Tausi binti sheikh @tausmrisho
Joined January 2018-
Tweets2K
-
Followers2K
-
Following2K
-
Likes18K
Kuna wakati unalazimika uutue mzigo chini ili uupange upya upate kubebeka vizuri. Vivyo hivyo kwenye maisha, kuna nyakati huna budi kupukutisha baadhi ya watu katika maisha yako ili upate fursa ya kuwapanga upya waendane na muelekeo wa maisha yako. Kupangua nako pia ni kupanga!
Ukishalazimika kusema 'unanijua mimi ni nani' ujue bado hujafikia huo umuhimu unaojitambulisha nao. Ukishafikia kuwa huyo nani hutahitaji hata utambulisho. Kujiepusha na fedheha hiyo ya kujitutumua mara kwa mara kulinda hadhi, wekeza katika utu. Utu ni utambulisho tosha sana tu!
MashaAllah..... Masjid Al-Haram and Abraj Al-bait in Mecca tops the list of World Most Expensive buildings. msn.com/en-us/travel/n…
Wewe ni muhimu kwa wale unaowafaa. Usihamishie umuhimu wako kwa wengine. Hao wengine kabla hujawataka wakupe umuhimu uliozoea kuupata, wape nao fursa ya kuuona huo umuhimu wako waliouona hao wengine katika maisha yao.
Hoja ya uongo inapaswa kujibiwa kwa hoja ya ukweli. Hoja ya uongo ikiachwa ijirudie rudie masikioni mwa watu bila majibu ya kweli ufanya ionekane ni ya kweli. Counter false narratives with factual based narratives. Simple
Mara nyingi maneno yanayozuka katikati ya ugomvi, ambayo yawezekana hata hayahusiani na ugomvi wenyewe, ndio hugeuka kuwa ugomvi mkubwa kuliko ugomvi mlioanza nao. Weka akiba ya maneno unapokuwa na hasira usijejikuta wewe uliyekosewa ndio unalazimika hatimaye kuomba msamaha!
Kama uwepo wake miongoni mwao hauwaondolei ujasiri wa wao kukusema vibaya mbele yake, hata kama anawakana mbele yako, kaa ukijua, hata kama wanatofautiana kuhusu hilo lako tu, lazima wana jambo lao lingine linalowakutanisha na linalowaunganisha. Usiache kuwa na tahadhari nae!
#SikilizaTogolani "Toa toa tip kwa mabaunsa na mhudumu. Vile watakavyokuwa wanakupokea kwa bashasha na kukuita jina lako la kwanza inakupandisha thamani sana mbele ya wateja wapya na wageni unaokwenda nao eneo lako la starehe". Mshauri wa Masuala ya Kipumbafu, Anasa na Starehe
"Mtu ye yote aliyetenda tendo bora alikuwa bora, potelea mbali wazazi wake walikuwa walikuwa kina nani, kabila gani au rangi gani". Shabaan Robert
Viongozi huwapa watu vitu viwili vikubwa, alama na maana. Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere ametuachia alama na maana ya uongozi isiyofutika kwetu hata miaka 21 baada ya kifo chake. Hakika alikuwa Kiongozi. Hakika alikuwa Mwalimu. Hakika alikuwa Kiongozi-Mwalimu!
Maisha yetu ni kuitafuta maana. Maana ya uwepo wetu duniani, maana ya hatma yetu duniani, maana ya masuala mengine kama rizki, mapenzi na furaha, hali kadhalika, maana ya kukosa na maana ya kupata. Maana ndio masumbuko yetu makuu na wanaotupa maana wanayakamilisha maisha yetu!
@tausmrisho Kwani dunia yetu hii?
#SikilizaTogolani "Wikiendi mtupumzishe na mazungumzo yenu ya viwanja na ujenzi. Watu tutafute hela kwa masimango wiki nzima kisha wikiendi tukitumia mje na masimulizi yenu ya kutiana woga wa maisha. Tuacheni tustarehe". Mshauri wa Masuala ya Kipumbafu, Anasa na Starehe
Tukiwa na mgeni wetu rasmi Ms.Pearl Mavura akiambatana na wasichana. Kuelekea siku ya mtoto wa kike duniani. #IDG2020 @globalpeacetz
Ukupigao ndio ukufunzao muwe na usiku mwema nyote
Mheshimiwa mjomba anatoa hotuba @tonytogolani kaka nyoka hazai mjusi kwa kweli. 🔥🔥🔥🔥
Mheshimiwa mjomba anatoa hotuba @tonytogolani kaka nyoka hazai mjusi kwa kweli. 🔥🔥🔥🔥
Hata shida huzoeleka. Isumbue shida kadri unavyoweza na kila ukipata nafasi ya kufanya hivyo. Epuka sana kuizoea shida. Usiruhusu ikuzoee na kukuchukulia poa. Shida iliyozoeleka hugeuka kuwa ni majaliwa. Shida isiyozoeleka hugeuka kuwa ni mapito!

Zee la Vyeti (PhD) @babalao__
670K Followers 7K Following 𝗭𝗲𝗲 𝗕𝗮𝗯𝗮𝗹𝗮𝗼, 𝗣𝗵𝗗 , Zebedayo ✪Influencer ✪ Content Creator ✪
#GWIJI🔴 @athanas_pius
250K Followers 10K Following JOKER || @ManUtd 🇬🇧 |@SimbaSc 🇹🇿 |No flex zone| Telecom Engineer📡|| We live everyday & We die once|| @gwijiStepstz| @AfroJuiceBar||@PlanB_Bistro,Tanga🍻
MR BEN @Eric__Bernard
454K Followers 5K Following Proud To Be Tanzanian, TANZANIA KWANZA, Retweets Are Not Endorsements, Mjuzi wa Mawasiliano ya kimkakati, Mwananchi na Mporipori.
B A S I L @iambasilius
71K Followers 7K Following || Always Be Thankful To God. Always! || Banker ||
JulietLindbergh @Oz554d23r74MI2R
0 Followers 215 Following
Peurau @Peurau9805
33 Followers 1K Following
MurielCarey @Z9fu1ekN40aW6Xd
4 Followers 215 Following
Darar @Darar41451
19 Followers 838 Following
Sraueemer @Sraueemer88691
20 Followers 867 Following
Clarissa O'Hara @ClarissaHa68870
86 Followers 4K Following
Olayinka @George101429
135 Followers 714 Following
Daija Rowe @DRowe57081
55 Followers 2K Following
Saddam Ssengoba @SaddamSsengoba
40 Followers 1K Following
Innocent Chumi @InnocentChumi
16 Followers 67 Following
@@Dassy@@ @DastanKwizombe
352 Followers 1K Following ¤Sales&MarketerBypro!!¤ ■Airtel Now ●Sino ciga Co. 2017 ●Quality group 2016 ●Bajaj2014 ●Zantel2012 ●Mzumbe un ●Njombe Boyz ●Ruhuwiko Sec. ●Matogoro primary
Seif Ajem @Koreakaskazini
664 Followers 1K Following
p.a.n.i.s.o.u.l @pberium
2K Followers 723 Following You Either Die a Hero or Live Long Enough to See Yourself Become the Villain.
Duragstz @duragstz
212 Followers 796 Following Durags za aina zote silky & velvet kwa bei nafuu kabisa ya 10k. Popote ulipo unaletewa bureee piga 0714746564📞 . . . . . . . . 🛍🛒 Online Store 🛒🛍
Dr Msafiri @msafiri_dr
2K Followers 2K Following born Mara Tanzania Serengeti national park....welcome
saint @josiahjoasgmai1
27 Followers 413 Following accountant|DSA Banc ABC|Evangelist|CCM BY BLOOD.|Author of HATIMA YAKO NDIYO VITA YAKO find it on https://t.co/4rwjfd0Csv
YoungMakorokocho @MangiMakorokoch
681 Followers 2K Following Youngmakorokocho3 Follow me IG 🆔 Let Love live with us target ur dream to the new version
Crissy Nankya @CrissyNankya
5K Followers 5K Following Country Representative @1_billiontrees, Climate Educator, Farmer🍅 & Community Psychiatric Officer. #OneBillionTreesForAfrica, 🌴 #GreatGreenWall
SAMMY @SAMMYleezy1
843 Followers 3K Following 👉Strategic plan Writting and Guidance 👉Project plan write up 👉Bussiness plan write up 🖤💯💥GOD DID IT
ACADEMIC EXPERTS @ACADEMICEXPER20
102 Followers 552 Following We are academic writers experienced in different fields, Writing is our passion.
Stephen Molatlhegi @VavoStephen
25K Followers 18K Following
mposewa @cosstony_tz
322 Followers 558 Following respect fool to avoid noise✊✊🇹🇿🇹🇿 positive attitude💪💪 GGMU Manchester United for life🤗🤗
Bello's Prestige @BelloChuseh
5K Followers 5K Following B. MLS(in view) || SDGs || Global Health || UNICEF YPAT '25 || Aspire Alumni || MCN Alumni || Avid Reader ||
matunzy @matunzy1
1K Followers 1K Following Political scientist || Model || @LFC🔴 Catch cruise and enjoy life Just wanna meet stranger n make them friend 👬
Smooth Papa™ 🐐 @_alamation
5K Followers 5K Following I'm too busy with my grass to notice yours is greener. #MUFC
Precious @Preciou50316555
27 Followers 54 Following am a cute girl with no trouble buh don't try to get on my nerves
millardayo @millardayo
3.2M Followers 486 Following Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]
Zee la Vyeti (PhD) @babalao__
670K Followers 7K Following 𝗭𝗲𝗲 𝗕𝗮𝗯𝗮𝗹𝗮𝗼, 𝗣𝗵𝗗 , Zebedayo ✪Influencer ✪ Content Creator ✪
Royal Tv @Royaltv_TZ
270K Followers 1K Following
WHYMYCATISSAD @INFLUENCERjr
306K Followers 3K Following Only Person on X who doesn't Claim to be a Social Media Guru. Mwanasheria wangu @MiriamMkanaka
Mohammed Dewji MO @moodewji
2.3M Followers 140 Following Pan-African Entrepreneur, President @MeTLGroup & @SimbaSCTanzania, Philanthropist @DewjiFoundation, Georgetown Alumni #Hoya
Godbless E.J. Lema @godbless_lema
1.2M Followers 1K Following Politician/Activist/Member @Chadematz Member of Central Committee , Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and Father
Masoud Kipanya @masoudkipanya
2.1M Followers 73K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - President/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - Industrialist
EastAfricaTV @eastafricatv
2.1M Followers 9 Following Official EastAfricaTV (EATV) Twitter Email: [email protected]
Balyx @Balyx_
154K Followers 7K Following On 18th of December 2022, I witnessed MESSI WINNING A WORLD CUP☝️
Swahili Times @swahilitimes
1.7M Followers 0 Following Habari | Elimu | Burudani | [email protected] | Maoni ya wasomaji si maoni ya Swahili Times | Simu/WhatsApp/Telegram: +255 743 778 779
Hilda Newton @HildaNewton21
936K Followers 1K Following Journalist/Activist/President Of Tanzania 2045
Clouds Media @CloudsMediaLive
1.9M Followers 44 Following A multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.
#GWIJI🔴 @athanas_pius
250K Followers 10K Following JOKER || @ManUtd 🇬🇧 |@SimbaSc 🇹🇿 |No flex zone| Telecom Engineer📡|| We live everyday & We die once|| @gwijiStepstz| @AfroJuiceBar||@PlanB_Bistro,Tanga🍻
MR BEN @Eric__Bernard
454K Followers 5K Following Proud To Be Tanzanian, TANZANIA KWANZA, Retweets Are Not Endorsements, Mjuzi wa Mawasiliano ya kimkakati, Mwananchi na Mporipori.
Maria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.3M Followers 9K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,
fatma karume aka Shan... @fatma_karume
1.2M Followers 668 Following Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fight
BBC News Swahili @bbcswahili
2.2M Followers 248 Following Huu ni ukurasa wa habari za dunia kutoka BBC. Facebook: https://t.co/ZZJDhvaNyo. Instagram: https://t.co/LqmfEIlht3. YouTube: https://t.co/mv5T3KheUN.
Robert Amsterdam @robertamsterdam
82K Followers 5K Following International lawyer specialising in political advocacy and human rights. Founder and Managing Partner of Amsterdam & Partners LLP.
Duragstz @duragstz
212 Followers 796 Following Durags za aina zote silky & velvet kwa bei nafuu kabisa ya 10k. Popote ulipo unaletewa bureee piga 0714746564📞 . . . . . . . . 🛍🛒 Online Store 🛒🛍
Sarah Terrones @SarahTerrones8
304 Followers 86 Following 18+ Pear plant based pussy. 😍 Follow me🛐🔞 👄
YoungMakorokocho @MangiMakorokoch
681 Followers 2K Following Youngmakorokocho3 Follow me IG 🆔 Let Love live with us target ur dream to the new version
saint @josiahjoasgmai1
27 Followers 413 Following accountant|DSA Banc ABC|Evangelist|CCM BY BLOOD.|Author of HATIMA YAKO NDIYO VITA YAKO find it on https://t.co/4rwjfd0Csv
Dr Msafiri @msafiri_dr
2K Followers 2K Following born Mara Tanzania Serengeti national park....welcome
Crissy Nankya @CrissyNankya
5K Followers 5K Following Country Representative @1_billiontrees, Climate Educator, Farmer🍅 & Community Psychiatric Officer. #OneBillionTreesForAfrica, 🌴 #GreatGreenWall
Stephen Molatlhegi @VavoStephen
25K Followers 18K Following
ACADEMIC EXPERTS @ACADEMICEXPER20
102 Followers 552 Following We are academic writers experienced in different fields, Writing is our passion.
SAMMY @SAMMYleezy1
843 Followers 3K Following 👉Strategic plan Writting and Guidance 👉Project plan write up 👉Bussiness plan write up 🖤💯💥GOD DID IT
Agnes Callamard @AgnesCallamard
94K Followers 3K Following Secretary General, Amnesty International. Ex UN Special Rapporteur and Columbia Univ. Tweets on human rights. Views my own. @agnescallamard.bsky.socia
Dr.Capri @capri0322
375 Followers 7 Following
mposewa @cosstony_tz
322 Followers 558 Following respect fool to avoid noise✊✊🇹🇿🇹🇿 positive attitude💪💪 GGMU Manchester United for life🤗🤗
Bello's Prestige @BelloChuseh
5K Followers 5K Following B. MLS(in view) || SDGs || Global Health || UNICEF YPAT '25 || Aspire Alumni || MCN Alumni || Avid Reader ||
Smooth Papa™ 🐐 @_alamation
5K Followers 5K Following I'm too busy with my grass to notice yours is greener. #MUFC
matunzy @matunzy1
1K Followers 1K Following Political scientist || Model || @LFC🔴 Catch cruise and enjoy life Just wanna meet stranger n make them friend 👬
Precious @Preciou50316555
27 Followers 54 Following am a cute girl with no trouble buh don't try to get on my nerves
Annie @Annie_Apparels
142 Followers 285 Following I sell all kinds of wears|shoes👢, clothes 👚,bags🛍️ and lots more|at affordable prices Just leave me a message @Annie_Apparels
Chinny's Empire @ChinnyEmpire
31 Followers 64 Following make me your best fashion plug 🔌🔌 promise you won't regret it🥺🥰
🇿🇦IFB @TukuluZanele
1K Followers 2K Following God's Fav❤️❤️🙏🏾 NMU Student 📚 OVSA Ambassador 😊 TEFL Tutor 🌼 ~Live. Laugh. Love
MainGold @DhaMainGold
144 Followers 537 Following 🙂🙃🙂 Live life love life In all just catch the cruise 😉😁😁
Lumola Steven Kahumbi @Lumola_Steven
7K Followers 745 Following ENG/PMP/CMA/SCS/MCS & PBI 🛠️ I'm an Engineer with a passion for project management and Data analysis. Holder of PMP, CMA, SCS MCS & Power BI certifications.
wito aziz @WitoAziz
19 Followers 130 Following
𝙊𝙂 𝘾𝙇𝙄... @Loveee_official
898 Followers 2K Following 𝗬𝗼𝘂𝗻𝗴 𝗔𝘀𝗽𝗶𝗿𝗶𝗻𝗴 𝗦𝗼𝗹 ⚖️ || 𝙤𝙣𝙡𝙮 𝙜𝙤𝙤𝙙 𝙫𝙞𝙗𝙚𝙨 𝙖𝙣𝙙 𝙉𝙤 𝙝𝙖𝙩𝙚 𝙨𝙥𝙚𝙚𝙘𝙝𝙨 ||
Matic13 @Matic133
674 Followers 1K Following
KindChic😍 @FunnyChic3
1K Followers 1K Following Political Scientists, Writer, Longrich Products, Realtor, Land Agent, Fashion Designer,Ladies & Men Shirts, Native wears Jean and Shoes.
SPHUMELELO @SPHUMEL47746694
1K Followers 1K Following @go2UJ Student 📚📖📕 , 3rd Year ♥️ , Soccer Player 🥅⚽️ , Bongani Zungu ke Role Model ❤️ TRUE FAN OF EMTEE @emteerecords ❤️❤️❤️🙏