~Beda @BedaChrispine
learning more is better Tanzania Joined July 2019-
Tweets799
-
Followers252
-
Following1K
-
Likes6K
Nimemsikia kijana wa ccm anasema mimi kumwambia Mzee wetu Wasira astaafu kwasababu ya umri mkubwa ni matusi . Pia huyo kijana amesema yeye ni kijana kutoka Mkoa wa Mara. Je Mzee Warioba ni Mzee kutoka Mkoa gani? Je anajua kwamba miongoni mwa mawaziri kwenye serikali hii aliwahi kumvuta , kumkaba na kudhalilisha vibaya mzee Warioba kwasababu mzee wetu alitaka katiba mpya na bora? Huyo kijana kwa kudhalilisha Mzee wetu chama chao kimempa vyeo vingi kama zawadi. 1. Ukuu wa wilaya 2.Ukuu wa Mkoa 3. Uenezi wa ccm 4. Uwaziri na ubunge wa kupewa. Je kwa huyu kijana anaejiita wa Mkoa wa Mara, kumwambia mzee kustafu kwasababu huwa anasinzia kwenye vikao na mambo ya msingi yanampita ni matusi kuliko mtu anaepiga Wazee? Je huyu kijana amewahi kukemea tukio la Mzee Warioba kudhalilishwa? Je amewahi kukemea watu kutekwa akiwemo katibu Mwenezi wa ccm bwana Polepole? Je ni vibaya kumwambia mtu astafu na kuachia kizazi kipya ni vibaya kuliko mauaji ya Oktoba 29? Huyu kijana amewahi kusema nini kuhusu mauaji hayo au hajui wapo Wazee pia waliuwawa kwenye yale matukio?
Siku hizi neno ‘toxic’ limekuwa maarufu na linatumika vibaya. Ukweli ni kwamba mtu mwema anaweza kabisa kukuweka pembeni na kuacha kuwasiliana na wewe bila kulazimika kujieleza. Tatizo ni kama anafanya hivyo kukuadhibu, kujikweza kuwa huna hadhi yake au amekukosea na anakwepa uwajibikaji. Saa nyingine, wewe unayem-diagnose mtu na kumpachika jina la ‘toxic’ wewe ndio ‘toxic.’ Utu wa mtu haumaanishi akubali kupoteza uhuru wake wa kufikiri na kuamua; haumaanishi awe mtumwa wa maslahi yako na hata kutumika kutekeleza maelekezo na matarajio yasiyoendana na misimamo yake.
Kuelekea Baraza kuu la kihistoria.. Nimesikia sauti yenu, Asanteni sana Watanzania kwa upendo mkubwa. Ushindi wetu uko karibu sana.. Msiogope, tutashinda.
@EduTalkTz Yaani aliyeenda shule na aliyebaki kupambana mtaani... Iko tofauti kubwa kati yao kifikra na katika maamzi yao. Elewa kifikra na siyo kielimu..
“Kipaumbele cha taasisi kikiwa ni kulinda viongozi wake na mamlaka yao kuliko ustawi na uhai wa watu wake ujue taasisi hiyo inaongozwa na makuwadi.” (Tafsiri imekoleza mwandiko kidogo)
@HildaNewton21 Daaah! Hii mpaka lini jamani...
@Jambotv_ Mtachezeshwaaa hadi mtaona moto... Hata isipokuwa amini itatokea nzitooo kuliko iliyowahi kutokea.. Kutisha watu siyo njia sahihi fanyeni Yale wanainchi tunastahili kuyaona yakitendeka. Na maandamano siyo kosaaa
@bwaya Vitisho vimekuwa vingii kufanya wanainchi waamini uongozi ni ubabe unaotisha watu wanaodai haki na uwajibikaji, na siyo kutenda ipasavyo ili waaminike na raia tenaa.
Utoshelevu hauji kwa kuwa na vingi. Utoshelevu hauletwi na kujilimbikizia vingi. Utoshelevu, kwa hakika, ni matokeo ya utoto ulioshibishwa. Mtoto aliyeshiba—amenyonya vya kutosha, amehakikishiwa usalama wa kisaikolojia angali mdogo, akaamini wanaomlea wanamuona, wanamsikiliza, wanamuelewa, wanamuamini, ukubwani anakuwa mtu rahisi sana kushughulishwa na mahitaji ya wenzake na jamii katika upana wake. Kutokuridhika, kujifikiria muda wote, kutokuwa na shukrani na ulichonacho ni kiashiria cha utoto ulionyimwa mahitaji ya msingi—deprived childhood.
@MariaSTsehai @SuluhuSamia Ule ukweli tukiachana na itikadi za vyama.... Hata Kuwepo sehemu alipo Tundu Lisu haikutakiwa kwa gharama yoyote.. Sema Serikali yetu haihitaji mtu aliyenyooka bali anayeendana na watakavyo watawala hata kama siyo kisheria. Ingekuwa kisheria kesi ingeshatolewa hukumu mahakamani.
Watanganyika wenzangu, je tutaendelea kukaa kimya wakati haki inahitaji sauti zetu? Taifa letu linajengwa juu ya misingi ya utawala wa sheria, haki na demokrasia. Ni wakati wa wananchi kusimama kwa amani na kudai haki ifuate mkondo wake. Tunaomba na kusisitiza kwa taasisi husika kuhakikisha kuwa kesi ya Mheshimiwa Tundu Lissu inarudishwa mahakamani ili ichunguzwe kwa uwazi na haki ipatikane bila upendeleo. Haki iliyocheleweshwa mara nyingi huwa ni haki iliyonyimwa. Tunatoa wito kwa jumuiya za haki za binadamu, taasisi za sheria na wadau wa demokrasia ndani na nje ya Tanzania kufuatilia kwa karibu suala hili kwa misingi ya haki, amani na utawala wa sheria. #JusticeForLissu #HumanRights #RuleOfLaw #Democracy #Tanzania #StandForJustice #FreeSpeech #AfricanDemocracy #EastAfrica #GlobalJustice #HakiKwaWote #UtawalaWaSheria @HumanRightsOrganizations @MahakamaKuuTanzania @CHADEMA @AmnestyInternational @HumanRightsWatch @UNHumanRights
Mapenzi ya kweli, mara nyingi, huambatana na kiwango fulani cha faragha. Hatuingilii uhuru wa watu kupendana wajuavyo wao lakini kuna kaukweli kuwa mahangaiko ya kuthibitisha kwa umma huficha mengi yasiyosemwa waziwazi.
UTARATIBU WA MKRISTU MKATOLIKI KANISANI •Unapoingia Kanisani, chovya maji ya baraka na kusema: "Unitakase Ee Bwana uovu wangu wote, ili nipate kushiriki ibada takatifu: Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu Amina! •Kama Kanisani kuna Ekaristi Takatifu iliyohifadhiwa katika Tabernakulo, piga goti huku ukisali: "Bwana wangu na Mungu wangu". Haya ni maneno aliyotamka Tomaso baada ya kumwona Yesu Mfufuka (Yoh 20:28). •Ukiinuka sali: "Nitakusifu na kukuabudu katika Ekaristi takatifu" •Nenda mpaka kwenye kiti, piga magoti huku ukitoa nia yako ya kusali Misa siku hiyo, mfano: "Ee Mungu, ninaungana na jeshi la mbinguni, pamoja na Bikira Maria, nikiwa na nia ya kumwombea mama yangu ambaye ni mgonjwa, jirani yangu ambaye hatuelewani na pia familia yetu ambayo haina amani. Kwa Sadaka hii ya Misa Takatifu, mponye mama yangu, leta uelewano na jirani yangu, na pia rejesha amani ya familia yetu pamoja na familia zote ambazo hazina amani" NB: KILA MISA UNAYOSHIRIKI HAKIKISHA UNA NIA YAKO NA UINGANISHE NA SADAKA HIYO YA MSALABA. USISHIRIKI MISA KAMA MTAZAMAJI BILA KUWA NA NIA YAKO MOYONI. •Endelea na ibada ya Misa na Kushiriki Litrujia kikamilifu. NB: Hakikisha unashiriki kikamilifu kwa kuimba, kuitika kwa sauti, kusimama, kupiga magoti nk kwa uchangamfu. Misa huwa tunashiriki wote kwa pamoja lakini MATUNDA YA MISA kila mmoja anapokea tofauti kulingana na jinsi alivyoshiriki. Kama ni kwa asilimia, basi sio wote huwa tunapata asilimia zinazolingana za neema kwenye Misa. Kuna wanaopata neema nyingi zaidi, wanaopata kidogo nk kulingana na maandalizi ya moyo na ushiriki hai katika kupokea matunda ya adhimisho lenyewe. Kama ni bomba linalotiririsha maji, basi kila mmoja wetu ni mtekaji akiwa na chombo chake. Wingi wa maji (Neema) utakaoingia ndani ya chombo (Roho/moyo) utategemea: 1. Chombo chako kipoje wakati unateka hayo maji 2. Nafasi (kama ndani ya chombo nafasi ni ndogo, ndivyo na maji yatakavyoingia machache. Kama nafasi ni kubwa, ndivyo na maji yatakavyoingia mengi. Kama moyo umejaa hauna nafasi, ndivyo na Neema hazitaingia kabisa kwasababu hazina sehemu ya kuingia) 3. Umekiwekaje bombani ili maji yaingie ndani (hapa sasa ndio USHIRIKI HAI katika adhimisho. Hivyo, tuliza akili na moyo wakati wa Misa, na shiriki kikamilifu Liturujia hatua kwa hatua. Ndiposa kila mmoja anapokea neema za Misa kwa kadiri ya maandalizi aliyofanya na ushiriki anaoonyesha wakati wa adhimisho. NB: Utofauti wa kupokea matunda ya adhimisho la Misa haupo kwa mtoaji (Yesu) bali kwa mpokeaji (Anayeshiriki). Utofauti wa maji tunapoenda bombani kuteka, haupo kwa bomba linalotoa maji, bali kwa aina ya chombo na utayari wa mhusika kuteka maji hayo. Tuendelee •Wakati wa Kupokea Ekaristi (Komunyo) ukikumbuka kuwa una dhambi kubwa (ya mauti), komunika kwa sala ya tamaa. Usithubutu KAMWE kupokea Ekaristi ukiwa na dhambi ya mauti. "Maana kila mwulapo mkate huu na kukinywea kikombe hiki, mwaitangaza mauti ya Bwana hata ajapo. Basi kila aulaye mkate huo, au kukinywea kikombe hicho cha Bwana isivyostahili, atakuwa amejipatia hatia ya mwili na damu ya Bwana. Lakini mtu ajihoji mwenyewe, na hivyo aule mkate, na kukinywea kikombe. Maana alaye na kunywa, HULA NA KUNYWA HUKUMU YA NAFSI YAKE, KWA KUTOKUUPAMBANUA ULE MWILI. Kwa sababu hiyo wako WENGI KWENU WALIO HAWAWEZI NA DHAIFU, NA WATU KADHA WA KADHA WAMEKUFA." (1 Kor 11:26-30) Hivyo, usipokee Ekaristi ukiwa na dhambi. Baki upokee kwa tamaa ya moyo. Jisikie wivu Mtakatifu wakati huo, na jitahidi ujitakase kwa kuungama ili adhimisho lingine usikae tena bila kupokea. •Mwisho, wakati wa kuondoka chovya maji ya baraka na ujibariki. Kwa kuwa baada ya adhimisho huwa tunapaswa kwenda kuishi kile tulichoadhimisha, waweza kusali sala ya binafsi "Unilinde Ee Mwenyezi Mungu, nikapate kuwa mfano katika jamii yangu, na nikushuhudie katika matendo yangu" Hapo unachovya maji ya baraka na kufanya ishara ya Msalaba "Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina" Tumsifu Yesu Kristu. Mungu akubariki
Mhe. Lissu: Hiyo PGO 236 inasema investigation statements sasa ni kweli kwa mujibu wa hiyo PGO mtu anayeandika maelezo ya shahidi anakuwa tofauti na huyo anayemuandikia? ASP Geofrey Lutufye: unaweza jiandika mwenyewe. Mhe. Lissu: PGO ya ngapi? ASP Geofrey Lutufye : Sikumbuki Mhe. Lissu: Ngoja nikupe PGO ujikumbushe. ASP Geofrey Lutufye : Mi nimesema siwezi kukumbuka. Mhe. Lissu: apatiwe PGO amepewa. Mhe. Lissu: Sasa tuonyeshe PGO gani inasema unaweza jiandika mwenyewe. ASP Geofrey Lutufye: Siwezi kukumbuka. Mhe. Lissu: Hukumbuki au hujui. ASP Geofrey Lutufye : Sijui. Nimecheka sana 🤣🤣🤣🤣
Imeandikwa, “Kwa maana mtu atapata faida gani akiupata ulimwengu wote lakini akaipoteza nafsi yake?” Unapata faida gani kwa kujikusanyia kila kitu duniani —mali, mamlaka, ushindi wa kishindo, umaarufu, raha —kama unaishia kupoteza kile kilicho cha thamani zaidi kabisa? Unaweza kutumia kila mbinu ukawa na utajiri wa kupindukia, madaraka yasiyo na ukomo, ukaweza kugharamia anasa na starehe za kila aina, ukaendesha magari ya gharama kubwa na kuishi kwenye mahekalu yasiyofikika na watu. Ikiwa hayo yote yanakugeuza adui wa haki za wengine, ukawa sababu ya vilio vya wenzako, ukawafanya watu wakunung’unikie, wewe unajitenga msingi wa kwanza wa utu, unageuka adui wa Mungu, unaharibu nafsi yako, na hatimaye utaishia kupoteza kila kitu.
Unatumia muda mrefu kutafuta mali. Unaishi maisha ya hila na ulaghai. Unakuwa mtu wa dili muda wote, uhusiano wowote usioambatana na dili unaona ni kupoteza muda. Kwa vile ulivyojaza ufahamu wako na vitu, unaona hata familia na ndugu zako ni wasumbufu. Unaishia kuwa mtu mbinafsi unayetazama maisha kwa mtazamo finyu wa vitu. Huna muda na yeyote asiye na ‘chochote cha ku-offer’. Muda wote anawaza namna kupata zaidi, kuumiza zaidi, hila zaidi, kujishibisha zaidi. Unawatazama watu kama nyenzo ya kufikia malengo yako. Unawaona watu kama vitu unavyoweza kuvizimisha na vikanyamaza. Unadharau hisia za kila anayekuzunguka. Unaumiza watu wengi wanaonekana kuwa kikwazo cha ukusanyaji wa mali ambazo hata huzihitaji na utukufu unaokutenga na watu. Unaishia kuwa mpweke aliyefanikiwa kuwa na kila kitu. Unakufa na umaarufu usiokupa amani wala utoshelevu. Mzee Mwinyi alituasa, maisha ni kuacha simulizi jema kwa wengine. Hili haliwezekani ukiyatazama maisha kama mradi wa kujikusanyia vitu, nguvu na utukufu. Maisha ni zaidi ya vitu. Maisha ni zaidi ya madaraka. Maisha ni zaidi ya kujikusanyia mali kwa ajili ya ndugu, jamaa na marafiki. Maisha ni zaidi ya kupambana na hofu zako. Maisha ni zaidi ya kulinda kiburi chako. Maisha ni pamoja na kuwa furaha kwa jirani yako. Maisha ni kuwa jibu la matatizo ya wanyonge wanaokuzunguka. Maisha ni kutumia uwezo wako, vipawa vyako, elimu yako, ushawishi wako kuwa mchango katika ustawi wa jamii katika upana wake.
Kwa nini Mwalimu Nyerere, miaka mingi baada ya kifo chake, bado anaendeleaje kuwa na ushawishi kwenye jamii yetu? Kwa nini basi mpaka leo mzimu wake unatumika kuwakumbusha watu sifa za kuwa kiongozi? Je, ni utakatifu? Hata kidogo. Tukiufikiria utakatifu kwa maana halisi ya utakatifu ni wazi hakuwa. Tofauti ya Nyerere na akina sisi wa leo, naamini kinachomfanya Nyerere aendelee kuwa maarufu hata kesho ni uwezo wake wa kuyatazama maisha kwa jicho linalovuka ‘ubinafsi.’ Hakutazama maisha haya kama safari ya kujikusanyia mali. Hakutazama elimu yake kama nyenzo ya kukwea daraja tofauti na wengine. Hakutazama madaraka yake kama mradi wa kuinufaisha familia yake, ndugu zake na jamaa zake. Mwalimu alionekana kufikiria zaidi ustawi wa jamii yake na akaamika. Mwalimu alisema alichokiamini na aliishi anachokimini na watu walimwamini pamoja mapungufu yake mengi.
𝗗𝗼𝗿𝗻𝗻�... @dornnie
63K Followers 10K Following | None of us can choose our destiny and none of us can escape it | DESTINY IS ALL |
KAPETO🇹🇿 @kapeto98
130K Followers 2K Following Sharing Insights on | Insurance | Risk Management | Economics | Investment | Marketing | Communication | Sports | Jokes | Arsenal Fan
MSOLOPA MOSQUERA💥 @online48hrs
14K Followers 12K Following 2pac##Arsenal ##barcelona ##simbasc 👊 🥰MAMA😘
KIPEPE RUNGU 🇹🇿 @DanfordTun96400
5K Followers 7K Following Think. Learn. Grow. 📈 Positive vibes only ✨ Follow 👉 @DanfordTun96400 https://t.co/9eSoZtCEq0
Yusuph @Yusuph_941
4K Followers 3K Following 🩺 Medicine is the mission 🧡 Happiness is the prescription 🧠 Curious mind, big dreams 🌍 Just a human figuring life out.
Gladyce Hamill @HamillGlad10500
120 Followers 5K Following
Pieveq @Pieveq805
13 Followers 503 Following
Ellis _ @champEllis_
245 Followers 504 Following Lifelong Learner. Twits in English | Swahili. My twits = My thoughts. RT != E.
Pimbi @PimbiBinam
297 Followers 516 Following Official job and passion Driver of Saloon&trucs in East Africa Drive safe your family waiting you home safely oppotunity suport💵🛬connection giver🏭🏥🏗️⛱️
Adedamola... @DMLfireboy3345
1K Followers 2K Following ..hustle boy in town living my life. Don't cry when am die look on the sky and say goodbyee...🏋♀️🏋🏋♂️.Man united ,REAL MADRID $ Simba sport fans..CR7 🐐
Mwenyehery Japheth @Mwenyehery
50 Followers 580 Following The upcoming Diplomat and experienced teacher
MKOMAVU 🇹🇿 @mkomavu
494 Followers 2K Following 🧠Counselor, Online Mental health Practioner ✍️ Author & Trainer 🧠 Mental Health Consultant 🧠Mental health activist Working at MKOMAVU ENTERPRISES
francis Georgetown @francisGeorget9
807 Followers 2K Following
Perfect Man Jnr @amlialoyce619
970 Followers 999 Following I love Football❤️❤️⚽⚽ Fan Of @FCBarcelona @simbasctanzania🦁🦁 @ParisSaintGerman @Arsenal @lionelmessi @FcBayernMunich @InterMiamifc @AcMilan
ROLEX10 @rolex_juniour
21K Followers 9K Following BORN TO WIN join my WhatsApp chanel https://t.co/DqF5RaXcIc
jrhangau @jrhangau
522 Followers 2K Following
Mtoro @MtoroAbdul
80 Followers 270 Following
Shuethel @ShuethelxADmm
82 Followers 2K Following
domitra damas @maverous21
2K Followers 1K Following single ,Jesus is my first priority, arsenal fan ,Simba fan ♥️♥️♥️
Emmanuel AJM (SJ) @EmmanuelMoshi91
89 Followers 601 Following PSCM Certified Expert, Researcher & Consultant.
Lababa Baba @LababaBaba7
506 Followers 628 Following Man's life is of God, not of his goods, however abundant they may be
Undisputed @Mvidunda2
745 Followers 730 Following Digital Transformation Advocate | Bridging Tech&Agriculture | Digital Innovator | Empowering communities with tech | Marketing & PR | Dreaming bigger
Chief Goon 💱 @UTD_mi
20K Followers 17K Following @manutd ♥️ BMW🖤 Automotive Engineering🔧⚙️ Efootball 🎮🧘
Domy ltubush @DomyLtubush
54 Followers 212 Following
💚💚swift ritah�... @ritahswift1
20K Followers 11K Following I grab any opportunity which comes around. Arsenal fan 💪💪 Poetry is my thing. It's me Myself and I. 😎🤞🤞💞🎓
Sandra 💦🍑🍑�... @s49043554
1K Followers 2K Following Here for fun ❤️❤️a girl toto🍑🍑 Manchester United 😍😍
Justine @mukamajustin2
19K Followers 6K Following Media personality , journalist , fashionista and designer
Nicky @Kygo_Nicky
2K Followers 5K Following |SimbaScfan| |Arsenalfan| |Politicsislife| Journalism is my carrier📸
Jordan Deo @JordanDeo1
10 Followers 33 Following
Anania Mwasote @ananiasimon22
282 Followers 1K Following Football Writer // Football Analyst // It's the greatest thing in the world, natural enthusiasm.U're nothing without it. Bill Shankly
@dalaliboris_boko🇹... @BorisDalali
82 Followers 1K Following DALALI BORIS 0673772289 /🏘 Real Estate Services. 🏠 TUNAPANGISHA NYUMBA / VYUMBA. 🚘 TUNAUZA MAGARI. 🏜 TUNAUZA VIWANJA . KARIBU MTEJA
🅘🅢🅢🅐🅡�... @Isaro_Ryoba
2K Followers 4K Following 🇮 🇸🇸🇦🇷🇴 🇷 🇾 🇴 🇧 🇦 ✍️ Mshabiki Wa Mpira ⚽ Yanga Sc. Vs Chelsea fc. From Tarime-Mara-Tanzania.
Mjomba @Mleziwawana
2K Followers 2K Following Entrepreneur|Muumini wa Demokrasia,Utawala Bora & Haki za Binadamu
ESSAY HELP, MATH ASSI... @CherylEssays
55K Followers 5K Following ESSAY HELP MATH CLASS HELP BIOLOGY CHEM COURSEWORK DISCUSSIONS EXAMS QUIZZES ONLINE CLASSES HOMEWORK HELP PAPER WRITING PROCTORED EXAMS CHEAP ASSIGNMENTS
marl @KredoMartin
515 Followers 1K Following
Antibiotic @zushanier
10 Followers 48 Following Wakubwa Hatugombani Tuna Vimbiana Tunaishi Alafu Tunaishia Kaa Kwa Kutulia
Hello Africa_ @hellowAfrica1
142 Followers 41 Following Account kwaajili ya video za connection, na mijadala mbalimbali ya kimaisha na taarifa za kila namna
Nelson mmbaga @Nelson_MmbagaTz
201 Followers 1K Following
Martin Maranja Masese @IAMartin_
613K Followers 1K Following MMM | Sperm That Won The Race | Cogito, ergo Sum | Patria o Muerte, Venceremos |
Malkia Nyuki 👑 @nyuki_malkia
995K Followers 8K Following Movie, Tv series 🎬🎥 God is good always @ManUtd #Tumshauri
Zee BabaLao @babalao__
694K Followers 7K Following 𝗭𝗲𝗲 𝗕𝗮𝗯𝗮𝗹𝗮𝗼, 𝗣𝗵𝗗 , Zebedayo ✪Influencer ✪ Content Creator ✪
millardayo @millardayo
3.1M Followers 478 Following Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]
SAMKICHEKO @samuelmway
266K Followers 2K Following Mtu mpole 👤 pia ni kijana mwaminifu kweli kweli || meme lord || @ChelseaFC fan || visit my facebook page https://t.co/RfWTLUyBoI.
Daktari Wa Manesi �... @McinikaWaLamar
835K Followers 2K Following 💼 Social Media Guru| Influencers Manager | Content Creator | Sensei | Digital Strategist | Master Mind
Maria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.4M Followers 10K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,
Simba Sports Club @SimbaSCTanzania
2.0M Followers 40 Following The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)
Hilda Newton @HildaNewton21
960K Followers 2K Following Journalist/Activist/President Of Tanzania 2045
Spana & V.A.R Movemen... @spana_Konki
383K Followers 1K Following Spana Wolfgang Konki| Certified Spanaz & V.A.R 🔧 Spana Headquarters🏢. Spana & V.A.R Compilation. Ni-Tag penye Spana/V.A.R. JUMUIYA YA WAPIGA SPANA
Lubasha Jr @MarekaMalili
681K Followers 2K Following |Digital Consultant | |Baba Maggie & Gian& Gio |Youth Development| |Parenting| |Financial Literacy| |#ManU #LBJLoyalKnight|
Hika Lyimo @iamthatfemale
92K Followers 2K Following A daughter,a sister,relying only on God.i am that female. You need shoes? follow https://t.co/UUedhtk2dK location: https://t.co/355KaXHNkI
BBC News Swahili @bbcswahili
2.2M Followers 251 Following Huu ni ukurasa wa habari za dunia kutoka BBC. Facebook: https://t.co/ZZJDhvaNyo. Instagram: https://t.co/LqmfEIlht3. YouTube: https://t.co/mv5T3KheUN.
S t e w a r d @madeinmusoma
28K Followers 17K Following ✝️ Catholic | 🇹🇿 Life, Stories & Culture | Made in Musoma
Yusuph @Yusuph_941
4K Followers 3K Following 🩺 Medicine is the mission 🧡 Happiness is the prescription 🧠 Curious mind, big dreams 🌍 Just a human figuring life out.
Bony 📚 @bonifacejoseph_
13K Followers 4K Following https://t.co/5yHrqAzFxP 0747625726 || PHONE SELLER & OTHER ELECTRONICS||
Lucas Ngoto @lucas_ngoto
3K Followers 620 Following
Judaism @elyneema
9K Followers 5K Following #Combatant,teacher by professional(BAED),Analyst,adovocate(a voice to the voiceless),political figure,young Marxist,Next Mp, Father.
xharao @ochara0
2K Followers 589 Following
POSITIVITY @PositivitySaid
350K Followers 85 Following #Positivity is for you 🫶 if you believe in kindness, growth, and hope✨️ Subscribe and be part of the positivity movement 🙏
Deep Thoughts 💭 @quotetoponder
1.0M Followers 52 Following Sharing inspirational quotes in 280 characters or less mostly found online. Page since 2012. Owner: @edongbelaro #QuoteToPonder ✉ [email protected]
~BINGWA⚡ @BingwaIK
13K Followers 6K Following Chemical & Process Engineer | Building Expertise | Systems | Process | Operations
Isaac @IsaacGaitanJr
374 Followers 679 Following Global Citizen/Social Justice & Development/Personal View
МαхιмιlιαnLB�... @MaximilianLB
1K Followers 464 Following Catholic|Fond of Philosophy, History, Theology, Science, Chelsea,Chess and Classical music. Quantum_Physics_theorist and a Physics_Biology Teacher.{Χριστιανός}.
(---) Onesmo Mushi @EduTalkTz
44K Followers 1K Following Power tends to corrupt, and absolute power corrupts absolutely — Lord Acton
Sabrina winga @SharifaSabrina
8K Followers 5K Following Mungu Mkubwa 🙏♈️ someone turns into anyone I am not single.
Ellis _ @champEllis_
245 Followers 504 Following Lifelong Learner. Twits in English | Swahili. My twits = My thoughts. RT != E.
Eng.Benjamin @nyalut23
8K Followers 5K Following Irrigation and Water resource Engineer/House plan designer/Workplace health safety and environment expert. /Man United, Simba and RM fan😍/owner@kidimilo_23
Mia Woźniak @miawozniak93
29K Followers 29 Following Goddess. Not here to chat. Here to be worshipped. Subscribe first, then we talk 💬 Link below. 👇
Gillsant v10 @GillsaInt
165K Followers 5K Following I help people start and grow business online. I teach 21st Century Digital Skills. @swahilidigital founder. Advanced Social Media course👇🏾
PrettyGhost👸 @PrettyGhost_255
8K Followers 4K Following Maisha//Umri//Mafanikio SimbaSc Farmer📌🔰 in my ❤️ Tanzania in my🩸
jana na leo @Jumbe20Mus2082
19 Followers 339 Following
Prof. Feynman @ProfFeynman
1.3M Followers 0 Following A universe of atoms, an atom in the universe. Tribute to the great explainer. Tweets about Science and Wisdom. Portrait by L.V Patten.
Mwenyehery Japheth @Mwenyehery
50 Followers 580 Following The upcoming Diplomat and experienced teacher
Chris Mauki. PhD @Chris_Mauki
9K Followers 22 Following Social, Relationship and Counseling psychologist | MC | Motivational and Public speaker | Lecturer in Psychology | University of DSM | [email protected]
Joel Nanauka @jnanauka
25K Followers 0 Following 🏆 Dr.Joel Nanauka (hc) URT Youth Development Minister |🏅 Named in 100 Young Influential Africans | 📱0756 094 875 ⬇️
Mbishi ⚖ @bizy94
18K Followers 593 Following FEARLESS: Legal and political systems cannot maintain desirable law and order unless JUSTICE is also achieved.
Laul🌺🦋 @Saraphinalaul78
6K Followers 3K Following UDSM📚 🧚🧚 NO FACEBOOK ❎ NO tikitok🚫MATANGAZO DM 🌺X family 👒💃
Omalicha ᡣ𐭩 @ms_rockieey
8K Followers 7K Following
Perfect Man Jnr @amlialoyce619
970 Followers 999 Following I love Football❤️❤️⚽⚽ Fan Of @FCBarcelona @simbasctanzania🦁🦁 @ParisSaintGerman @Arsenal @lionelmessi @FcBayernMunich @InterMiamifc @AcMilan
Boss Micah 👻🇹�... @Micah_Magari
7K Followers 4K Following IT'S JUST A LIFE CEO & FOUNDER #micahmagari ☆I'm _Micah● TikTok - micah_magari Instagram - micah_magari
Ezekiel ‘TOP PEN’... @ezekiel_kamwaga
29K Followers 823 Following Tanzania’s Top Pen. Founder @GazetilaDunia. SOAS Alumni
Bwanashamba wa taifa ... @msakufarm
13K Followers 2K Following 👨🎓Agronomist,I help serious Farmers to get serious results. Ambassador for @east_west_seed_tanzania and @yaratanzania Cont: +255 767337029








































