[Ujumbe Muhimu]; Usifanye Kosa La Kumuamini Mtu Kama Hakuna Juhudu Zozote Amefanya Ili Umpe Imani Yako, Trust Is Earned, Not Offered For Free Like A Condom.
Mtu Ni Lazima Afanye Vitu Ili KUKUFANYA UMUAMINI, Zile Mambo Za "We Niamini Tu" Usikubali Akisema Hivyo Mwambie NIFANYE…
Kumpa Attention Mtu Mwingine Wakati Upo Katika Mahusiano Ni Kucheat, Kumfanya Ajihisi Kama Anaweza Kukupata Au ana Access Kwako Ni Kucheat.
Watu Wengi Wanadhani Kwamba, Kucheat Ni Kile Kitendo Cha KUFANYA SEX Na Kusahau Kuwa SEX NI HATUA ZA MWISHO KABISA ZA CHEATING.
Na Kwa…
Dear Ladies, Zama Huwa Zinabadilika Na Siku Hazigandi, Kuna Umri Mwanamke Huwa Ana OPTIONS NYINGI ZA WANAUME WANAOMTAKA.
Ila Mwanamke Huyohuyo, Kuna Umri Akifika INABIDI AWE OPTION Kwa Mwanaume Fulani (Naomba Usome Tena Pasipo Makasiriko)
Hii Manake Ni Kwamba, Mwanamke Huyu…
[Ujumbe Muhimu]; We Endelea Kujifanya HAUMPENDI SANA Mpaka Siku Atakapopendwa Vizuri Na Mwingine Na Ibaki Historia Kuwa ALIKUWAGA WAKO.
Najua Watu Wengi Mmekaririshwa Eti Unatakiwa Umpende Mtu Ila Ujifanye Kama Haumpendi Sana, Ukimpenda Sana Atakuumiza Na Kukuchukulia Poa...NI…
Bro, You Don’t Become A King By Chasing A Queen, You Become A King By Chasing And Attaining The Crown (Thamani Yako Haiongezwi Na Wanawake Unaowafukuzia, Inaongezwa Na Mafanikio Yako)
Maneno Haya Yanalenga Kukukumbusha Kuwa, Thamani Ya Mwanaume Haiongezeki Kwa Sababu Amefanikiwa…
Ni Haki Ya Mwanaume Kutafuta Kujua JANA YA MWANAMKE, Ikiwa Ana Lengo La Kumfanya Awe Kwake Mke na Mama Kwa Wanae.
Na Ni Haki Ya Mwanamke Pia, Kutafuta Kujua Kuhusu KESHO YA MWANAUME Ikiwa Ana Mpango Wa Kumfanya Awe Kwake Mume na Baba Kwa Wanae.
Na Hi Haki Ya Mwanamke Kumuacha…
Usianzishe Mahusiano Mapya Kama Njia Ya Kupona Maumivu Au Njia Ya Kukabiliana Na Upweke...
Mara Nyingi Baada Ya Kuumia Kwenye Mahusiano,
Tunahisi Upweke, Huzuni Na Pengo Ndani Yetu.
Wengi Hukimbilia Kuanza Mahusiano Mapya Haraka,
Wakidhani Hapo Ndipo Watapata Tiba Ya Majeraha…
Mtu Ambae Aliwahi Kupenda Kwa Moyo Woote Na Kujitoa Kwa Mwenzi Wake Akaambulia Kusalitiwa Na Kuumizwa Huwa Anakuwa na "DEFENCE MODE"
Ni Kama Anaweka UKUTA WA KUJIHAMI Ili Asiumizwe Wala Kusalitiwa Kama Ilivyotokea Mwanzo, Hawa Ndio Wale Wakiona Red Frags Kidogo Tu WANAJIANDAA…
[ANGALIZO]; Usitumie Uzoefu Uliopata Katika Mahusiano Yaliyopita Kuendesha Mahusiano Yako ya Sasa (Naomba Usome Tena Kwa Utulivu Mwingi)
Na Wala Usitumie "GENERAL KNOWLEDGE" Kudeal Na Watu Woote Unaokuwa Nao Katika Mahusiano (Naomba Usome Tena Kabla Hujaendelea Mbele)…
Inawezekana Kabisa, Mwanaume Anaweza Akawa Anakupenda, Ila Usifeel Kama Anakupenda Kwa Sababu HAJUI JINSI YA KUKUPENDA KWA LUGHA YAKO.
Yaani Mambo Anayofanya Kwake Anaona Ni Kama Matendo Ya Kudhihirisha Upendo (Acts Of Love) Kumbe Kwako Hayakupi Kufeel Kupendwa.
Hili Ni Kosa La…
[Ujumbe Muhimu Sana]; Wakati Mwingine Kinachoweza Kumfanya Mwenzi Wako Aachane Nawewe Ni MAFANIKIO NA MABABILIKI YAKE YA KIMAISHA.
Hili Litakuwa Jambo Jepesi Sana Kama ATAKUWA KATIKA UELEKEO TOFAUTI NA WAKO Wakati Wewe Ukiwa Yuleyule Wa Juzi Na Jana.
Hii Ni Kwa Sababu, Akikuwa…
[Muhimu Sana]; Ifahamike Wazi Kwamba, Sio Vibaya Kumpokea Mwenzi Aliyeondoka Na Kurudi Tena, Ila Ni Vibaya Sana KUMPOKEA MARA KWA MARA Kila Akipotea Na Kurudi.
Ukifanya Hivyo Niamini Mimi, Atakugeuza Kama KIMBILIO LAKE, Na Anapopotea Na Kurudi Haimaanishi Ameijua Thamani Yako,…
Mwanamke Anaweza Kuondoka Katika Maisha Yako Sio Kwa Sababu Haumtoshelezi, Bali Kwa Sababu Umeacha Kuwa Mwanaume Aliyemvutia Wakati Unamtongoza.
Matarajio Ya Mwanamke Ni Wewe Uendelee Kuwa Mwanaume Kwake Katika Nyakati Zoote, Na Uisimamie Nafasi Yako Ipasavyo.
Hii Ni Kusema…
Wengi Huwa Tunadhani Kwamba, Wale Waliotutendea Mabaya Siku Moja MAISHA YATAWATANDIKA Kiasi Cha Kujutia Na Kutukumbuka, Ila Ukweli Haiko Hivyo.
Upo Uwezekano, Mtu Akakutendea Mabaya, Akakuumiza Na Kukufanya Ujutie Kumfahamu Na Siku Moja AKAFANIKIWA VILEVILE, Maisha Yana Maajabu…
41K Followers 3K FollowingPhilosophy, Psychology, Motivation,Betting.Learn From The Wisest & Smartest People Who Ever Lived On Earth and Teach You How To Heal. God's Masterpiece.
41K Followers 3K FollowingPhilosophy, Psychology, Motivation,Betting.Learn From The Wisest & Smartest People Who Ever Lived On Earth and Teach You How To Heal. God's Masterpiece.
41K Followers 2K FollowingHMU for Assignments & Homework Help in Different Subjects. I handle everything from Essays, Research Papers, Case Studies, Reports, PowerPoint, Excel, and more
39K Followers 680 FollowingFounder of @MalemboFarm l @MalemboGlobal l Helping new and experienced Agribusiness investors make better trading decisions through research and market updates.
318K Followers 99 FollowingThe Dating Coach 🥂 | PhD in Psychology 🇺🇸 | Get a beautiful Woman, or many | Turn on your notification 🔔 | ❤️𝐢 𝐟𝐨𝐥𝐥𝐨𝐰 𝐛𝐚𝐜𝐤 𝐬𝐮𝐛𝐬𝐜𝐫𝐢𝐛𝐞𝐫𝐬
25K Followers 66 FollowingSimple ways to catch girls’ interest & make them chase | Learn to talk to girls like an expert | 64+ million visitors & 14,000+ customers at https://t.co/hgPrBaVay6
4K Followers 140 Following✍️Certified Financial Educator_BOT
✨Business consultant
✍I show you most effective strategies and techniques for mastering your Business, Finance and your life
25K Followers 0 Following🏆 Dr.Joel Nanauka (hc) Certified Life Coach |🕴️ International Speaker 🥇 Best Selling Author | 🏅 Named in 100 Young Influential Africans | 📱0756 094 875 ⬇️
1.2M Followers 4K FollowingThe official page. We celebrate the lifestyle of positive thinking & attitude. Every day is a day to shine. Shine On! Connect with the founder: @positivekristen
383K Followers 66 FollowingHelping you to grow and change.
A future full of success awaits you.
| Mind psychology | Success | Disciplined life| Growth |
33K Followers 208 FollowingFrom humble beginnings to the top of the charts, the world watched a boy become a global icon. Built on talent and faith. He’s a living testament to dreamers.
10.8M Followers 1K FollowingUnmatched perspicacity coupled with sheer indefatigability makes me a feared opponent in any realm of human endeavour.
Escape Slavery: https://t.co/b2DF1rm9ij
137K Followers 963 FollowingPool of thoughts. A commander of the hand to mouth battalion. Environmental Pioneer. Social Engineer. #CertifiedMchapaUzi . Telegram: https://t.co/aEEOOryJWO
50K Followers 742 FollowingJukwaa la washauri na wataalamu wa Teknolojia || 💻 Computers ||📱 Phones | Softwares | ICT Hardwares | ICT Security || Partnership with Kukeke Gang and L.M.S
25K Followers 560 FollowingFor some unknown reasons, I'm only interested in profitable Apps and Fifa. Any physical meetings should be done over Fifa. Meet the LOVE of my life @BandoApps
144K Followers 1K Following@klchnkff_studio | @SayYourMindPod | #SallyInHR | Author of ‘Edge of Here’ & ‘STRONG LIKE ME’ | Tarot Teknologist | not on socials ✌🏾 | find me with the link⬇