Imepokewa kutoka kwa Abdullah bin Umar: Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwezi unaweza kuwa na masiku 29 , wala msifunge mpaka muuone mwezi, na ikiwa mbingu zimetanda, basi timizeni Shaaban kama siku thelathini. Sahih Al Bukhari 1907📚✊🏾
0
7
17
358
0