Samia Suluhu @SuluhuSamia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of Tanzania Dodoma, Tanzania Joined June 2014-
Tweets1K
-
Followers1.6M
-
Following27
-
Likes62
Mapema leo jijini Nairobi nchini Kenya nikihutubia katika Mkutano wa Shirikisho la Maendeleo la Kimataifa (IDA). Pamoja na miradi mingine, kwa ushirikiano na IDA nchi yetu imeweza pia;- 1. Kuboresha eneo la afya ya mama na mtoto tukiwa na moja ya mifumo bora zaidi kwa ukanda wa…
Asubuhi njema katika kazi jijini Nairobi nchini Kenya kwenye Mkutano wa Shirikisho la Maendeleo la Kimataifa (IDA), mshirika wa Benki ya Dunia. Nchi yetu inashirikiana na IDA katika miradi mikubwa na ya kimkakati 25 katika sekta za uchukuzi, maendeleo ya kijamii, nishati, elimu,…
Nimewasili jijini Nairobi nchini Kenya kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na kazi ya diplomasia ya kudumisha uhusiano wetu hasa kibiashara na kiuchumi, pia ninahudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Maendeleo (IDA21). Nchi yetu inashirikiana na Benki ya Dunia katika mpango wa IDA…
Nawatakia nyote kheri tunapoadhimisha Miaka 60 ya Muungano wetu. Hii ni tunu yetu sote, matokeo ya kazi ya kila Mtanzania kuanzia waasisi wetu mpaka sasa. Tumejenga nyumba imara ya Tanzania katika misingi ya utu, udugu na uanamajumui wa Afrika hatua kwa hatua, chini ya kila awamu…
Nimefarijika kwa ujumbe wa video toka Shule ya Sekondari ya Misufini, Kijiji cha Misufini, Kata ya Ndungu, Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro wa wanafunzi Ibrahim na Mwanaulu pamoja na wazazi wao, kuhusu mabadiliko na uboreshaji wa elimu uliofanyika kwenye kata yao katika kipindi…
Ninatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na wafanyakazi wa Clouds Media Group kwa kuondokewa na ndugu yetu, Gardner Gabriel Habash. Mchango wa Gardner kwenye ustawi wa sekta ya habari nchini ni mkubwa, na amekuwa mnasihi wa vijana wengi. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake…
Kila la kheri watani wa jadi Simba na Yanga katika mchezo wenu wa 112 kwenye historia yenu ya zaidi ya miaka 59 ya burudani kwetu sote katika Ligi Kuu Tanzania Bara. #KariakooDerby
Mapema leo nimekuwa na mazungumzo mazuri na kaka yangu, Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan. Ziara hii ni mwendelezo wa mageuzi kwenye utekelezaji wa sera yetu ya Mambo ya Nje kupitia Diplomasia ya Uchumi. Thamani ya biashara baina ya nchi zetu imekua;…
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Jamhuri ya Kenya, Jenerali Francis Omondi Ogolla na wanajeshi wengine tisa katika ajali ya helikopta iliyotokea leo katika Kaunti ya Elgeyo-Marakwet. Natuma salamu za pole kwa Rais na Amiri Jeshi…
Naishukuru Seneti ya Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki kwa kunitunuku Shahada ya Udaktari wa Heshima (Honoris Causa) katika Uchumi. Nimeipokea heshima hii kwa unyenyekevu na shukrani kwa niaba ya wachapa kazi waume kwa wake nyumbani nchini Tanzania. Mimi ni kiongozi wao,…
Nimewasili nchini Uturuki kwa ziara rasmi kufuatia mwaliko wa Mheshimiwa Rais @RTErdogan. Mwaka huu nchi zetu mbili zinatimiza miaka 45 tangu kuanza kwa uhusiano wetu wa kidiplomasia. Uturuki ni mshirika wetu mkubwa kiuchumi na ni soko la kimataifa kwa bidhaa zetu linalokua kwa…
Jana nilipata wasaa wa kupita Mtaa wa Mombasa, Unguja kuwaona majirani zangu wa zamani Bi. Asha Salum na mumewe, Inspekta Mstaafu wa Jeshi la Polisi, Rashid Zam Ali. Kushoto ni bintiye Bi. Asha pamoja na mjukuu wao. Bi. Asha nilisoma naye darasa moja shule ya msingi na shule ya…
Mapema leo nimeshiriki Misa Maalum ya Kumbukizi ya Miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Edward Moringe Sokoine, iliyofanyika kwenye makazi ya familia yake Monduli, mkoani Arusha. Hayati Sokoine alikuwa kielelezo cha kiongozi…
Nawatakia Watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Eid al-Fitr, tukimshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa baraka ya kuhitimisha funga na ibada ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Mwenyezi Mungu atuonaye tunaposimama na mageuko yetu kati ya wanaosujudu, Mwenye kusikia na kupokea…
Natawakia nyote kheri katika Siku ya Kumbukumbu ya Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, mmoja ya waasisi wa Taifa letu. Tafakuri ya maisha yake na historia ya utumishi wake iendelee kutupa mafunzo ya uongozi wenye…
Mchezo mzuri Simba. Usiku haukuwa wa ushindi lakini tumeziona juhudi na zinatupa faraja na matarajio kuwa, msimu ujao wa mashindano ya Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika mambo yatakuwa mazuri zaidi. Ahadi yetu ni kuendelea kuwaunga mkono na kuwapa motisha.
Mchezo mzuri Yanga. Mmeonesha kiu na juhudi ya kuiletea heshima nchi yetu hadi kufikia hatua hii. Tunatarajia makubwa zaidi kutoka kwenu kwenye mashindano haya (Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika) msimu ujao. Tutaendelea kuwaunga mkono na kuwapa motisha.
Nimefarijika na ujumbe wa video toka kwa Maria, Salama, Ezekiel, Iddi na Cecilia wakazi wa Babati mkoani Manyara, wakielezea namna ambavyo kukamilika kwa miradi miwili ya maji ya Darakuta-Magugu na Dareda-Singu-Sigino-Bagara kumebadili maisha yao. Wao ni sehemu ya wananchi zaidi…
Heartfelt congratulations and best wishes to His Excellency, President Abdel Fattah al-Sisi on starting a new term in office, serving the people of the Arab Republic of Egypt. I am looking forward to continuing working together in fostering the relations between our two…
millardayo @millardayo
2.7M Followers 489 Following Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]Mohammed Dewji MO @moodewji
2.1M Followers 131 Following President, @MeTL_Group || Founder, @DewjiFoundation || President, @SimbaSCTanzania #HoyaEastAfricaTV @eastafricatv
1.7M Followers 7 Following Official EastAfricaTV (EATV) Twitter Email: [email protected]Godbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherPrivaldinho @privaldinho
766K Followers 439 Following YANGA SC DIGITAL MANAGER…… Author || Lawyer || Sports Pundit ||Zee la Vyeti (PhD) @babalao__
478K Followers 7K Following 𝗭𝗲𝗲 𝗕𝗮𝗯𝗮𝗹𝗮𝗼, 𝗣𝗵𝗗 ✪Influencer ✪ Content Creator ✪ Memelord✪ ✪ Chelsea Fan ✪BBC News Swahili @bbcswahili
1.8M Followers 239 Following Huu ni ukurasa wa habari za dunia kutoka BBC. Facebook: https://t.co/ZZJDhvaNyo. Instagram: https://t.co/LqmfEIlht3. YouTube: https://t.co/mv5T3KheUN.Masoud Kipanya @masoudkipanya
2.0M Followers 74K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - CEO/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - IndustrialistFarhan Kihamu Jr @FKihamu
388K Followers 975 Following VISIT MOROGORO 🇹🇿 | MKULIMA| Presenter @cloudsmedialive| Brand Ambassador @betwaytanzaniaMaria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Dr. Hamisi Kigwangall.. @HKigwangalla
1.2M Followers 661 Following #HK is a Member of Parliament for Nzega Rural. Former Minister for Natural Resources and Tourism. Former Deputy Minister for Health. Former Chair, TAMISEMI.Boniface Jacob @ExMayorUbungo
452K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberAzam TV @azamtvtz
1.3M Followers 209 Following Watch your favorite shows on https://t.co/6bgggrv4QE | 📞 +255784108000Shija lupuga @LupugaShij1399
0 Followers 0 FollowingJk wa 7 @sa76664
0 Followers 111 FollowingImma Theboy @imma_theboy4710
0 Followers 0 FollowingHAKIM MGENI @AbuuIzdihar
0 Followers 49 FollowingCHAPUA TV @ChapuaTv74517
0 Followers 13 FollowingMary Uliki @uliki_mary
0 Followers 3 FollowingChikundulinda Ahamadi @chikunduli58812
0 Followers 16 FollowingJulieth Mushi @JuliethMus40039
0 Followers 68 FollowingLeah Mlay @mlay_leah98802
0 Followers 137 FollowingSalumu Mud @MudSalumu38475
0 Followers 10 FollowingBaraka Leuna @BarakaLeun53806
0 Followers 46 FollowingCOSTA MNKONDYA @CostaMnkon69722
0 Followers 52 FollowingBinti Mwambeso @mwambeso26835
0 Followers 34 FollowingJoan Auma @auma_joan55200
2 Followers 79 Followingolivar msophe @OlivarMsop49397
0 Followers 1 FollowingElisha Nyahega @_nyahega2002
1 Followers 30 FollowingJabir Juma @JabirJ46548
23 Followers 215 FollowingHamisi Amri @hamisiamri540
3 Followers 75 Followingfrancois manasse @francoismanase1
0 Followers 29 FollowingBaraka Idrissa @BarakaIdri52370
3 Followers 134 FollowingNurdin Matula @MatulaNurd88606
0 Followers 19 FollowingHilal Hemed @HilalHemed18094
2 Followers 194 FollowingFaraji Rashidi @Rashid1965faraj
0 Followers 69 FollowingAneth Munishi @anney00333
0 Followers 22 FollowingMido Ibrahim @MidoIbr9023947
0 Followers 14 FollowingIsihaka Juma @IsihakaJuma10
0 Followers 3 FollowingBenja Majura @BenjaMajura
8 Followers 15 FollowingAdam leonard Sanzu @AdamSanzu
0 Followers 55 FollowingGideonaire @rasco_gideon
104 Followers 607 Following Gideon Rasco Working for Political Parties Council/South Sudan IT professional and A/administrator.Pendo Limo @LimoPendo30674
0 Followers 1 Followingbaraka @baraka436732
0 Followers 57 FollowingAyubu Daudi @AyubuDaudi90836
0 Followers 3 FollowingFatuma Khafidh @FatumaKhaf64188
0 Followers 27 FollowingAivan Malicel @AivanMalic1055
0 Followers 105 FollowingGodson @Godson918044
0 Followers 63 FollowingJames Chimile @JamesChimi41472
1 Followers 53 FollowingAden Abraham @AbrahamAde69266
0 Followers 31 FollowingZakaria Abdirahman Mo.. @ZaakKhayre
264 Followers 2K Following Founder of @successa71 , Researcher, Event manager @hibf , Training Coordinator @GGymha , https://t.co/5ro6N1YJRL…Jack Benny @JackBenny692181
1 Followers 87 FollowingAlwatan Kiba @AlwatanKibas
0 Followers 6 FollowingAbdully Bakari @Abdully999
4 Followers 111 FollowingAtinas Alex @AAlex12757
1 Followers 30 FollowingMerry Dickson @DicksonMer62420
0 Followers 6 FollowingSMAU AUGUSTINE @AugustineS59564
0 Followers 48 FollowingSamson Rwechungura @SamsonRwec40374
0 Followers 9 FollowingZitto MwamiRuyagwa Ka.. @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWoteNape Moses Nnauye @Nnauye_Nape
1.0M Followers 8K Following Mbunge Jimbo la Mtama{SIMBA WA VITA}. A LEADER SHOULD BE AN AGENT OF CHANGE. Minister of Information, Communication and Information Technologyikulu_Tanzania @ikulumawasliano
437K Followers 8 Following Ukurasa rasmi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu-Tanzania 🇹🇿William Samoei Ruto, .. @WilliamsRuto
6.3M Followers 245 Following President of The Republic of Kenya.Abdul @abdul_h_h_ameir
4K Followers 299 Following Son | Pilgrim | Husband | Dad | Bibliomania | 26:217-220Katalin Novák @KatalinNovak_HU
128K Followers 20 FollowingLazaro Nyalandu @LazaroNyalandu
581K Followers 62 Following Former Minister for Natural Resources and Tourim, #Tanzania.Kamala Harris @KamalaHarris
19.8M Followers 721 Following Fighting for the people. Wife, Momala, Auntie. She/her. Official account is @VP.Joe Biden @JoeBiden
38.0M Followers 46 Following Husband to @DrBiden, proud father and grandfather. Ready to finish the job for all Americans. Official account is @POTUS.HH Sheikh Mohammed @HHShkMohd
11.2M Followers 68 Following Official Tweets by His Highness Sheikh Mohammed bin Rashid Al MaktoumDr John Magufuli @MagufuliJP
991K Followers 8 Following The Fifth President of The United Republic of Tanzania.Hillary Clinton @HillaryClinton
31.1M Followers 995 Following 2016 Democratic Nominee, SecState, Senator, hair icon. Mom, Wife, Grandma x3, lawyer, advocate, fan of walks in the woods & standing up for our democracy.Oprah Winfrey @Oprah
41.7M Followers 312 FollowingBill Clinton @BillClinton
13.1M Followers 39 Following Father, grandfather, 42nd President of the United States, Founder, Clinton Foundation. Follow @ClintonFdn for more on our work around the world.Michelle Obama @MichelleObama
22.1M Followers 18 Following Girl from the South Side and former First Lady. Wife, mother, dog lover. Always hugger-in-chief. #TheLightWeCarryJakaya Kikwete @jmkikwete
1.8M Followers 79 Following 4th President of Tanzania| Chancellor, University of Dar-es-Salaam| Chair, GPE Board| Co - Chair, HLC on #ICPD25| Chair, SADC Panel of Elders (PoE)| Chair, JMKFUN Women @UN_Women
2.3M Followers 4K Following UN Women is the United Nations entity for gender equality and women's empowerment.World Food Programme @WFP
2.1M Followers 2K Following Laureate of the 2020 Nobel Peace Prize. 🇺🇳🌾🍛 The United Nations World Food Programme is the world's largest humanitarian agency working towards #ZeroHunger.UN Development @UNDP
1.9M Followers 2K Following Working to end poverty, inequality, and climate change and to advance the #GlobalGoals. Follow our Administrator @ASteiner and visit https://t.co/DDoyMVwB0I for more.United Nations @UN
16.5M Followers 1K Following Official account of the United Nations. For peace, dignity & equality on a healthy planet.World Bank Africa @WorldBankAfrica
582K Followers 6K Following Welcome to the World Bank Africa Region. Fighting poverty with passion and professionalism for lasting results.World Bank @WorldBank
3.9M Followers 883 Following The official World Bank account. Our vision is to create a world without poverty on a #LivablePlanet. Check: @BancoMundial, @Banquemondiale & @AlbankAldawli.Chama Cha Mapinduzi @ccm_tanzania
860K Followers 9 Following Chama Cha Mapinduzi (CCM) - #Tanzania's governing party, founded on 5th February 1977. Membership: 15 million | https://t.co/KzE7LiVgt9NelsonMandela @NelsonMandela
1.5M Followers 28K Following The Nelson Mandela Foundation contributes to a just society by promoting the values, vision and work of our Founder. Follows/RTs/Likes ≠ EndorsementsJanuary Makamba @JMakamba
1.2M Followers 2K Following Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Tanzania | Member of ParliamentPresident Xi Jinping exchanged congratulatory messages with President @SuluhuSamia for 60th diplomatic ties. May the friendship between 🇨🇳 & 🇹🇿 last forever.
Ankara Üniversitesinden Tanzanya Cumhurbaşkanı Hassan’a Fahri Doktora. 🇹🇿🇹🇷 [@SuluhuSamia @ikulumawasliano @MahinurOzdemir @tcailesosyal] #unihaber
#HappyBirthdayMama #Miaka64 Salaam na kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwenda kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. #MamaYukoKazini
#HappyBirthdayMama #Miaka64 Salaam na kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwenda kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. #MamaYukoKazini
Hayawi hayawi, yamekuwa. Ndoto ya binti Vivian ilitimia baada ya kusubiri kwa hamu zote akutane na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Vivian kazaliwa tarehe na siku moja na Rais Samia. Raha ilioje alipomwona mubashara.
Women are essential to economic growth. At @COP28_UAE, I sat down with Tanzanian President @SuluhuSamia at the Q Coffee Café at Expo City, where we shared a cup of Q Coffee and Kazi Yetu tea. @QuestionCafeRW is a social enterprise supported by @BloombergDotOrg's Women's Economic…
Exceptional meeting with @SuluhuSamia at #COP28 . Not only is she the 1st female President of #Tanzania, she’s a former @WFP team member! We discussed our shared vision for transforming Tanzania into a regional breadbasket, and the crucial role of women in making this a reality.
#HappyBirthdayMama #Miaka63 Salaam na kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa Mama Ida Odinga kwenda kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. #MamaYukoKazini
#HappyBirthdayMama #Miaka63 Salaam na kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa Sugu kwenda kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. #MamaYukoKazini
#HappyBirthdayMama #Miaka63 Salaam na kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa Jeniffer Bashungwa (Mama Alaska) kwenda kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. #MamaYukoKazini
#HappyBirthdayMama #Miaka63 Salaam na kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa Swebbe kwenda kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. #MamaYukoKazini
#HappyBirthdayMama #Miaka63 Salaam na kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa Saraphina kwenda kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. #MamaYukoKazini
#HappyBirthdayMama #Miaka63 Salaam na kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa timu ya Clouds 360 ya Clouds TV kwenda kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. #MamaYukoKazini
#HappyBirthdayMama #Miaka63 Salaam na kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha NARC-Kenya, @MarthaKarua kwenda kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. #MamaYukoKazini
#HappyBirthdayMama #Miaka63 Salaam na kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa Mbunge wa Mbinga, Benaya Kapinga kwenda kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. #MamaYukoKazini
#HappyBirthdayMama #Miaka63 Salaam na kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa Mbunge wa Makete, @festosangatz kwenda kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. #MamaYukoKazini
#HappyBirthdayMama #Miaka63 Salaam na kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa Mbunge wa Kibamba, Issa Mtemvu kwenda kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. #MamaYukoKazini
#HappyBirthdayMama #Miaka63 Salaam na kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula kwenda kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. #MamaYukoKazini
#HappyBirthdayMama #Miaka63 Salaam na kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa @millardayo kwenda kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. #MamaYukoKazini
#HappyBirthdayMama #Miaka63 Salaam na kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Jangwani kwenda kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. #MamaYukoKazini