Japhet Msigwa @msigwaone_
▪不容易但可能 ▪philippians 4:13 Joined December 2016-
Tweets66
-
Followers369
-
Following439
-
Likes56
Kukosea ni hatua ya kwanza kwenye safari ya mafanikio
Ukianza kua profitable, upgrade vifaa vyako vya kazi; 1. Nunu Laptop nzuri, 2. Smartphone ya 5G (Samsung), 3. Wifi yenye kasi ya 5G, 4. Meza na kiti kizuri, Hivi vitu ni vya muhimu sana, vipe kipaumbele, Sahau vitu vingine kwanza.
Kuishabikia Man U kunapunguza nguvu za kiume.
NEEMA, REHEMA NA BARAKA. • Neema ni pale Mungu anapotupa vitu vizuri tusivyostahili. • Rehema ni pale anapotuepusha na mambo mabaya tunayotaka kufanya. • Baraka ni pale anapokuwa mkarimu kwa vyote viwili. Hatuwezi kukosa sababu za kumshukuru Mungu, maana ni mwema siku zote!
Hakuna hatari kubwa zaidi kama kuzungukwa na watu wenye chuki, Wao wanakutazama kama mshindani ilhali wewe unawatazama kama familia au marafiki.
Kijana mwenzangu usijisikie vibaya ukahisi umechelewa, kila mtu ana njia yake na muda wake. Ishi kwenye muda na njia yako, wakati wako wa kupata ajira, wa kuanzisha familia, wa biashara yako kustawi na kufanikiwa upo na unakuja. Endelea kupambana na mtegee MUNGU daima.
Gambling is and will never a side hustle. Dear son, Please avoid it at all cost.
TULIMTOLEA Mungu sadaka Wakazitumia kujenga ma- mansions Sasa wanatutukana kwa kuishi kwenye nyumba za kupanga Mungu akawalipe! By the way, Yesu tunayemhubiri aliketi na makahaba zaidi kuliko majenerali Kiukweli, ma-generals, if anything, walitafuta kumtoa uhai Yesu kuliko…
A boy becomes a man through pain, failure, rejection, loss, disrespect, loneliness, and heartbreaks; NOT AGE.
Changamoto sio adui, ni mwalimu wako. Zinapokujia, usizikimbie, zikabili kwa ujasiri, maana zimekuja kukufanya uwe na nguvu zaidi.
Oya washkaji kwenye utafutaji ukitaka kutimiza malengo yako, kamwe usijaribu kumfurahisha kila mtu kumbuka unacho kiona wewe wao hawakioni, Kwenye safari ya maisha yako wewe ndiye mchoraji wa safari na msafiri mkuu kuelekea mafaniko yako. Narudia kamwe usimfurahishe yeyote yule•
Upweke, Dharau, Kejeli na Kutokueleweka—ni Gharama Unayoilipa ili Kujitafuta na Kujipata! So Kama Upo Katika Hatua hiyo—Hakuna Kukata Tamaa Kila Mtu Mkubwa unayemjua sasahivi alikinywa hicho Kikombe!
Unaweza kufanya usichokitaka na unachokitaka hukifanyi. Usijiapize sana.
Kuna umri marafiki wanapungua, pesa haipatikani na simu inaacha kuita. Hiki kipindi kinaweza kukufanya uhisi unapotea na unatoka kwenye reli ya mafanikio ya maisha. Lakini amini kwamba hiki huwa ni kipimo cha Uimara wako, Usikate tamaa pambana tena amini kuwa kesho bora inakuja.
Kinachoniumiza zaidi ni kwamba hukuondoka wakati nilipokuwa naogopa kukupoteza, au wakati ambao nilikuwa nakutazama kwa jicho la hofu. Lakini umeondoka wakati ambao tayari niliushinda woga wangu na kuamini kwa mara ya kwanza kuwa wewe ni wangu wa milele.
Muda hutufundisha kuwa kila anayekuja maishani mwetu huwa amebeba kusudi fulani, na anayetuacha huwa amemaliza kazi yake. Kilicho chema tunakihifadhi, kilicho kibaya tukisahau.
1. Kupata pesa ni sanaa 2. Kuhifadhi pesa ni tabia 3. Kuizalisha pesa ni maarifa Unaweza kupoteza pesa, Akiba huwa inaisha, Lakini maarifa yakikaa kichwani mwako, utapata na kuizalisha pesa tena na tena. Bila kum-master namba 3 huwezi kufikia uhuru wa kifedha.
Managing success is harder than reaching it. That’s the part they don’t tell you.
Oyaaa washkaji zangu kwenye haya maisha yetu tunapaswa kuendelee kupambana kwa nguvu zetu zote zile, haijalishi tumetoka katika mazingira ya namna gani au Familia ya namna ipi, kikubwa Keep moving• Umaskini unakera na Umaskini unakwaza, Kwa kifupi sana washkaji UMASKINI HAUFAI•

[email protected]... @elengaalain5
0 Followers 334 Following
rachel @rachel_nicodemu
264 Followers 3K Following
Herxul @Herxul17600
27 Followers 842 Following
Delfina Trantow @DelfinaTra30969
52 Followers 3K Following
Adwecie @Adwecie0156
8 Followers 282 Following
Eric @Eric_Mglobal
4K Followers 4K Following It's not over until it's over ✊ //Consistency makes you relevant//Advocating for preventative care🌍 // Simplifying medical science for everyone🩺🩺
hussein @hecenmo
2K Followers 3K Following Sports, Arsenal & Big Yanga fan || Interested in reasoning || Making it make sense ✌🏼
Lucky Msuya Kingker @LKingker
675 Followers 1K Following Let's Take Care Of Your Silence,, And Let Them Talk To Your Action.
Katlyn Olson @KatlynOlso7610
108 Followers 4K Following
Dj Sinyorita @Djsinyorita_
1K Followers 4K Following Public presenter 🎤 @Realmadrid @ManUtd @SimbaSCTanzania
Salum Muya @salum_1710
19 Followers 162 Following Institute Of Finance Management(IFM) 2019-2025. Tax Management and Science Of Taxation. Teaching Skills and Mentor In Social Issues. Be Who You Need
Abdulatif Abubakar @AAbubakar11096
278 Followers 745 Following Business Entrepreneur || Expert In Nutrition Science || Corporate Trainer || Employment Consultant
essie🌸 @EstherMakishe
2K Followers 309 Following Kutoka14:14|A HORTICULTURALIST|Horticulture is science,art and business🌱
Financial Doctor @AMosha2784
4 Followers 29 Following
Romeo must die🎩 @Benie_19
3K Followers 2K Following Your relentlessly optimistic nonchalant bro🐬 https://t.co/DEp4MazIwZ
Kilimanjaro Star Carg... @klmstarcargo
728 Followers 1K Following
Silent Ocean Ltd @silent_oceanltd
2K Followers 2K Following Welcome to Silent Ocean Ltd (X) account. Karibu Silent Ocean Ltd, kurasa ya (X)
Otorael Michael @otorael
341 Followers 451 Following Born again Christian | #Jesus image on earth✝️ | Spring Boot JAVA | Software Developer {backendOnly} | MySQL Database
Alex selestine @Alexselest82562
27 Followers 417 Following
Qassim Saidy @Qassimsaidy1
523 Followers 769 Following UDSM Alumn... Rise.Above.Hate... Smart Creature.. Mwananchi Mtanzania🇹🇿🇹🇿
Kange College of Heal... @KangeCollege
1K Followers 61 Following Official X account of Kange College of Health & Allied Sciences!
Tanzania Consulate Ge... @TZCGGuangzhou
4K Followers 2K Following Tanzania Consulate General in Guangzhou, China.
Abubakar Saidi @AbubakarSa70210
6 Followers 296 Following
Ross Waters @waters_ros44514
124 Followers 3K Following
Mlangi @TMlangi
1K Followers 4K Following Application of physics to medicine , improving radiation therapy and imaging techniques
Abou suhail @Aboumgaya7
147 Followers 6K Following لَا تَحْزَنْ إِنَّ اللَّهَ مَعَنَا Hasbunallahu WanimalWakil
𝗣 𝗔 𝗕 𝗟 �... @KingPablotz
53K Followers 3K Following Content Creator | Social Media Influencer | DM for Collabs | Email: [email protected]
ramadhani rupiah @RamadhaniRupia
413 Followers 901 Following Author | Software Developer and Investor | Liverpool Fan | Building IrisPay | #BuildingTheNextUnicorn
Godfrey Denis @denis5_godfrey
179 Followers 380 Following Health & Finance. Investor in financial markets |DSE|Bonds|Mutual Funds|Cryptocurrency I teach on how to invest in DSE and how to analyze companies
UMOJA WA HAKI ZA MADE... @munyamambogo
15K Followers 14K Following
Mfaume | Fikra Chanya... @mfaacomini
1K Followers 1K Following 🧠 Nukuu za Maisha & Fikra Chanya 🚀Self-mastery | Kujijenga Kisaikolojia 📚 eBook: Link kwenye bio 🔥 DM kwa ushauri — 1000+ wameshajifunza
Gamma Energies ⚡ @gammaenergies
364 Followers 578 Following We are Dealing with Solar Street Lights, Solar PV System, Electrical engineering Works and material Supply
John @j_fosler99
171 Followers 3K Following
ISAACK LAWA PAGE @isaacklawapage
297 Followers 243 Following Tutor|| Life & Relationship Coach|| Author of 5+ Published Books. 👉(Just DM Me, I can HELP YOU).
David Francis @Davidfrancis97
370 Followers 1K Following Entrepreneur, Aimer for self independence, Youth Activist, Building : Ds Twins and Sons . Ai enthusiast . Writer.
Meddy Semedo @BADMANSEMEDO
286 Followers 869 Following Comfortable Air Condition and Service. Content creator/ Yanga and Arsenal Fans
KIDUKU @TanzaniaOneJezi
36K Followers 5K Following Speed Ya OFSA NGIRI Mkia Juu KINYEO Nje. #TeamLiverpool #TeamBarcelona #Simba
Ngaira Mandara @NgairaM
7K Followers 935 Following Illustrator • Animator • Visual Art Director | Turning ideas into visual stories
Aimalohi Aigberua @Aimalohi_Aigbe
4K Followers 4 Following
Dany Msigwa @DanyMsigwa
160 Followers 703 Following
Martien 🇳🇱 @MartienBall
43K Followers 226 Following Sometimes sharp, sometimes shameless. [email protected]
GIPSON @mentor209
12K Followers 2K Following 💙 Engineer 🛠️ | Rights Champion ✊🏿 | Events Curator . Making things work. Making voices heard. Insurance Specialist
Adellah Tillya @AdellaTillya
23K Followers 345 Following
NyamaChomaFest @NyamaChomaFest
7K Followers 10 Following Official Account of the largest Barbecue Festival in East & Central Africa-THE NYAMA CHOMA FESTIVAL #TNCF #NyamaChomaFest #BBQFest Established since 2011
Crazy Kennar @crazy_kennar
485K Followers 50 Following THE CONTENT CARTEL 🇰🇪 HAPPY CITIZEN 📽 Student🇿🇦 Creativity has no limits On a Mission to Fight Depression [email protected]
Morgan @utdscope
135K Followers 358 Following MUFC Retouch Designer / All rights belong to the photographers by the various agencies. @rainbetcom
Tindo/Social-Ⓜ️ar... @Tindo0404
952 Followers 2K Following Jesus | Social Marathoner 🏃♀️ | ICTs | The Arsenal | 🇿🇼
iPhone Used Genuine �... @iPhone_Usedtz
15K Followers 476 Following Official page iPhone Genuine deal with Brand new & Used Abroad 🇺🇸🇿🇦🇬🇧 Mikoani tunatuma 10 Months Warranty Delivery Free 📞0683678977 Tap Whatsap Me👇
Samia Suluhu @SuluhuSamia
1.8M Followers 27 Following Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of Tanzania
Incharge Pharmacist. @In_pharmacist
369 Followers 691 Following Community Pharmacist || Health Systems Advocate || The Silent Pharmacovigilante || Global Health Research Advocate
CIA Gisse @magdalena_gisse
839 Followers 545 Following Events,Branding & Marketing specialist 🎊|Youth Activist✊| Adventurous🏜| Progressive taxation Advocate🪙| Facilitator & Moderator🛃| FEMINIST
Think Rebel @TheThinkRebel
212 Followers 20 Following Money. Mindset. Dating. Discipline. Rebel ideas for those who refuse to follow the crowd.
Malvin @ManOfFocus_
42K Followers 20 Following Father of three warriors. Redefining success for the modern man: Go viral → Get rich → Outperform
Hika Lyimo @iamthatfemale
91K Followers 2K Following A daughter,a sister,relying only on God.i am that female. You need shoes? follow https://t.co/UUedhtk2dK location: https://t.co/355KaXHNkI
hussein @hecenmo
2K Followers 3K Following Sports, Arsenal & Big Yanga fan || Interested in reasoning || Making it make sense ✌🏼
Hip Hop DNA 👊 @HipHopDNA_TZ
194 Followers 183 Following 🎤 Real Bars. Street Culture. Rap Legacy. 📍Bongo Hip Hop | News | Mistari ya Maana 🔗 Tunahifadhi DNA ya Hip Hop – Kiswahili & Global 📩 DM for Features
#𝐍𝐚𝐭𝐞 @NateXclusive_
10K Followers 3K Following The Bonafide Kenyan Bonaparte.Unapologetic to Mediocrity God first || Mercedes Anyday
Eric @Eric_Mglobal
4K Followers 4K Following It's not over until it's over ✊ //Consistency makes you relevant//Advocating for preventative care🌍 // Simplifying medical science for everyone🩺🩺
Ben Zanzibar🌴 @IamBenZanzibar
6K Followers 2K Following Hodophile | Factotum| DMC @skylight_tours | Bookings & Enquiries: 📩[email protected] ☎️+255764840862 #VisitTanzania #VisitZanzibar
SONGA @NiiteSonga
114K Followers 4K Following Listen & download my tracks on https://t.co/RiyKeEnseO
Nias Nyalada🇹🇿 @nias_nyalada
6K Followers 1K Following A Self-taught Visual Artist🎨 | Acrylic,Oil, Watercolor | Portraiture,Abstract,FanArt,Minimalism | Wood Craft | In Jesus and Art I live and move 📞+255719207555
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻... @gabyconscious
15K Followers 3K Following I simplify tech so you can monetize it. Turning tools into income, ideas into action. Solopreneur | Tech Content Creator| Building @Nisapoti_Africa
Selcom Pesa @SelcomPesa
1K Followers 4 Following Affordable digital finance app by @selcom_mfb, empowering individuals with secure and fast financial solution. Get started now! For Android or iOS.
Mwita C. Mwita @Mwitah_tz
5K Followers 159 Following Factual based clarifications on Tanzania’s Policies & Legislations | Ufafanuzi | Curbing Informations Gap |
Rickyy @RickyySzn
2K Followers 299 Following
Saidi Hamadi Lugumi @LugumiL
20K Followers 1 Following This is Official X Page of Mr Said Hamad Lugumi is a Tanzania Bussinessman MOGUL and PHILANTHROPIST. [email protected]
Lucky Msuya Kingker @LKingker
675 Followers 1K Following Let's Take Care Of Your Silence,, And Let Them Talk To Your Action.
DailyGospel @Thegospel4all
269 Followers 185 Following Sharing the Good News of Jesus Christ. Daily inspiration, scriptures, and messages of faith and hope. Join us on our mission to spread the Gospel to the world.
MindyourMind @mindyourmindtz
136 Followers 1 Following #MindyourMind: A safe digital space where youth in Tanzania share real stories to break the cycle of harm. Initiative by @ElimikaWikiendi
Yas Tanzania @YasTanzania_
405K Followers 8K Following Tigo Tanzania is now Yas Tanzania—where dreams and digital life meet. #YasTanzania #ItsOurTime #NiWakatiWetu
DAR ES SALAAM STOCK E... @dsetanzania
14K Followers 203 Following Dar es Salaam Stock Exchange PLC (DSE) was established in 1996 as company limited by guarantee and was limited by shares in 2015-16,self-listed in 2016-17
Batholomeo Shukran? @batho_shukran
8K Followers 2K Following Trader |• Investor |• Analyst Making your trading and investment in forex, crypto, and stocks EASIER Author-Art of Fundamental Analysis @btcbiashara
Abissay Stephen Jr @abissay_stephen
37K Followers 447 Following Sports Journalist at @Efmtanzania . Ex-Head of Sports Department EATV & EA Radio. The Best Sports Presenter Iringa Finest Awards 2019.
Célestin DUDUWASHA E... @1960Remija
90K Followers 613 Following GOD | Faith | Family | Ligi Kuu | Zilipendwa | Mwenyekiti | Yanga | Man U | Real Madrid | Kaizer Chiefs | Sebene & Rhumba | Tour Agent | Tweets Are My Opinions.
This User @winstone_nnko
3K Followers 273 Following Pro Christian | PEng(T) | SDGs, Renewable Energy & Tech Enthusiast | Startup Voice | Brand Identity | Content Creator | Soccer Fanatic | Pan Africanist 🇹🇿