Ahmed Ally @ahmed__ally
Media & Communication Manager Simba Sports Joined January 2022-
Tweets1K
-
Followers487K
-
Following13
-
Likes32
Hii ni kazi ya @medalimotors Tumekabidhii gari ya Kibabe Toyota Hilux 2019 Gari ya safari, gari kifahari, gari ya kitajiri, gari ngumu, gari imara Leo tumeikabidhi gari hii kwa Mteja wetu Karibu nawe uagize nasi @medalimotors tupigie kwa #0748898888
TUMEKABIDHI HARRIER 2008 Karibu ofisini @medalimotors tuzungumze kuhusu magari au tukuagizie gari utakalo Tunapatikana Jijini Dar Es Salaam Osterby Barabara ya Ali Hassan Mwinyi katika jengo la Dar Es Free Market au Tupigie #0748898888
Chombo ya heshima Harrier 2008 imefika na kukabidhiwa kwa Mteja wetu Hii ni gari ambayo haishuki wala kupungua hadhi yake Sisi @medalimotors hatuagizi Harrier za kawaida kawaida tunaagiza Harrier ya viwango vya juu kama hiyo Karibu ofisini tuzungumze kuhusu magari au…
Moja kati ya Kocha bora kuwahi kuwa nao Simba Sports Haikua rahisi kumpata Mwalimu wa kaliba yake na hakuna aliyeamini kama tungemudu kuwa na kocha wa aina hiyo Kumpata Mwalimu huyu ni ishara kuwa viongozi wetu walionesha dhamira ya dhati ya kuipeleka Simba kwenye kilele cha…
Wakati mwingine Matokeo yasiyoridhisha ya timu huwa yanafifisha ubora wa mchezaji mmoja mmoja au matokeo mazuri ya timu hua yanaficha madhaifu ya mchezaji mmoja mmoja Fredy Michael Fungafunga tangu amewasili Simba Sports amefunga jumla ya Magoli 9 katika mashindano yote…
Team @medalimotors Sisi ndio wale wataalamu wa kuagiza magari kutoka sehemu mbalimbali duniani Hizo ni namba za gari ambazo tumekabidhi kwa wateja wetu hii leo Tunajivunia uaminifu na ubora wa huduma zetu Tunatoa ushauri kuhusu Magari, tunaagiza Magari na tunapokea malipo…
Leo nimefanya Mkutano na Wanachama na Mashabiki wa Simba Mkoani Singida Agenda ya kwanza ilikua ni maandalizi ya mchezo wetu dhidi ya Ihefu na kuwataka Wana Singida kujitokeza kwa wingi Uwnajani lakini pia tupambane kuhakikisha tunapata ushindi katika mchezo huo Agenda ya pili…
Team ya mauzo ya @medalimotors imerejea kazini hii leo baada ya kumaliza kusheherekea Eid El Fitri Mteja wetu unaehitaji kuagiza gari kutoka nje ya Nchi karibu ofisini kwetu tukuchagulie gari utakalo Kwa wale ambao wanahitaji gari lakini hajui aagize gari gani @medalimotors…
Vijana wetu wapo tayari kuendelea na mapambano ya kuipigania Simba April 13 dhidi ya Ihefu ni mechi ngumu lakini ni mechi muhimu ya kutuweka kwenye ramani ya kupigania Ubingwa wa Tanzania Tuwaombe wana Simba tushikamane kipindi hiki ili tutimize lengo hili lililobaki mkononi…
Unataka kuagiza gari?? Karibu @medalimotors tupo kwa ajili ya kazi hiyo @medalimotors ni Wabobezi wa kuagiza Magari kutoka sehemu mbalimbali duniani Malipo yetu ni kwa awamu mbili mpaka nne Fika Ofisini kwetu Dar Free Market Jijini Dar Es Salaam Au tupigie kwa #0748898888
Safari yetu ya ligi ya Mabingwa Afrika imefikia ukingoni, Tumefanya kila kinachowekezana lakini mpinzani ameonesha ukubwa wake kwetu Kujifunza hakuna mwisho na maisha ya mpira ni mchakato usio na kikomo. Hii imekwisha tujipange kwa msimu ujao Insha Allah
Simba Sports Club @SimbaSCTanzania
1.6M Followers 38 Following The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)Zee la Vyeti (PhD) @babalao__
481K Followers 7K Following 𝗭𝗲𝗲 𝗕𝗮𝗯𝗮𝗹𝗮𝗼, 𝗣𝗵𝗗 ✪Influencer ✪ Content Creator ✪ Memelord✪ ✪ Chelsea Fan ✪Farhan Kihamu Jr @FKihamu
390K Followers 976 Following VISIT MOROGORO 🇹🇿 | MKULIMA| Presenter @cloudsmedialive| Brand Ambassador @betwaytanzaniaPrivaldinho @privaldinho
768K Followers 439 Following YANGA SC DIGITAL MANAGER…… Author || Lawyer || Sports Pundit ||KhalidChukuchuku93�.. @Khalidchukuchuk
275K Followers 3K Following Football Correspondent , Son of Ligi Kuu ⚽ Fluidity Mildfilder (Kiungo Bamia) , Ambassador @SifexAirCargo @kmcfc_official MCOTunu Hassan @TunuHassan
242K Followers 181 Following Sports presenter |news anchor |EFM Sports HQ 9:00 AM- 12:00PMBoniface Jacob @ExMayorUbungo
453K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberGilly Bonny Tv @GillyBonnyTv
117K Followers 56 Following Ni runinga ya mtandaoni iliyosajiliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania -TCRA kwa ajili ya kuripoti habari, taarifa na matukio mbalimbaliZee La Nyeti @OriginoZee17
225K Followers 7K Following Truck Driver|Professional driver|Forklift Operator|Terminal Tractor Operator|Funny Man| @Arsenal @FCBarcelona @SimbaSC FanFumbo Khan @fumbokhanJr
287K Followers 1K Following funny tweet// Man United and Simba Sport|| forum of thought|| fumbokhan on InstagramAggy Simba @DannyAggy
66K Followers 15 Following Simba sports club fan, Most influential football fan𝐌𝐭𝐨𝐭𝐨 .. @mwaganoti
38K Followers 165 Following 𝑾𝒂𝒏𝒂𝒐 𝑷𝒆𝒏𝒅𝒂 𝑴𝒊𝒛𝒂𝒈𝒂𝒎𝒖𝒐 𝑵𝒅𝒊𝒐 𝑾𝒂𝒕𝒂𝒌𝒂𝒐 𝑻𝒆𝒍𝒆𝒛𝒂 𝑲𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆 𝑼𝒕𝒆𝒍𝒆𝒛𝒊 𝑲𝒊𝒖𝒍𝒂𝒊𝒏𝒊 𝑵𝒋𝒐𝒐 𝑫𝑴 𝑩𝒆𝒊 𝒑𝒐𝒂MR BEN @Eric__Bernard
437K Followers 5K Following Proud To Be Tanzanian, TANZANIA KWANZA, Retweets Are Not Endorsements, Mjuzi wa Mawasiliano ya kimkakati, Mwananchi na Mporipori.Zitto MwamiRuyagwa Ka.. @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWoteRASHIDI HAMISI @hrashidi354
0 Followers 21 Followingkala_mzenj @kala_mzenj29896
0 Followers 111 FollowingFrancy Neyfeci @FNeyfeci
0 Followers 74 FollowingKintu Yaman @KintuYaman
90 Followers 4K FollowingHassan Yusuph @YusuphHass22915
1 Followers 72 FollowingDraick Bavon @DraickB57085
363 Followers 608 FollowingKinky Krissi @KrissiKink
768 Followers 1K Following I am very kinky & XXXTRA naughty MILF, my content is BDSM focused. 38H, Pierced kink/fetish friendlyBriton Gasper @Briton131
3 Followers 84 FollowingOlivia Kipenzi @OKipenzi45146
1 Followers 37 FollowingBeny Magesa @beny062002
0 Followers 11 FollowingPerpetua Ezekiel @PerpetuaE42311
0 Followers 11 FollowingPuppy _druppy_ @ek4107828
2 Followers 16 FollowingJullie_me @JMkireri15293
6 Followers 43 FollowingGeorge Joseph @empirereich
1 Followers 14 FollowingRamadhani Makalius @rkaboza2022
1 Followers 85 FollowingSwalid Kanyorota @SwalidK11051
1 Followers 114 FollowingKarim Savage @KarimSavag57174
0 Followers 152 FollowingErick @paschalerick7
0 Followers 13 FollowingAntoni Kulwa @AntoniKulw62555
1 Followers 49 FollowingRamadhan Athuman @AthumanRam46746
0 Followers 7 Followingelvis Ochwachi @Elvisindicator
0 Followers 22 Followingclaudio morales @claudio40417991
31 Followers 1K FollowingAlhaji Nambinga @Alhajinambinga
0 Followers 48 Followingmohamed @moo35muu
2 Followers 120 FollowingMzeempili 0ffclly @0ffclly17685
1 Followers 32 FollowingFrank Knows @KnowsFrank74229
3 Followers 101 FollowingIddy Sarehe @IddySarehe88584
0 Followers 39 FollowingEmmanuel Yuda @EmmanuelYu6914
0 Followers 21 Following Journalist presenter tv$radio pesonality content creator@ztvonline_&@_zoneproductionHalima Bakari @halima20hbw
1 Followers 26 FollowingShafii Ndossa @NdossaShaf46590
0 Followers 63 FollowingHamisi Hamadi @HamisiHama17480
1 Followers 16 FollowingEdger Shuma @Cardinaltycoon1
1 Followers 25 FollowingOmary Pongwa @OmaryP40902
0 Followers 12 FollowingDizasta D @dizasta_d15901
0 Followers 89 Following1 Alerte 1 Info @1alerte_1info
789 Followers 1K FollowingSamwel Alfred @alfred_sam32537
2 Followers 47 FollowingAnny Mozy @naahmoshi
0 Followers 7 Followingseesafari adventure l.. @SeesafariL
7 Followers 131 Following SeeSafari Adventure Limited is a company founded in Tanzania country in Africa continent.we specialize in curating unforgettable experience.Prince Muller @cleverjr476
0 Followers 66 Followingavosto natah malimi @AvostoM21326
0 Followers 17 FollowingV nevermind2910 @VallenciaM49320
0 Followers 113 FollowingWalter Mosha @MoshaWalte71889
2 Followers 61 FollowingKayanda Jolima @jolima67245
3 Followers 97 FollowingAbdulrahman Shabani @arskiriga
0 Followers 32 FollowingNeema Faustine @faustine_n64905
0 Followers 31 FollowingSimba Sports Club @SimbaSCTanzania
1.6M Followers 38 Following The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)Clatous Chota Chama @ClatousCC
642K Followers 59 Following 🇿🇲 Zambia Soccer National Team Player ⚽Attacking midfielderMohammed Dewji MO @moodewji
2.1M Followers 132 Following President, @MeTL_Group || Founder, @DewjiFoundation || President, @SimbaSCTanzania #HoyaTunu Hassan @TunuHassan
242K Followers 181 Following Sports presenter |news anchor |EFM Sports HQ 9:00 AM- 12:00PMSimba SC Tanzania Eng.. @SimbaSC_EN
240K Followers 23 Following The official english account of Simba Sports Club. (Swahili account - @SimbaSCTanzania)Kisali Soud Simba @SimbaKisali
280 Followers 229 Following A Tv Journalists, Documentary filmmaker, fixer, and IWMF Fellow, Woman in News (Wan Ifra) Alumni 2021Bendachi The Vrt!st @Bendachi_Vrt
1K Followers 2K Following Drawing Artist | Teacher | Proudly Tanzanian🇹🇿. | A.K.A Vationboe Bendachi | C.E.O @ OxRait_£mpire | WhatsApp Link 👇🏾Ms. Lucy @lucylissa92
3K Followers 221 Following Raised to be a lady / MBA-Finance / Corporate lady 👩🏾💻CAF @CAF_Online
2.8M Followers 244 Following Confederation of African Football (CAF) | FR: @CAF_Online_FR | AR: @CAF_Online_AR | PT: @CAF_Online_PT | CAFWomen: @CAFwomenRabbi Hume @RabbiHume
34K Followers 317 Following Digital Content Creator || Social Media Coordinator, Photographer, Videographer & Drone Pilot - @simbasctanzania@igyjan @ahmed__ally Usipangie watu cha kufanya kaka! Mara mnataka kuwaona kina chilunda, mohammed,mwanuke, duchu, abdallah, mzamiru, siku chama akifanyiwa sub hamtaki, mara hamumtaki bocco af ametupeleka makundi klabu bingwa, na hapo kuna baleke, kuna miqson, onana... Kama mpira umewashinda acheni!!
@ahmed__ally Tp Mazembe na Esperence ni wenzetu ktk level zetu, mechi inayochezwa ni mechi ya level zetu,mechi inachezwa ktk dimba letu la level zetu. Kwa nini tukosekane kwa Mkapa?
@ahmed__ally Ingekua n vyema ungeanza na neno apo zamani za kaleee 😀😀
@ahmed__ally Msim ujao hatutaki wakina sawa dogo semaji simamia hapo tu
Good Morning wana Lunyasi Zimebaki siku mbili tuu twende tukafanye yetu Kwa Mkapa Hakikisha umenunua tiketi au nunua tiketi yako sasa Siku ya mechi hakikisha unakuja na Scarf au Bendera ili kuhanikiza na kupendezesha mchezo wetu
Siku yetu ya kufurahi kimataifa Ni mtoko wa familia, ni maandalizi ya kuanza maisha yetu mapya ya kimataifa Buku 2 kuiona Sambaloketo hii ni zaidi ya zawadi kwa Wana Simba Karibuni tufurahi pamojaa
Kufahamu undani na safari ya maisha ya Mohammed Hussein Tshabalala fuatilia story yake kupitia Simba App
Kabisa tukitoboa apo dah! Allah atuongoze tuu kwakweli atawaepushe na majeraa wachezaji wetu ili wapambane tupate matokeo mazuri mechi zote4 Inshaallah.
Tuna mechi nne ngumu za ugenini Nov 23 : Mbeya City Vs Simba - Mbeya Nov 27 : Polisi Tz Vs Simba - Moshi Dec 03 : Coastal Vs Simba - Tanga Dec 18 : Geita Gold Vs Simba - Mwanza Tunaenda kusaka alama 12 ugenini Hii mission inaitwa (12 Away
Shukrani saaana kaka,, Sisi wana @SimbaSCTanzania hatuna cha kukudai.Na kwangu pia nitoe shukrani za kipekeee saana kwa juhudi zako kwenye soka la nchi yetu .Hivyo basi hii ni zawadi kwako kwa yote mazuuri unayotufanyia🙏 Kwa mawasiliano zaidi +255 754 582 818.
Ohhhh so niceee Asante sana Brother @Bendachi_Vrt kwa hii zawadi ya kipekeee, Mungu akubariki zaidi kwenye kazi zako 🙏🙏🙏 Umenifanya nijidai kwa mchoro huu
@ahmed__ally Ulishatabiri haya..... na ni kweli tumebakia peke yetu 😅😅😅
18/19: Robo fainali 19/20: Hatua za Awali 20/21: Robo fainali 21/22: Hatua za Awali 22/23: : 🤔 🇹🇿 @SimbaSCTanzania wana malengo ya kufanya makubwa kwenye 2022/23 #TotalEnergiesCAFCL! 🔥