Mwanaume fanyia kazi " Self Esteem" yako na kila kitu kitabadilika
Ukianza kujikubali kama ulivyo hautotumia nguvu kubwa kuishi nje ya Uhalisia wako ili ukubalike nje
#KuwaNiceGuyniUgonjwa
Nilivyoacha kuwaza " Nikimwambia sijapenda alichofanya atajisikiaje/ atanionaje...?"
" Yule demu nampenda lakini nikimwambia ataniona muhuni...Acha nile kwa macho"
Kila kitu kilibadilika upande wangu
Niliepuka friendzone
.
Nikapata pisi iliyonipenda MIMI KAMA MIMI…
Moja ya faida ya kusoma vitabu vya mindset ni kukufanya kuwa na MAONO (VISION) za mbali..
🧵
Repost🔁
Follow @shabirnakamu
Inawezekana wengi wetu hatufahamu uzito halisi wa kuwa na MAONO ya kueleweka..
katika andiko hili nitakuonyesha (kwa mifano halisi) ni kwa namna gani…👇🏾
Fanya makosa yote mbele ya Mwanamke ila usiwe Mwanaume dhaifu ( Nice Guy)
Ukifanya kosa hili hautosamehewa kamwe na vile Wanawake walivyo wakatili kwa Wanaume dhaifu
Kuwa mkarimu tu inatosha usiwe Nice utaumizwa
#KuwaNiceGuyniUgonjwa
Ukitaka kujua Uhalisia wa Mwanamke uliyenaye mnyime kitu ...
Utaiona rangi yake halisi
Unfortunately! Nice Guys can't relate because they are YES MAN!
#KuwaNiceGuyniUgonjwa
@Afya_code Ni kweli kabisa. 'Hapana' ni mpaka wa kujilinda. Ni zaidi ya neno – ni kauli ya kujiheshimu, kudumisha thamani binafsi na kulinda afya ya kiakili na mwili. Mtu anapojifunza kusema 'hapana', anajipa ruhusa ya kusema 'ndiyo' kwa kile kilicho bora kwake
@Afya_code Hapana ni neno baya kwa wanawake na hawalipendi kabisa kulisikia.
Ndio mana dem utasikia "Nikuambie kitu, Niambie kwanza kama utakubali?" Kwake Hapana haina nafasi.
Sasa kuna vtu vingine tunahitaji kusema HAPANA.
Neno " HAPANA " bila kutoa maelezo yoyote linabeba Nguvu yako Mwanaume
Jifunze kusema " HAPANA " kwenye jambo lolote linalopunguza well being yako
#KuwaNiceGuyniUgonjwa
Haya sasa @Afya_code tumewekwa hadi kwenye magazeti lakini tunaweza tusisikie.
Kauli ni moja tu, Je usipoazima hiyo Ela Utakufa? Kama haufi achana nayo fanya mambo mengine.
Ila kama tunapelekaga uku naomba tuzuiwe tu kukopa 😂😂
Ukweli kuhusu kipato cha mtandaoni. Hasa kama unauza professional services, coaching, books na courses —mambo yako hivi:
Mwezi huu umeingiza 652,000
Mwezi uliopita 120,000
Next month alfu sabini na aftatu.
Another month umepiga 2,890,000
Mwezi mwingine Sifuri.
Na hali…
Ni lazima Wanawake wakutumie kwa faida zao kwa sababu wewe ni mdhaifu, unaishi ili upate approval yao na unaishi nje ya Uhalisia wako
Mind you! Wanawake wanahisi udhaifu chap sana na wakijua unao umeisha
#KuwaNiceGuyniUgonjwa
1K Followers 945 FollowingUnderstanding the struggle....
Liverpool fan
kwa nahitaji ya laptops na simu kwa bei nafuu sana
tupigie / Whatsapp 0629993633
539 Followers 3K FollowingEvery saint has a past, every sinner has a future. I stand real tall and send no one ❤️FC Barcelona❤️💙 MESSI 🐐❤️🌹Manyewu FC😂🦅❤️
915 Followers 949 FollowingVisionary Creator
REACH ME VIA
https://t.co/QT9xeo5Vr8
If unapenda kazi yangu buy me a coffee
nisapoti via https://t.co/Q7762hqPlO
9K Followers 2K Followingskincare consultant || passionate about healthy glowing skin || helping you to be confident in your skin . https://t.co/LhcTQ953f9
157 Followers 982 FollowingHelping Men level Up in Mindset & Purposes|Insights That Rewrite Relalities|Critics on Culture & Characters| Always Learning.On mission to impact 1000 lives..
20K Followers 386 FollowingBiggest ONLINE STORE for Laptops, Phones, Tablets, and Electronics.
WE ONLY ACCEPT PAYMENT BEFORE DELIVERY.
IG@neoelectronics_
WhatsApp 09045655194
5K Followers 3K FollowingMarketing &Sales Analyst |
I help businesses & professionals with effective marketing strategies.
Check on me. https://t.co/6YaoJcPjvu
15K Followers 3K FollowingI simplify tech so you can monetize it. Turning tools into income, ideas into action. Solopreneur | Tech Content Creator| Building @Nisapoti_Africa
2K Followers 881 FollowingFINANCIAL LITERACY EXPERT || MINDCHITECT ||SELF-AWARENESS EXPERT || turning ideas in to income || teaching how to make, manage & multiply money || DM for Biz
3K Followers 2K FollowingMwalimu wa Mapishi ya Biashara Nawasaidia Wanawake na Vijana Kujiajiri Kupitia Mapishi
👩💻 Mwandishi wa Vitabu vya Mapishi
IG:lilyanapika
TikTok: lilyanapik
2K Followers 230 FollowingMeta Ads Expert | Graphics Designer | Voice Over
I help brands sell more with powerful ads, creative visuals & pro voiceovers.
📞 +255625917765
23K Followers 146 FollowingGrow your Company/Business Sales with Me | Increase your Market Outreach with Me | I'm the Founder & MD at @ebdigitaltec | JESUS IS MY LORD