Azam TV @azamtvtz
Watch your favorite shows on https://t.co/6bgggrv4QE | 📞 +255784108000 azamtv.co.tz/tan Dar Es Salaam, Tanzania Joined July 2013-
Tweets93K
-
Followers1.3M
-
Following218
-
Likes649
Waandishi wa habari wameombwa kuwa daraja bora la kufikisha taarifa sahihi kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kwa kutumia nishati safi ya kupikia ambayo husaidia kutunza mazingira na kunusuru maisha ya Watanzania zaidi ya elfu 30 ambao hufariki kila mwaka kutokana na magonjwa…
#MechiyaKirafiki Magoli yote sita....... FT: Azam FC Vijana 5-1 Lindi Mtwara Vijana #MechiyaKirafiki #AzamFCVijana #LindiMtwaraVijana #AzamFCVijanaLindiMtwaraVijana #AZAMLMT
#NBCPL Edwin Balua na Kelvin Sabato….., wote wametikisa nyavu, na hapa kuna kitu wanafichua kuhusu mchezo wa leo…. FT: Namungo 2-2 Simba #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #SokaLetuDamdam #NamungoFC #SimbaSC #NamungoSimba
#NBCPL Goli la kujifunga kutoka kwa Kennedy Juma…..Goli lililowanusuru namungo na kichapo. FT: Namungo 2-2 Simba #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #SokaLetuDamdam #NamungoFC #SimbaSC #NamungoSimba
#NBCPL Goli la pili kwa Simba….. Free-Kick ya Edwin Balua. FT’: Namungo 2-2 Simba LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #SokaLetuDamdam #NamungoFC #SimbaSC #NamungoSimba
MSIMAMO: Nafasi ya pili kuna kazi…...Piga hesabu mwenyewe, kisha jibu liweke hapa. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #Msimamo #Standing #LeagueTable
#NBCPL Goli la pili kwa Simba….. Free-Kick ya Edwin Balua. FT’: Namungo 2-2 Simba LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #SokaLetuDamdam #NamungoFC #SimbaSC #NamungoSimba
#NBCPL Huku ndiko linakopigwa boli muda huu……. Hii ni Lindi. 80’: Namungo 1-2 Simba LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #SokaLetuDamdam #NamungoFC #SimbaSC #NamungoSimba
#NBCPL Goooooal…!! Edwin Balua dakika ya 70. Namungo 1-2 Simba LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #SokaLetuDamdam #NamungoFC #SimbaSC #NamungoSimba
#NBCPL Header ya moto kutoka kwa Kelvin Kongwe Sabato ‘Kiduku’ ni goli la kusawazisha kwa Namungo FC. HT: Namungo 1-1 Simba LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #SokaLetuDamdam #NamungoFC #SimbaSC #NamungoSimba
#NBCPL “Who is this guy…….?’ Willy Essomba Onana na goli kwa Simba. HT: Namungo 1-1 Simba LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #SokaLetuDamdam #NamungoFC #SimbaSC #NamungoSimba
#NBCPL ‘GG’ HT: Namungo 1-1 Simba LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #SokaLetuDamdam #NamungoFC #SimbaSC #NamungoSimba
#NBCPL Gooooooal…..Onana dakika ya 34. Namungo 0-1 Simba LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #SokaLetuDamdam #NamungoFC #SimbaSC #NamungoSimba
15’ | #NBCPL Namungo 0-0 Simba LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #SokaLetuDamdam #NamungoFC #SimbaSC #NamungoSimba
#MechiyaKirafiki Vijana wa Lindi na Mtwara wamekula TANO…!!! FT: Azam FC Vijana 5-1 Lindi Mtwara Vijana Kaa tayari kwa mechi ya Namungo vs Simba LIVE #AzamSports1HD #MechiyaKirafiki #AzamFCVijana #LindiMtwaraVijana #AzamFCVijanaLindiMtwaraVijana #AZAMLMT
15’ | #MechiyaKirafiki Azam FC Vijana 1-0 Lindi Mtwara Vijana Iko LIVE #AzamSports3HD #MechiyaKirafiki #AzamFCVijana #LindiMtwaraVijana #AzamFCVijanaLindiMtwaraVijana #AZAMLMT
SHANGWE LA PAMBA JIJI: Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, ameungana na mashabiki wengine wa Pamba Jiji kusherehekea kupanda kwa timu hiyo kwenye NBC Premier League. Mtanda ‘analipiga shangwe’ huku akiendesha pikipiki. (Imeandaliwa na Innocent Aloyce na kuhaririwa na…
Serikali imeridhia ujenzi wa kiwango cha lami kwa barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa kilometa 41. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa alipofanya ukaguzi wa uharibifu wa barabara wilayani Kigamboni, Dar es Salaam na kuahidi barabara zote…
KAMWE ATIA NENO KWA SIMBA: “Sisi kama watani wao tunapata wivu” maneno ya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe akizungumzia namna wanavyojisikia baada ya Simba kutwaa taji la Muungano Cup. #TanzaniaUnionSuperLeague #TUSL #MuunganoCup2024 #KombeLaMuungano…