Hali mama angu inazidi kuwa mbaya anahitaji kusafishwa figo asipofanyiwa hivyo leo tunaweza kumpoteza. Naombeni kwa yoyote atakavyojaliwa kunichangia itimie 500,000 mama aweze kuendelea na matibabu. Kwa yeyote atakayeweza na kujaaliwa alicho nacho namba yangu ya 0765612876. Asnte

Asante Frank Mwemezi your contribution is very well appreciate 🙏
@lady_bahati Pole sana Bahati.Mungu wetu akupe nguvu kipindi hiki mama mgonjwa🙏.