Chief_Instructor🇹🇿🇳🇬 @ChiefInstructor
Research consultant for Data analysis/ @Man city fans / [email protected] . Mwanza, Tanzania Joined March 2022-
Tweets1K
-
Followers429
-
Following3K
-
Likes759
Inasemwa rais wa Belarus ameshiriki vikao vya upatanishi baina ya Yevgeny na Putin Baadae ikasaambaa message kwenye magroup ya telegram nchini russia yakielezea makubaliano yaliyofikiwa. Kuwa lilifanyike lolote kulivunja kundi hilo wala watu wake kushitakiwa
Wagner wakaiteka kambi ile na kuanza kusonga kuelekea Moscow, Putin akatangaza kitendo kile ni uasi ambao atapambana nao vikali na kutoa adhabu kali kwa wahusika Alifikiri utani, Jamaa wakazidi kusonga mbele Putin akiondoka Moscow
Ndio maana ilionekana picha bwana Yevgeny akiongea kirafiki kabisa na makamanda wa jeshi la urusi kambini pale bila matumizi yoyote ya risasi masaa ya mwanzo ya mapinduzi. Picha hii ikawaaminisha watu kuwa kuna wanajeshi wa Urusi wameungana na Wagner
Ndipo yeye akatake advantage kwa kuvamia Makao Makuu ya jeshi kusini mwa Russia mjini Rostov Actually kambi hii ilikuwa ni base ya “Operation Ukraine” hivyo hata Wagner group walikuwa wanaingia na kutoka kirahisi kambini hapa
Naam! Alilalamika kuwa waziri wa ulinzi alitumia uongo kumdanganya rais Putin kuhalalisha uvamizi Russia nchini Ukraine kuwa NATO ilipanga kutumia nchi hiyo kuishambulia Urusi. Kesho yake ndio kikosi chake kikashambuliwa na wanajeshi wa Urusi.
Yevgeny akakanusha taarifa hizo siku mbili baadae kwa kusema kundi lake lina idadi ndogo ya wapiganaji kuweza kupindua nchi bali hayo yanawezwa kufanywa na waziri wa ulinzi. Juzi tarehe 23 june, Ikasambaa video ikimuonesha Yevgeny akilalamika.
Mwishoni mwa mwezi huo mwanajeshi wa zamani wa Urusi bwana Igor Girkin akatoa tuhuma kuwa Wagner group wanapanga mapinduzi. Akasema pia kiongozi wa kundi hilo anakiuka sheria uwanja wa vita Huyu alikuwa pia ni kachero wa FSB Lakini Putin hakumgusa kabisa “mpishi wake”
Tarehe 5 May mwaka huu, Yevgeny alitangaza jeshi lake litaondoka vitani Ukraine kwa kuishiwa risasi. Akamshambulia tena waziri wa ulinzi na mnadhimu wa jeshi nchini kwake wao wamekaa ofisini wakinenepeana kama paka wakati vijana wake wanakufa wakipigania nchi yao Ukraine.
Tarehe moja October mwaka jana, Yevgeny alinukuliwa akisema maafisa wa juu wa jeshi hilo wanapaswa nao kushika bunduki na kwenda mstari wa mbele kwenye vita vya Ukraine na sio kukaa tu vikaoni. Hakuna mtu Urusi anayeweza kukosoa jeshi bali rafiki huyu wa Putin aliweza.
Kundi la Wagner hasa kiongozi wake, hawezi kabisa kumgeuka rais Putin Shida ipo baina ya kundi hili na uongozi mzima baina wizara ya ulinzi Russia hasa waziri wake Sergei Shoigu Chokochoko baina yao zilianza siku nyingi kama ifuatavyo
Nafikiri wote tunajua jinsi kijana wa kitanzania Nemes Tarimo alivyotolewa jela nchini Urusi ili kujiunga na kikundi hiki. Vivyo hivyo kwa kijana wa Zambia Lemekhani Nyirenda. Haya yasingeweza kufanyika bila ya “baraka kutoka juu” Nikisema juu namaanisha rais Putin
Alionekana akiwa gereza moja mji wa El Mal akifanya mchujo wa wafungwa wanaotakiwa kujiunga na Wagner group. Wafungwa hawa walikuwa wakihadiwa msamaha wa vifungo endapo watatumikia kundi lao kwa miezi sita.
Yevgeny akafungua kampuni ya Concord Catering ikapewa tenda kutoa huduma kwenye jeshi la urusi na Ikulu ya Kremlin. Kampuni hii ikaanza kunong’onwa kuingiziwa mapesa mengi katika mazingira yasiyoeleweka. Baadae ikavuja video ya Yevgeny iliyoibua maswali mengi
Mgahawa ukazidi kupata umaarufu, Mwaka 2002 mgahawa huu ukampokea rais George Bush Mwaka uliofuatia rais Putin akaenda tena kufanyia siku ya kuzaliwa kwake kwenye mgahawa huu. Sasa Yevgeny akapewa jina la “Putin’s Chef” ikimaanisha mpishi wa Putin
Hapa ndipo rais Putin akakutana tena na Yevgeny mwaka 2001. Siku hii ni Yevgeny binafsi alijipa jukumu la kumuhudumia rais Putin aliyekuwa ameambatana na rais wa Ufaransa Jacques Chirac kupata mlo wa jioni kwenye mgahawa huo. Hii ilikuwa “bingo” kwa Yevgeny
Katika sarakati za maisha, Yevgeny Prigozhin akajikuta anaingia kwenye biashara ya migahawa ambapo sasa alianza kupata mafanikio makubwa Watu wakivutiwa na ubunifu wa mgahawa wake unaoelea uitwao “New Island” ambao ulibebwa juu ya boti kwenye mto Vyatka St Petersburg.
Alipotoka akaanza kuuza Sandwich ya maandazi na sausage maarufu kwa jina la hotdogs 🌭 jijini St Petersburg Mwaka 1991 akaingia kwenye michezo ya kamali na hapa ndio ilikuwa mara ya kwanza kuonana na Putin. Putin akiwa ni mwenyekiti wa bodi ya michezo ya kubahatisha.
Huyu bwana Yevgeny Prigozhin alikuwa ni wale watoto waliozaliwa wakiwa wahalifu. Akiwa na miaka 21, tayari alikuwa ameshakamatwa mara mbili kwa makosa ya wizi wa kutumia silaha. Akafungwa gerezani ambako alikaa kwa miaka 9 hadi alipotoka kwa msamaha.
Hiki kikundi cha Wagner chenye makao yake makuu nchini Urusi, kilikuwa kikishirikiana bega kwa bega na majeshi ya Urusi kwenye Mission ya Ukraine inayoendelea. Kilianzishwa kwa ushirikiano baina ya huyu kiongozi wa mapinduzi na rais Putin. Walikutanaje wawili hawa?
Anadai amechukua uamuzi huu baada ya jeshi la Urusi kwa makusudi, kurusha kombora kwenye kambi ya Wagner group nchini Ukraine na kuua wapiganaji wake wengi. Kama hujanielewa wala usihofu utanielewa taratibu.

J Girl @juliethardt
228K Followers 13K Following
ER. Team Leader @alfuratyalatiqe
340K Followers 222K Following Hand in hand and shoulder to shoulder to rebuild our country, spread freedom, justice and establish a state of law & citizens
Zarissa_Eth @Zarissa_Eth
38K Followers 13K Following All in #Crypto addict• #BNB #DEFI #AVAX #SOL #NFT • Marketing and collab 🥷 • 🎮 gamer• •Insights, Tips & Trends 📈• Tweets ≠ F.A• with~ @AITECHio @TenseT_io
chuga girl❣️ @Lizzie36021
169K Followers 13K Following Daughter of living God🌹 Psalm 107:1 CHUGA FINEST❤🙏
GrwthEDGE @phan_wa_ii
18K Followers 6K Following L1 maxi 🔥 | $AVAX ⚡ | $HBAR enterprise🌍 | $SEI speed demon | $ALGO efficient & secure 💡 | $KAT cutting-edge innovation @ChimpxAI $CCD $APT $SEI $SUI Emofi
✞BLACKPASS⊹ฺ✞... @AminielEnock
15K Followers 7K Following Simba,Manchester united and Atletico madrid ☞☞゚ᴥᴥᴥ゚☞(个_个)
Michelle @davismichelle96
236 Followers 3K Following
Angela @angela_getzschm
288 Followers 3K Following
Santa Runte @RunteSanta26279
60 Followers 2K Following
Oozrerwe @Oozrerwe3366
24 Followers 894 Following
こうそかべゆき... @kousokabey87200
66 Followers 4K Following
Dante Wunsch @DanteWunsc39875
50 Followers 3K Following
Karmoos @Karmoos495
73 Followers 2K Following
Nathanael Beier @BeierNatha4906
122 Followers 4K Following
Gudrun Labadie @GudrunLaba69304
53 Followers 2K Following
Ipouauxouw @Ipouauxouw0590
56 Followers 2K Following
MiriamLyly @gYX4raBCbCI0Q
88 Followers 4K Following
Anna @Ooxeealee05097
3 Followers 552 Following
Smart Kwame Hakawa�... @SmartHakawa
3K Followers 3K Following Official site. UN Youth Advisory Group UNYAG /Video Editor//Photo Journalist. Passionate about Migration & Climate Change. /Onyame fata ayeyi🙏// @Barcelona fan
Netoshey @NetosheypWTG7E
151 Followers 4K Following
Pip Master FX @PipMasterFX
12 Followers 329 Following Forex trading is not about luck, but rather about skill, knowledge, and discipline.
Hans Wizzy @hans_wizzy79057
7 Followers 38 Following the boy on graphix logo creation production manajer in tz very creativ logo work from me plz get more on #hans_wizzy_tz. on instergram .... tell:+255782586680..
Essau @Essau721985
7 Followers 48 Following
Sharon @soto43sharon
365 Followers 3K Following
Ivy @martinivy50
275 Followers 3K Following
Cindy @cindy_darosa93
275 Followers 3K Following
Goodluck_JL,Esq @mtemiludalah
719 Followers 712 Following Lawyer | Dad | Citizen of the World 🌎 | Building bridges, not walls.
Ruby @ruby_luckey
290 Followers 3K Following
Connie @connie20ackerma
273 Followers 3K Following
John Masumbuko @JohnMasumbuko9
15K Followers 12K Following
Lillian @gervasio_lillia
306 Followers 3K Following
Cecilia @cecilia_lucio_
309 Followers 3K Following
Arthur Hulx @ArthurHulx45568
15 Followers 80 Following
Adeniji David @adenijidavid9
201 Followers 1K Following I can communicate through visuals; i can create visual concepts by hand or using computer software. I can offer ideas to inspire, motivate, or enhance consumers
Jessica @jessica_appleba
300 Followers 3K Following
Amina Msabah @Msabah93236
6 Followers 45 Following
Eliasi Msambila @aubreymsambila
2 Followers 49 Following
Dauson @AntidiusDa64291
15 Followers 116 Following
Ashaba Jim James @Ashabajimjames
1K Followers 2K Following Manchester United fan 📌📌 others ... minorities,,, pharmacy student 💊💊💉// so phlegmatic 😎😎
Rooben @rooben5n6
2K Followers 2K Following An unexpected end of success is coming| 🏇🏽🏇🏽Never Walk Alone @LFC |Philosopher 🎐🎐|Hustler|
Mounirou @Mounirou78
14 Followers 45 Following
gentlemen @rashid_ngaula
324 Followers 465 Following Football @simbasporttanzania fan @ManchesterUnited fan @FcBarcelona fan
Dj msekwa @Djmsekwa1
2K Followers 3K Following || BEST_DJ || CLUB || RADIO || EVENT ALL. Computer Maintenance and Repair || @Chelseafc @youngAfricanssc @realmadrid C.E.O NEMBO YA MTAA ICON ||
Richards Ronnie Malun... @RichardsMalunga
11K Followers 11K Following Graphic Designer⚪Football|Pure_Sena Analyst⚪Digital_Markerter⚪ https://t.co/O9UpT6vW0j a href=https://www.te https://t.co/dovSGJ93oQ…
juliacouzens @juliacouze83317
531 Followers 2K Following
Namdi Azikiwe.🇹�... @NamdiAzikiwe
75K Followers 26K Following ©Tanzanian©Volunteer© Entrepreneur©Critic©Truth©Activist©Social justice©Human rights matter© SautiZetu|UhaiWetu|GodsWithGoal|Team it's possible With100%
Emmanuel @Emmanue10369580
69 Followers 221 Following
Malkia Nyuki 👑 @nyuki_malkia
916K Followers 8K Following what is happening? God is good always @SimbaSCTanzania @ManUtd #Tumshauri
Defi Apex @DefiApex
48K Followers 3K Following DeFi Strategist | Web3 Influencer | Content Creator || Crypto KOL ◇ Alpha Hunter ◇ Growth Marketer ◇ DM for Collab
Zee la Vyeti (PhD) @babalao__
670K Followers 7K Following 𝗭𝗲𝗲 𝗕𝗮𝗯𝗮𝗹𝗮𝗼, 𝗣𝗵𝗗 , Zebedayo ✪Influencer ✪ Content Creator ✪
Cyancute ⭐ @CyancutyTz
477K Followers 3K Following ♻️Influence Content Creator & Social Media Promotions And Ads Matangazo Dm Ipowazi Fan Club @SimbaScTanzania🔱 Found CEO #SisiKitaaNawana On Space 🔥
millardayo @millardayo
3.2M Followers 486 Following Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]
Dr. Jabhera Matogoro @Dr_Matogoro
53K Followers 6K Following Dr. Jabhera Matogoro holds PhD in Telecommunications Engineering and works as Lecturer at the University of Dodoma. He is the Board Member for BAKITA Tanzania.
EastAfricaTV @eastafricatv
2.1M Followers 9 Following Official EastAfricaTV (EATV) Twitter Email: [email protected]
Spana & V.A.R Movemen... @spana_Konki
375K Followers 1K Following Spana Wolfgang Konki| Certified Spanaz & V.A.R 🔧 Spana Headquarters🏢. Spana & V.A.R Compilation. Ni-Tag penye Spana/V.A.R. JUMUIYA YA WAPIGA SPANA
J Girl @juliethardt
228K Followers 13K Following
ER. Team Leader @alfuratyalatiqe
340K Followers 222K Following Hand in hand and shoulder to shoulder to rebuild our country, spread freedom, justice and establish a state of law & citizens
MOHA🎖️ @moha_web3
143K Followers 2K Following 𝕎𝕖𝕓𝟛 𝕄𝕒𝕣𝕜𝕖𝕥𝕚𝕟𝕘 & 𝔸𝕕𝕧𝕚𝕤𝕠𝕣 / ℂ𝕠𝕞𝕞𝕦𝕟𝕚𝕥𝕪 𝔹𝕦𝕚𝕝𝕕𝕖𝕣 & 𝕂𝕆𝕃 𝕄𝕒𝕟𝕒𝕘𝕖𝕣 / 𝔻𝕄 𝕗𝕠𝕣 𝕄𝕒𝕣𝕜𝕖𝕥𝕚𝕟g/ @bybit affiliate 📌
Follow Space @follow_space_
20K Followers 18K Following |He/Him| ::|Independent 𝕏-App Researcher |::|𝕏 Platform Analyst|::|Connect with me for 𝕏 support and updates|::|Social Media and Tech Community Enthusiast|
Simba Sports Club @SimbaSCTanzania
2.0M Followers 41 Following The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)
SWAHILI DIGITAL @swahilidigital_
14K Followers 2K Following
Zarissa_Eth @Zarissa_Eth
38K Followers 13K Following All in #Crypto addict• #BNB #DEFI #AVAX #SOL #NFT • Marketing and collab 🥷 • 🎮 gamer• •Insights, Tips & Trends 📈• Tweets ≠ F.A• with~ @AITECHio @TenseT_io
Patricia Ibate Linda @PatriciaLindaI
68K Followers 2K Following Actress| Model| Producer -I believe in humanity, I believe together we can make a change to build a better world 4 next generation through entertainment 💪🏾
John Masumbuko @JohnMasumbuko9
15K Followers 12K Following
Khamis Suedi Kagashek... @KKagasheki
162K Followers 3K Following Diplomat and Politician #ProudlyTanzanian
James Mbowe @JamesMbowe4
45K Followers 346 Following
Lembrus Mchome @LembrusMchome
24K Followers 929 Following Mwenyekiti Mstaafu Bavicha (M) kilimanjaro Mratibu msaidizi mkoa wa Arusha. Mtetezi na mpenda Haki
khalifa said #PALESTI... @ThatBoyKhalifax
56K Followers 2K Following Writer and editor at @TheChanzo | Politics & Social Justice | Formerly at @TheCitizenTZ | Socialist | Rap | Anti-imperialist | Views are my own, not anyone’s.
Ismail Jussa @IsmailJussa
134K Followers 1K Following +259 | Proudly Zanzibari | Vice Chairman (Zanzibar) @ACTWazalendo
Hancy Machemba @hancymachemba
133K Followers 33K Following Co Director Nasar General Supplies, Mkulima, Mfugaji TANZANIA KWANZA 🏟Team CHELSEA
Rose Mayemba @rose_mayemba
46K Followers 510 Following Chadema Central Committee member, Pharmaceutical Technician,Business woman& Child of God...
𝐀𝐩𝐨𝐥𝐢�... @Apollo_Boniface
48K Followers 348 Following HOSOME Chadema | Bavicha Head of Information and Communication Depertment 2018 - 2024
U.S. Ambassador to Ta... @USAmbTanzania
65K Followers 36 Following Official account of the U.S. Ambassador to Tanzania, and it's dormant. Follow @Usembassytz for updates from our embassy. Terms of Use: https://t.co/iNuAU2wR7a
Erick Kabendera @kabsjourno
43K Followers 2K Following Researching Transitional justice & the ICC @KingsCollegeLon. Formerly #EIU & #TheEastAfrican
JayNaija @JayNaija
187K Followers 7K Following Mass communicator 🎙️ || Blogger || Chop Life || Good Food Lover || Music 🎵 || Dm or Mail for PR 👉 [email protected] || Chelsea💙
IJM @snr_ijm
474 Followers 2K Following Cyber security and forensic Analyst (CSFA) |Cybersecurity MSc,PG Dip,PG Cert.
(---) Onesmo Mushi @EduTalkTz
40K Followers 1K Following EDUCATION | Social Justice | #SDGs 4 & 8 | Decolonizing | The People | Intersectionality
Dr Calipso @nulphin
51K Followers 5K Following SDA || Doctor || Psychologist || Family and Marriage therapist || Helping spouse save their marriage. Sharing insights on my 6+ years of happy marriage.
Dauson @AntidiusDa64291
15 Followers 116 Following
Dmitriy Azarenko @CACandChill
15K Followers 8K Following CoFounder @SIProPicks & Co-CEO @TopTierAuth. Speaker, Advisor, 5x Founder, Previous Head of Product at SP (100M+ Valuation) & MarTech @ Atrius (1B+ Valuation)
Pendo Sanga @pendossanga
15K Followers 3K Following Political analyst ✍️ | Tuwapime kwa vitendo, si maneno | #SiasaYaKiwango
Doctor Mishy🇷🇺 @SharonMontana20
33K Followers 396 Following 🇷🇼🇺🇬 Queen of WakAnDa (Okukwagala is My Mission)
Cosmas Edward 💫 @EdwardCosmas
47K Followers 1K Following Philosopher & Theologian | Writer and Editor | Agronomist
NgamaGroup @Ngamagroup
34K Followers 8K Following 🎯Materials Service Tanzania. 🎯 Tunauza bidhaa bora za ujenzi kutoka kiwandani china kwa bei nafuu sana 🎯 Tupigie/WhatsApp 0717057552
Essay help, Homework ... @Genesisessays
34K Followers 972 Following Essays, Exams, Reserch, Excel, Accounting, STEM, Aleks, Canvas, Blackboard, Online classes and more. HMU on iMessage or whatsapp
𝐌𝐀𝐋𝐈𝐊 @TheMahleek
515K Followers 804 Following Humor • Web 2 ↔️ Web 3 • Football Fan • 📧: [email protected] • Get fast and affordable social media services @theowletonline
Nigeria Stories @NigeriaStories
704K Followers 1 Following Facts and amazing stories from Nigeria | Don’t forget to turn our notification ON 🔔| Email: [email protected]
Shola 👑 @itsSh0la
380K Followers 307 Following Certified Life Coach | Founder @cue_influence | Check out my book ‘Becoming A Better Man’ on https://t.co/lfH32ilDTA Business 📩: [email protected]
ABDUL @Just__Halal
115K Followers 2K Following CRYPTO NEWBIE 📈📊| CONTENT CREATOR | PR | [email protected] | Educator | Web2 & Web3
𝕂𝕦𝕤𝕤𝕞�... @kusssman
332K Followers 10K Following Podcaster 📩 [email protected] 🚧 Afrobeats 0nly. // 🇫🇷//
Man of Letters. @Letter_to_Jack
351K Followers 2K Following Husband | GirlDad x2 | Axis Mundi = Ogun State | Strategic Comms | Eldad | Touched by the Divine. Astra inclinant, sed non obligant.
Alabi @the_Lawrenz
865K Followers 12K Following Content storyteller | Marketing | Web3 learner | Chelsea Fan | - [email protected]
Ronu Spirit @ronuspirit
22K Followers 21 Following To get more education on African History. TikTok: @ronuspirit || YouTube: https://t.co/aU2WgslMtv || website: https://t.co/lSYjkBxW8G
Rooben @rooben5n6
2K Followers 2K Following An unexpected end of success is coming| 🏇🏽🏇🏽Never Walk Alone @LFC |Philosopher 🎐🎐|Hustler|
Mounirou @Mounirou78
14 Followers 45 Following
Madrid Xtra @MadridXtra
2.0M Followers 187 Following 📲 All Real Madrid updates game by game, transfer news, stats, pictures and much more are found right here for the fans.
Rodrygo Goes @RodrygoGoes
4.6M Followers 469 Following Atleta do @realmadrid e da @cbf_futebol 🇧🇷, revelado pelo @santosfc. 📧 [email protected]
ريال مدريد @realmadridarab
13.0M Followers 68 Following ⚽️🏆 الحساب الرسمي لـ نادي ريال مدريد باللغة العربية. 🇪🇸 @realmadrid 🇬🇧 @realmadriden 🇧🇷🇵🇹 @realmadridpt 🇫🇷 @realmadridfra 🇯🇵 @realmadridjapan
(fan) REAL MADRID FAN... @AdriRM33
1.4M Followers 28K Following Fan Account. No soy madridista de corazón porque el corazón un día para, soy madridista de alma porque el alma es eterna. Contacto y publicidad: 📩
Luka Modrić @lukamodric10
6.1M Followers 5 Following AC Milan player. Croatia national team captain. #TheBestThingsNeverComeEasy