ASANTE MUNGU WANGU KWAYOTE ULIYONITENDEA ATA KWA WATU AMBAO UMEKUWATUMIA WAWE BARAKA NA FARAJA KWANGU, NAOMBA UWABARIKI NA USIWAPUNGUKIE WABARIKI WAO NA FAMILIA ZAO, NAKUPENDA MUNGU WANGU NAWAPENDA WATU WAKO❤️❤️🤲🏻🤲🏻🙏🏻 #tabasamuatakamakunamaumivu
@mishalymish Mungu ninae mwamini akuponye kwa Jina la Yesu na usimame mwaka 2024, ukawe shuhuda wa neno hili kisha umtumikie Bwana.
@mishalymish @MariaSTsehai Mungu awepamoja nawe daima
@mishalymish @JrKapesa Amina 🙏 Nasi Twakupenda pia
@mishalymish @yourfighter_ Pole sana na get well soon,MUNGU ni mwema siku zote🙏🙏🙏
@mishalymish Mungu akupe nguvu na utainuka Tena maana yupo pamoja na wewe katika Hali zote pole sana sister
@mishalymish Aminaa in sha allha 🙏❤️ na kwako pia akutie nguvu umke siku moja
@mishalymish Mungu akutie nguvu daima mishaly
@mishalymish Amen Mungu akuponye Mpendwa polesana kwa unayo pitia Amini yupo Mungu atakusimika tena katika uzima wako Amen Amen
@mishalymish Mwenyezi Mungu aisimamie afya upone .