Search results for #IngeaUsikike
Amekuwa akitafutia nani huko Nairobi? Saa hii maisha imemlea ndio anataka arudi nimlishe, siwezi!‼️ @GidiOgidi @Ghost_Mulee @MartinJnr13 instagram.com/reel/CzS5ontA0… #patanisho #GidiNaGhistAsubuhi #IngeaUsikike
Hatujawahi ambiwa kiini cha kifo cha mtoto wetu. Tunachojua ni kwamba alikuwa na majeruhi ya kupigwa na kunyongwa. instagram.com/reel/CzLnleisZ… #ilikuaje #jambomassawe #IngeaUsikike
.@Mbusii afichua wakati alipoteza ubikira 😂 @Liondeh instagram.com/reel/CxYa0rDot… #MbusiiNaLionTekeTeke #IngeaUsikike
@MwololoBramwell @RadioJamboKenya @williekamau I don't care where he will stand! Let him stand where he wants!?! #SIASA #MazungumzoWaziWazi #IngeaUsikike
Maoni yako ni yapi kuhusu vile IEBC imefanya shughuli ya uchaguzi wa mwaka huu? Kuanzia kwa usajili wa wapiga kura, upigaji kura na sasa kuhesabiwa kwa kura. instagram.com/reel/ChGyHCbId… #KenyaDecides2022 #GidiNaGhostAsubuhi #IngeaUsikike
Habari wanazo it's Bustani all the way🔥🔥🔥...#JamboMassawe #IngeaUsikike
Habari wanazo it's Bustani all the way🔥🔥🔥...#JamboMassawe #IngeaUsikike
Asante sana @ElvisvoiceO kwa kutembelea studio zetu. Unaweza kusikiza wimbo wake mpya #Jaber YouTube @MassaweJapanni #ILIKUAJE #JamboMassawe #IngeaUsikike
Wakenya wengi wanaishi kwa fuliza!!!! Je, wewe ni mmoja wao na inekuwaje kwako? Sema nasi kwa simu, 0204445975 au ‘sms’, 22494 #GidiNaGhostAsubuhi #IngeaUsikike
@RadioJamboKenya Kibra kapsara magorofani Nairobi #MazungumzoWaziWazi #IngeaUsikike Bram huo ndio ukweli kabisaaaaa100% juu bila mtoto kwa ndoa hapo hakuna ndoa
Vasco Da Gama ana vinyago viwili 🤭😆. #StoryZaGhost #GidiNaGhostAsubuhi #IngeaUsikike
Unajibamba anavyojibamba @Ghost_Mulee hapa? 😂😂 🎶🎶 : #Loi na @KoffiOlomide_MM #GidiNaGhostAsubuhi #IngeaUsikike
@RadioJamboKenya @GidiOgidi @Ghost_Mulee @_naomnyaboke @MartinJnr13 #GidiNaGhostAsubuhi. @GidiOgidi @Ghost_Mulee @_naomnyaboke @MartinJnr13 #IngeaUsikike Asalam aleikhum,, Meru inaskiza
Amka na kicheko, tabasamu, furaha ndani ya #GidiNaGhostAsubuhi. Je unasikiza? 0204445975, 22494 @GidiOgidi @Ghost_Mulee @_naomnyaboke @MartinJnr13 #IngeaUsikike
@RadioJamboKenya Naweza pata msichana 20 above #IngeaUsikike
Je, maoni yako ni yapi kuhusu ghasia zilizoshuhudiwa jana katika chaguzi ndogo? Je, ni mambo tunafaa kutarajia katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao na ni mikakati gani inafaa kuwekwa kuyazuia? #GidiNaGhostAsubuhi #IngeaUsikike
@RadioJamboKenya Wako Salama Kapsaa #NjamboMassawe #IngeaUsikike