Search results for #injilimtandaoni
Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii, Bwana awajua walio wake. Na tena, Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu. 2 Timotheo 2:19 SUV #biblestudy #VerseOfTheDay #injilimtandaoni #TANZANIA #Kenya #Uganda #swahili
Mungu si mtu, hata aseme uongo, wala yeye si mwanadamu, hata ajute. Je, anasema, kisha asitende? Je, anaahidi, asitimize? Hesabu 23:19 NEN #injilimtandaoni
𝐙𝐚𝐛𝐮𝐫𝐢 𝟏𝟎𝟓:𝟒 𝐒𝐔𝐕 Mtafuteni Bwana na nguvu zake, utafuteni uso wake siku zote. #injilimtandaoni
ndani ya Yesu Kristo. Yeye pekee ndiye mwenye nguvu ya kuondoa nguvu ya dhambi ndani ya mioyo yetu. Mwamini leo na utapokea ushindi juu ya uraibu wowote. #injilimtandaoni #wisdom #hekima
Bwana ni mwamba wangu, ngome yangu na mwokozi wangu, Mungu wangu ni mwamba, ambaye kwake ninakimbilia. Yeye ni ngao yangu na pembe ya wokovu wangu, ngome yangu. Zaburi 18:2 NEN #injilimtandaoni
kama kusamehewa dhambi. Kama bado hujafanya hivyo. Ifanye leo iwe siku yako ya kusamehewa dhambi na makosa yako yote. Haijalishi ni kosa gani umefanya Yesu atakusamehe. #injilimtandaoni
Yeye amhurumiaye maskini humkopesha Bwana, naye atamtuza kwa aliyotenda. Mithali 19:17 NEN #injilimtandaoni
Kwa kuwa uweza wake wa Uungu umetukirimia vitu vyote vipasavyo uzima na utauwa, kwa kumjua yeye aliyetuita kwa utukufu wake na wema wake mwenyewe. 2 Petro 1:3 SUV #injilimtandaoni
𝗬𝗼𝗵𝗮𝗻𝗮 𝟯:𝟭𝟲 𝗦𝗨𝗩 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. #injilimtandaoni
𝗭𝗮𝗯𝘂𝗿𝗶 𝟭𝟰𝟯:𝟴 𝗦𝗨𝗩 Unifanye kusikia fadhili zako asubuhi, Kwa maana nimekutumaini Wewe. Unijulishe njia nitakayoiendea, Kwa maana nakuinulia nafsi yangu. #injilimtandaoni
𝗭𝗮𝗯𝘂𝗿𝗶 𝟭𝟬𝟯:𝟭𝟯 𝗦𝗨𝗩 Kama vile baba awahurumiavyo watoto wake, Ndivyo BWANA anavyowahurumia wamchao. #injilimtandaoni
𝗭𝗮𝗯𝘂𝗿𝗶 𝟭𝟯𝟵:𝟮𝟯-𝟮𝟰 𝗦𝗨𝗩 Ee Mungu, unichunguze, uujue moyo wangu, Unijaribu, uyajue mawazo yangu; Uone kama iko njia iletayo majuto ndani yangu, Ukaniongoze katika njia ya milele. #injilimtandaoni
𝗭𝗮𝗯𝘂𝗿𝗶 𝟭𝟭𝟭:𝟭𝟬 𝗦𝗨𝗩 Kumcha BWANA ndio mwanzo wa hekima, Wote wafanyao hayo wana akili njema, Sifa zake zakaa milele. #injilimtandaoni
kudumisha uhusiano mzuri na Mungu. Pamoja na Mungu tunashinda changamoto zote za kimaisha. #injilimtandaoni
𝗭𝗮𝗯𝘂𝗿𝗶 𝟭:𝟭 𝗦𝗨𝗩 Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. #injilimtandaoni #wokovu #nenolamungu
𝗪𝗮𝗿𝘂𝗺𝗶 𝟭𝟮:𝟭𝟬 𝗡𝗘𝗡 Pendaneni ninyi kwa ninyi kwa upendo wa ndugu. Waheshimuni na kuwatanguliza wengine. #injilimtandaoni
𝗬𝗼𝗲𝗹𝗶 𝟮:𝟯𝟮 𝗦𝗨𝗩 Na itakuwa ya kwamba mtu awaye yote atakayeliita jina la BWANA ataponywa; kwa kuwa katika mlima Sayuni na katika Yerusalemu watakuwako watu watakaookoka, kama BWANA alivyosema; na katika mabaki, hao awaitao BWANA. #injilimtandaoni
𝗭𝗮𝗯𝘂𝗿𝗶 𝟭𝟮𝟭:𝟮 𝗦𝗨𝗩 Msaada wangu u katika BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi. #injilimtandaoni
𝗭𝗮𝗯𝘂𝗿𝗶 𝟭𝟴:𝟮-𝟯 𝗦𝗨𝗩 BWANA ni jabali langu, na boma langu, na mwokozi wangu, Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia, Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, na ngome yangu. Nitamwita BWANA astahiliye kusifiwa, Hivyo nitaokoka na adui zangu. #injilimtandaoni
𝟭 𝗬𝗼𝗵𝗮𝗻𝗮 𝟰:𝟭𝟲 𝗦𝗨𝗩 Nasi tumelifahamu pendo alilo nalo Mungu kwetu sisi, na kuliamini. Mungu ni upendo, naye akaaye katika pendo, hukaa ndani ya Mungu, na Mungu hukaa ndani yake. #injilimtandaoni
