Search results for #mazingira
MEI MOSI!.. Tunathamini mchango wako katika maendeleo. Tunawatakia Heri na maadhimisho mema ya sikukuu ya wafanyakazi. Tunza mazingira ni Afya #MeiMosi #adsonreels #afyakwanza #Mazingira #usafi
Ushirikiano wa kimataifa katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi unazidi kushamiri. Je, jitihada hizi zitatosha kuleta mabadiliko makubwa? #Tabianchi #Ushirikiano #Mazingira"
WASILIANA NASI!.. Tunabeba Taka viwandani, majumbani, hosteli, shule, hotel, camp, kumbi za starehe N.k Ndani ya Jiji la Mbeya. Sasa tunapatikana kupitia www.greencitywastesolution.service #Mazingira #usafi #afyakwanza #mbeya #tanzania
#Updates: #Kenya's October 10 Public holiday has been renamed #Mazingira Day, from #Utamaduni Day. Mazingira Day, according to the new changes will be a day for all #Kenyans to participate in environment conservation activities. #flooding #ClimateChange
What has the Floods in Nairobi and Kenya at large taught you about conserving the environment? #floods #Kenya #mazingira #EarthDay
Kuelekea Siku ya Nyuki Dunia 2024, TFS tunajivunia kwa hali ya uhifadhi nchini na tunaendelea kutoa elimu kuhusu umuhimu wa nyuki katika mazingira yetu. Tunasisitiza juu ya kulinda nyuki na mazingira yao kutokana na tishio la shughuli za kibinadamu. #SikuYaNyuki #Mazingira #TFS
Protéger la planète, c'est préserver notre avenir. Chaque geste compte, chaque action fait la différence. Ensemble, engageons-nous pour un monde plus vert et plus durable. #EarthDay2024 #JourdelaTerre #JourdelaTerre2024 #Environnement #UrgenceClimatique #Biodiversité #Mazingira
KAZI INAENDELEA!... Kila Jumatatu Tupo kata ya Mwakibete, zingatia ratiba ya kutoa taka kulingana na utaratibu wa kata na Mitaa husika. Tunza mazingira ni Afya #Mazingira #usafi #mbeya #mwakibete #tanzania
Monday Again. Leo tutacheki vifaa baadhi vya #biogas. Kwa maswali ya vifaa vingine zaidi tucheki kwa 0716138319. #NishatiSafiNiKutunzaMazingira. #Nishati #Mazingira
Endelea kufuatilia kurasa huuu uendelee kujifunza mazingira na wanyamapori. Cha muhimu follow ukurasa huu uwe unapata makala mapema. Like, comment and share kwa wengine. #wildlife #wildlifeconservation #conservation #mazingira #ClimateAction #moyowauhifadhi #natgeotravel
Punguza gharama kupitia taka #thamanimadini #mazingira #mkaambadala
Hili unalifahamu? #thamanimadini #mazingira #nishati
"Tunahitaji kutambua umuhimu wa kulinda mazingira yetu. Kila hatua ndogo inahesabu! Tuunge mkono jitihada za kupunguza uchafuzi na kudumisha afya ya sayari yetu. #Mazingira #HifadhiYaMazingira #KuhifadhiSayari"
Tumetoa msaada wa miti itakayopandwa maeneo mbali mbali Tanzania. Tutaendelea kushirikiana na taasisi ya Mazingira Plus ilikukabiliana na Changamoto za mabadiliko ya hali ya hewa. @MazingiraPlus #AssembleInsurance #Mazingira #MitiNiMaisha #MazingiraPlus #Environment #GoGreen