako 🌱💡
Kila msanidi programu ana hadithi yake ya kipekee ya mafanikio. Jiinue kwa kutumia hadithi yako kuhamasisha na kuwahamasisha wengine.💡🌍 Wiki njema yenye mafanikio!💪✨
Wakurugenzi! Tupo katikati ya wiki! 🌟 Unaendelea vipi, Je ni miradi ya aina gani unayofanyia kazi? Shiriki nasi, tungependa kusikia kutoka kwako ! 🚀 Kwa upande wetu, tunautafsiri mtaala ya freeCodeCamp wa JS ili uweze kupatikana kwa lugha ya Kiswahili.
Wadau! Fanyeni kazi kwa bidii na maarifa, hakuna shida isiyoweza kutatuliwa. Uvumilivu na ubunifu ni ufunguo wa mafanikio yako. Muwe na wiki yenye tija. 💪✨
Kama mwanateknolojia, mchakato wako ni sawa na uundaji wa sanaa. Hakikisha kazi yako inaacha alama nzuri katika ulimwengu wa dijiti. Endelea kujituma ili kuleta ubunifu, uvumbuzi, na suluhisho zinazoleta faida kwa jamii na ulimwengu kwa ujumla. Heri ya mwezi mpya! 🌟🚀
Teknolojia ni jukwaa lako la kujenga ndoto zako. Kuwa jasiri, jifunze kila siku, na hakuna kitu kinachokuzuia. Muwe na wiki yenye tija. 💪✨
Kwa wanateknolojia wote, tuchukue fursa hii adhimu kuungana pamoja, kujifunza kuhusu maendeleo mapya ya teknolojia, na kwa umuhimu zaidi, kusherehekea utamaduni wa Kiswahili. Tukutane pwani ya Kenya!
Kwa wanateknolojia wote, tuchukue fursa hii adhimu kuungana pamoja, kujifunza kuhusu maendeleo mapya ya teknolojia, na kwa umuhimu zaidi, kusherehekea utamaduni wa Kiswahili. Tukutane pwani ya Kenya!

Neuro_Punk_77_ @shortlandpalmer
24 Followers 599 Following #AuDHDer #NeuroPunk #NeuroRevolution #AuNarchist #AuNarchy #AuNarchism #Autism #ADHD #MADD #PTSD #CPTSD #NeuroDivergent #NeuroDivergence #NULL_VOID_
Bernard Wilkinson @BernardWil57331
91 Followers 4K Following
Malcolm Stanley Vambe... @Mal_ComeUp
781 Followers 5K Following https://t.co/xr5fZUMAEK https://t.co/DWVcLIsWwt Born in Dar Es Salaam, Tanzania (land of peace). Grew up in Japan 日本 (Land of the Rising sun), come from Zimbabwe (House of Stone).
Shekhar Bhandari @ShekharBha99161
2 Followers 36 Following
Subject For Subject M... @SubjectMonarchs
6 Followers 188 Following A right-wing media organization.
Lawrence Musula @De_Dringo
11 Followers 213 Following
CRISTIAN SANTIAGO @crisxanti
58 Followers 1K Following
Luchito.js⌨🧮 @LdordellyDev
364 Followers 6K Following Cloud Architect|| Gcp cloud|| SecDevOps 👾 || Backep developer || 🧑💻
carlos mayo @carloshmayo
0 Followers 48 Following Frontend developer || JavaScript || React || Git & Github
Minayo @devmudeizi
92 Followers 477 Following @alx_africa alumni | Software Engineer | Creative Artist |Coding with HTML,CSS JS, Python, SQL &Flask. Git & GitHub maestro. The synergy of technology and art
No name to display @swalehbadawy97
34 Followers 81 Following
mbogaYaAfrica @african_spinach
854 Followers 1K Following When African Spinach is uprooted from STEM, he thrives in the world of poetry, music, and more poetry. also, napenda kuosha vyombo
Jurgen Nambeka @jurgennambeka
286 Followers 2K Following A passionate journalist dedicated to giving a voice to the marginalized through the media A journalist for NMG | Taifa Leo | Daily Nation @NationMediaGrp
Joel Antoine @jahzziztico
379 Followers 572 Following
إل ماجنيتو @magnito_el
264 Followers 2K Following عالم مهندس كهربائي، الذكاء الاصطناعي في الأنظمة المضمنة
Anthony Kabaka @anthonykabaka66
126 Followers 1K Following I sell Internet @DataFlow Telecoms, Coder & WEB3.
james kitui @james__kitui
192 Followers 4K Following
Clifford Ouma @clifford_ouma
2K Followers 624 Following .NET | C# | Supporting OSS @OpenTerms | GCE🚩| #PostmanStudent | #MLSA | @IEEE_Moi | @gdsc_moi | Occasional athlete | Arsenal Fan ⚽
Nkosi Sats ₿⚡🇿... @ZuluManTz
83 Followers 1K Following Digital Accountant |Content Creator|Pan-Africanist,Tanzania. Cryptocurrency & DLT, Archaeologist, Economist.
Mini @IamOmaryAlly
560 Followers 2K Following
Fahad Thabit Amour ||... @FahadAmour
161 Followers 1K Following Muslim || Frontend developer || Building Shujaa Pay || On a mission to revolutionize African Social commerce by building trust, one transaction at a time 🌍🚀
lemis_kutswa @KutswaLemis
176 Followers 233 Following
Neema @neemamfuru_
891 Followers 947 Following Saved✝️ || Building @Kibuti_Bot || Digital Inclusion || Tech Enthusiast || 📸
Benedict @bmsteven_
295 Followers 207 Following deploying to prod on Fridays @clickpesa & @flexcodelabs
Snevy @Sneviy
305 Followers 1K Following Web developer || Frontend|| backend||MERN stack || JavaScript, React, Nextjs, MySQL, Mongodb, Expressjs
IX @KvinPotter
238 Followers 308 Following
Olateju Olamide @OlatejuOlamid10
1K Followers 6K Following SWE |Co-Founder @MamaCare | React, React Native, Laravel, Linux, Docker | Building CppCamp and Mobile Apps | ML Enthusiast
Happiness Neema Jr. @JrNeema
454 Followers 1K Following Web developer| Data Science & AI enthusiast| Creative writer| Friend of God| #jeyuso fan since day one☝ #goaldigger I wear crowns of my own creations.
B&B @bonny_kenya
45 Followers 224 Following Risk going too far and find out how far one can possibly get
freeCodeCamp.org in I... @freeCodeCampID
161 Followers 35 Following We're a community of millions of people who are building new skills and getting new jobs together. A 501(c)(3) public charity.
Hillary Nyakundi @larymak1
2K Followers 290 Following Technical Writer ✍ || Developing Curriculum @freeCodeCamp
Kylie Ying @kylieyying
6K Followers 660 Following MIT EECS + Physics | YouTube @ Kylie Ying (60k+) | Team USA ‘18-‘20 | Things I like: dogs, sunsets, ice skating, AI, poker
Estefania Cassingena @EstefaniaCassN
13K Followers 176 Following Software developer, technical writer, and instructor. I teach coding @freeCodeCamp, @Udemy and my YouTube channel Coding with Estefania.
Ania Kubów #JavaScri... @ania_kubow
94K Followers 8K Following https://t.co/V1risFsL7S + creator for non profit @freecodecamp 🤙 🚀 My Course: https://t.co/h5Ei9ye6Xr
freeCodeCamp.org in I... @freeCodeCampIT
348 Followers 19 Following Siamo una community di milioni di persone che stanno ottenendo nuove competenze e nuovi lavori assieme. Una no-profit 501(c)(3). tweet di @_DarioDC.
Jessica Wilkins @codergirl1991
5K Followers 732 Following I love working with web technologies, and hanging out with cool people in tech. Currently working full time @freecodecamp ❤️
Kọ́ládé Chris @Ksound22
3K Followers 792 Following African 🌍 Christian ✝️ fCC stan 🖥️ Football lover ⚽ Software dev & tech writer empowering your growth with daily content 🗓️ Let's level up together!
freeCodeCamp.org in P... @freecodecampPT
2K Followers 44 Following Uma comunidade com milhões de pessoas buscando novas habilidades e empregos em tecnologia juntas. ONG sem fins lucrativos – 501(c)(3). Tweets por @Daniel__Rosa
freeCodeCamp.org in F... @freeCodeCampFR
491 Followers 14 Following We're a community of milliions of people who are bulding new skills and getting new jobs together. A 501(c)(3) nonprofit.
freeCodeCamp.org in J... @freecodecampJA
508 Followers 52 Following freeCodeCamp は、新しいスキルを身につけ、仕事につなげようと努力する人々のコミュニティです。(501(c)(3) 非営利団体) Tweets by @_sidemt
freeCodeCamp.org en E... @freeCodeCampES
68K Followers 109 Following Una comunidad latinoamericana que están construyendo un futuro más brillante juntos. Una organización sin fines de lucro 501(c)(3). Tweets por @RafaelDavisH
Miya Liu @miyaliu666
435 Followers 53 Following
freeCodeCamp.org in A... @freeCodeCampAR
3K Followers 14 Following نحن مجتمع يضم ملايين الأشخاص الذين ينمون مهارات جديدة ويحصلون على وظائف جديدة في نفس الوقت. المنظمة غير ربحية 501(c)(3). التغريدات بواسطة @codezilla_
freeCodeCamp.org in R... @freecodecampRU
159 Followers 13 Following Мы-сообщество миллионов людей, которые вместе создают новые навыки и получают новые рабочие места. А 501(с)(3) некоммерческая организация.
Mrugesh Mohapatra �... @raisedadead
2K Followers 390 Following nocturnal developer • open-source enthusiast • noob photographer • devops • homelabs • cloud & infra @freecodecamp
Ahmad @ahmaxed
574 Followers 323 Following Iraqi, grew up in Iran, studied in U.S, lives in Turkey Former biz analyst turned dev design data @freecodecamp
Rafael D Hernandez �... @RafaelDavisH
2K Followers 473 Following Desarrollador web | Entusiasta del café y JavaScript | Padre de familia y amigo. Un poco batería. 🖥️☕️🥁
Quincy Larson @ossia
293K Followers 824 Following Teacher and founder of @freecodecamp. 🏕️ Teach yourself math, programming, computer science, world languages – all for free. A 501(c)(3) public charity.
freeCodeCamp.org @freeCodeCamp
950K Followers 158 Following We're a community of millions of people who are building new skills and getting new jobs together. A 501(c)(3) public charity. Tweets by @abbeyrenn.
Kris Koishigawa @kriskoishigawa
935 Followers 824 Following Developer and teacher at @freeCodeCamp | Former English teacher turned self-taught dev | Technically a startup founder in South Korea
Beau Carnes @beaucarnes
19K Followers 800 Following I'm a teacher and developer at @freeCodeCamp. I post short tutorial videos at https://t.co/5x16EO9vme.
Abigail Rennemeyer @abbeyrenn
7K Followers 253 Following freeCodeCamp Editor | world traveler | life-long learner | nature lover
freeCodeCamp.org 中�... @freeCodeCampZH
2K Followers 82 Following freeCodeCamp 是一个 501(c)(3) 非营利组织。数百万人正在我们的社区中学习新技能,实现职业发展目标。Tweets by @miyaliu666
freeCodeCamp.org in H... @freeCodeCampHE
16 Followers 21 Following We're a community of millions of people who are building new skills and getting new jobs together. A 501(c)(3) nonprofit.
freeCodeCamp.org in G... @freeCodeCampEL
24 Followers 21 Following We're a community of millions of people who are building new skills and getting new jobs together. A 501(c)(3) nonprofit.
freeCodeCamp.org in D... @freeCodeCampDA
18 Followers 22 Following We're a community of millions of people who are building new skills and getting new jobs together. A 501(c)(3) nonprofit.
freeCodeCamp.org in C... @freeCodeCampCS
17 Followers 19 Following We're a community of millions of people who are building new skills and getting new jobs together. A 501(c)(3) nonprofit.
freeCodeCamp.org in A... @freeCodeCampAF
27 Followers 17 Following We're a community of millions of people who are building new skills and getting new jobs together. A 501(c)(3) nonprofit.
freeCodeCamp.org in P... @freeCodeCampFA
20 Followers 19 Following We're a community of millions of people who are building new skills and getting new jobs together. A 501(c)(3) nonprofit.
freeCodeCamp.org in V... @freeCodeCampVI
16 Followers 22 Following We're a community of millions of people who are building new skills and getting new jobs together. A 501(c)(3) nonprofit.
freeCodeCamp.org in T... @freeCodeCampTR
24 Followers 20 Following Birlikte yeni beceriler geliştiren ve yeni meslekler edinen, milyonlarca insandan oluşan bir topluluğuz. Kar amacı gütmeyen bir 501(c)(3) kuruluşu.
freeCodeCamp.org in C... @freeCodeCampCA
32 Followers 20 Following We're a community of millions of people who are building new skills and getting new jobs together. A 501(c)(3) nonprofit.
freeCodeCamp.org in B... @freeCodeCampBN
299 Followers 21 Following We're a community of millions of people who are building new skills and getting new jobs together. A 501(c)(3) nonprofit. Tweets by @frhnhsin
freeCodeCamp.org ук... @freeCodeCampUK
275 Followers 39 Following Мільйони людей зібралися в одній спільноті, щоб разом оволодіти новими навичками і знайти нову роботу. Некомерційна організація 501(c)(3). Твіти від @anisiangel
freeCodeCamp.org in F... @freeCodeCampFI
24 Followers 25 Following Olemme miljoonien ihmisten yhteisö, joka rakentaa uusia taitoja ja saa uusia töitä yhdessä. A 501(c) (3) voittoa tavoittelematon.