Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Jamhuri ya Kenya, Jenerali Francis Omondi Ogolla na wanajeshi wengine tisa katika ajali ya helikopta iliyotokea leo katika Kaunti ya Elgeyo-Marakwet. Natuma salamu za pole kwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Kenya, Mheshimiwa @WilliamsRuto, wananchi wote wa Kenya, familia, ndugu, jamaa na marafiki wa wote waliopoteza jamaa zao katika katika ajali hiyo. Poleni sana. Mwenyezi Mungu azilaze roho za ndugu zetu hawa mahali pema peponi. Amina.
@SuluhuSamia Tutumie ng'ombe sita za kuomboleza jirani, Leo sisi kesho nyinyi, hii dunia ni raondi..
@SuluhuSamia Ongea kizungu angalau siku moja mama .
@SuluhuSamia Mama Angalia michoro yangu hii x.com/018salama/stat…
@SuluhuSamia Mama Angalia michoro yangu hii x.com/018salama/stat…
@SuluhuSamia @Asamoh_ Tumepokea rambi rambi za jirani
@SuluhuSamia Naitwa @Bwoisama nafolo back ni folo ni kufolo tukuze familia
@SuluhuSamia The lights are off. Asante sana Jirani😭😭😭😭😭😭😭
@SuluhuSamia Tusome hii stori ni balaa...😅💥 x.com/lil_dee06/stat…
@SuluhuSamia Tusome hii stori ni balaa...😅💥 x.com/lil_dee06/stat…
@SuluhuSamia Stori hii sio ya kukosa kusoma...😅🔥 x.com/lil_dee06/stat…
@SuluhuSamia Stori hii sio ya kukosa kusoma...😅🔥 x.com/lil_dee06/stat…
@SuluhuSamia Pema peponi. Mahali hiyo nzuri. 😭😭😭😭 CDF Ogolla the General 😭😭😭😭