Izi game ni leo lakini amna hekaheka wala kitu chochote ni kaka imekosa radha au shida nini??
@Audax55 @clampG81 at clubs level za CAF, timu za TZ na Misri/Morocco ndio zinakuwaga na hamsha hamsha...