James Mbowe @JamesMbowe4
Tanzania Joined July 2020-
Tweets2K
-
Followers35K
-
Following331
-
Likes7K
Vijana wetu @MalisaGJ_ na @ExMayorUbungo wameachiwa kwa dhamana Mchana huu. Leo watalalia magodoro baada ya kulalia Sakafu toka Alhamis.
Polisi wamewachukua @ExMayorUbungo na @MalisaGJ_ wanawapeleka Kituo cha kati Central. Kama unapenda Haki tukutane Central
Aliyesema kuna Mawaziri wanalipa watu wamtukane Rais kauli yake haikuzia taharuki, wala aliyesema tukiwapoteza Polisi msiwatafute bali @ExMayorUbungo na @MalisaGJ_ walioripoti taarifa ya kijana Mushi kupotea na kisha baadae mwili wake kukutwa Mochwari ya Polisi taarifa hii ilizua…
Update Baada ya Utaratibu wa kutoa Maelezo kukamilika na wadhamini kuwasilisha Barua za Dhamana kwa mujibu wa utaratibu. Polisi wamekataa kutoa dhamana Muda huu, Ndugu zetu wanarudishwa lockup kwa Mara nyingine tena. Justice for @MalisaGJ_ and @ExMayorUbungo tunaondoka hapa…
Updates Askari kutoka ofisi ya ZCO wamefika Kituo cha Polisi Mbweni wamewachukua @ExMayorUbungo na @MalisaGJ_ wanawapeleka Central simu za wahusika kwasasa zipo chini ya Jeshi la Polisi. Tutawajuza Kinachoendelea.
Kuna kijana wa UVCCM aliongea jambo la kupoteza watu, tena mbele ya polisi mpaka Leo hatujasikia hatua zozote zilizochukuliwa dhidi yake. Lakini kuna Mkuu wa Mkoa mmoja naye alizua taharuki kwa kusema kuna baadhi ya mawaziri wanatumia watu kumtukana Rais naye mpaka Leo…
Updates: Police wameondoka na @ExMayorUbungo kuelekea Msakuzi kwa upekuzi, Na Wengine wameondoka na @MalisaGJ_ kuelekea Moshi- Kilimanjaro kwa upekuzi.
Kuna siku Nchi hii itapigwa mnada, pigia mstari neno mnada. . Hotuba hii au Maneno haya ndio yaliyopelekea Ndugai kuondolewa kwenye nafasi yake ya Uspika kwa njia za kimafya. Hivyo msishangae mkiona mna Spika Chawa. Na hii inaonyesha muhimili wa Bunge haupo huru kama inavyosemwa…
Askofu Dr Frederick O Shoo. Tungekuwa na watumishi wa Mungu 10 tu kama Askofu Shoo, Tanzania ingekuwa sehemu Salama sana ya Kuishi.
Mungu akupe Maisha Marefu Askofu Dr Fredrick Shoo. Tungepata Viongozi wa Kiroho 10 kama Dr Shoo viongozi walaghai wangepungua katika Nchi yetu bahati mbaya tuliyonayo viongozi wengi wa Dini ni Chawa promax wanaibia Maskini sadaka wanajikomba kwa Serikali usiku na mchana.
Nawashukuruni sana Ndugu zangu wa Hai🙏🙏 tutasonga Kila Kijiji kila Kata tukikiandaa Chama chetu kuwaondoa hawa walanguzi wa CCM Madaraka. Wanauza na kubinafsisha Mali zenu kama Njugu na nyie Mmebaki kuteseka katika Nchi yenu hii siyo Sahihi hata kidogo.
Asanteni sana Ndugu zangu wa Nshara Hai. Kazi ndio imeanza tutasonga kila kijiji kila kata kukipanga Chama kuelekea Chaguzi zilizo mbele yetu.
*ASKOFU BAGONZA AMUONYA VIKALI MAKONDA* TUSICHONGANISHWE; TUSICHOKOZANE na TUSIKUFURU. Joto la chaguzi linapanda kila siku hapa nchini. Upo umuhimu wa wanasiasa na viongozi wa dini kujiepusha na UCHONGANISHI, UCHOKOZI na KUFURU. 1. Kusema Rais wetu anaupendelea mkoa fulani…
Tuendelee kuwakumbuka wenzetu wa Rufiji wanaopitia changamoto ya Mafuriko yaliyosababishwa na Serikali sikivu ya CCM.
Simba na Yanga zimeaga Mashindano ya CAF tofauti ni kwamba mmoja ameaga muda wa watoto kulala na mmoja ameaga wakati wa wakubwa.
Godbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherBoniface Jacob @ExMayorUbungo
451K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberMartin Maranja Masese @IAMartin_
502K Followers 2K Following MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum |Maria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,John Heche @HecheJohn
734K Followers 1K Following Member of chadema central committee. Former Member of Parliament ,Tarime rural constituency 2015- 2020.Hilda Newton @HildaNewton21
849K Followers 1K Following ●MWANDISHI WA HABARI, ●MWENYE KITI BAVICHA (M) TEMEKE, ●RAIS WA TANZANIA 2045.Twaha Mwaipaya @Twaha_Mwaipaya
286K Followers 4K Following Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) Prison graduate 133 days in jail.Mdude Chadema @mdudechadematz
123K Followers 389 Following I'm back from prison. MDUDE PEOPLE'S VOICE (MPV). An Activist For Democracy and Good Governance. Tanzanian🇹🇿.Freeman Mbowe @freemanmbowetz
630K Followers 498 Following Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA & Chairman for DUAPatrick John Assenga @PatrickJAssenga
67K Followers 2K Following Mwenyekiti CHADEMA Jimbo la Segerea | Mgombea Ubunge Rombo 2020 | Diwani Tabata 2015-2020 |Think Different @lifeofmshaba
420K Followers 3K Following #ChangeTanzania |#KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi | for activism contact via WhatssApp and Telegram +1 (862) 438-3337 |Personal Views| like Not upholding |Tito Magoti, PG @TitoMagoti
244K Followers 10K Following Bingwa. Attorney | Human rights | #NguvuMoja🦁CPA Catherine Ruge (M.. @CatherineRuge
155K Followers 2K Following UN -empower women champion for change. Secretary General for CHADEMA Women Wing . Former Member of Parliament of UR of Tanzania 2017-2020Kumbusho Dawson Kagin.. @KumbushoDawson
190K Followers 1K Following Democracy must be built through open societies which shares information. When there is information there is enlightenment.Jon Mrema @JonMrema
205K Followers 1K Following Chadema Director for Communications and Foreign Affairs .Zitto MwamiRuyagwa Ka.. @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWoteNTOBI @Ntobi_
66K Followers 3K Following Concerned Citizen || Ngokolo Ward Councilor 2015-2020 || Banker || Activist || UDSM Alumni || Chairman of CHADEMA Shinyanga Region || WhatsApp +255 715 956595sky president. @MgimbaFran90223
0 Followers 3 Followingpaschal phabian @paschal_ph29403
0 Followers 55 Followingnick23 @SimbeyeNico
33 Followers 235 FollowingAziz Pume @aziz_pume
0 Followers 70 FollowingKitende Gabriel @KitendeG49550
4 Followers 198 FollowingGodfrey Aimo @aimogodfre4644
3 Followers 87 FollowingEliyona Mbise @EliyonaM
0 Followers 99 FollowingNetho Philemon @NethoPhile96156
20 Followers 128 Followingpeter_S19jr 🎀 @petersenge19
38 Followers 252 Following 📚Inlighted person in admistrative, politics, administrative, planning, educational sphere from🏳️🌈godfrey kivumah @gkivumah
24 Followers 205 FollowingAlikushubira Richard @AlikushubiraR
12 Followers 80 FollowingProsper Malala @ProsperMal66059
6 Followers 48 FollowingMoses @Moses1186712
8 Followers 124 FollowingGS360 @GodfreySho73871
5 Followers 49 FollowingBen @ebd9b85bc5454cf
35 Followers 310 Followingmabibo @mabibo3
258 Followers 2K FollowingLuckyGeso @GesoLucky
30 Followers 220 FollowingPHIT @phit_2021
39 Followers 74 Following PHIT is a local registered NGO established in the year 2021 having an aim to Innovate, serve and sustain the welfare of the community. https://t.co/wauHWEColWDr Maribe @maribe_50
3K Followers 949 FollowingDeniss Lyimo @DenissLyim92129
79 Followers 307 FollowingKanaeljane @kanaeljane
161 Followers 291 FollowingMkanjima mkanjima Mka.. @MMkanjima33871
3 Followers 56 FollowingCharles @Shayo20Charlz
6 Followers 45 FollowingEvarist M. Magayane @m_magayane
23 Followers 193 FollowingRedson William @WilliamRed30119
0 Followers 15 FollowingBethu Mrema @EllyB7039
1 Followers 132 FollowingNestory Mtweve @NestoryyMtweve
44 Followers 253 FollowingDr. Alexander @giftedpond
172 Followers 449 FollowingJaphet Filbert @JaphetFM
26 Followers 390 FollowingDavid Ayubu Sima @David__Sima
2K Followers 4K Following Relationship | Counselor | Purity | Good NewsDUNCAN NDANSHAU @DNDANSHAU
9 Followers 17 FollowingHeavyD @HeavyD51551407
12 Followers 120 Followingoswald pascal @oswaldpasc35230
0 Followers 43 FollowingChally Yeye @ChallyYeye
19 Followers 180 FollowingWorld Builder company.. @W_B_Co
613 Followers 740 Following Malengo yako yapo kwetu, Jenga na sisi @W_B_Co WhatsApp +255676604357mkenga 1959 @1959Mkenga61206
5 Followers 110 FollowingGutta Reuben @ReubenGutta
25 Followers 379 Following Aiming to change the mindset of the World that Mathematics is tough, as a Mathematician and a Professional Teacher I'll make it possible! Maths is a mentalfood!haile ngowi @HaileNgowi24898
0 Followers 12 FollowingSixbert Mwakaluwa @SMwakaluwa
124 Followers 264 FollowingSaimon Moses @MosesSaimo1992
87 Followers 112 FollowingVedastus Lasway @VedastusLasway
1 Followers 24 FollowingSavage21 💴💴 @Kingjythedon
62 Followers 43 FollowingGodbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherBoniface Jacob @ExMayorUbungo
451K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberMartin Maranja Masese @IAMartin_
502K Followers 2K Following MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum |Maria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,John Heche @HecheJohn
734K Followers 1K Following Member of chadema central committee. Former Member of Parliament ,Tarime rural constituency 2015- 2020.Mfanyakazi Online Med.. @MfanyakaziNews
420K Followers 0 Following UKWELI NA UWAZI : : [email protected]Hilda Newton @HildaNewton21
849K Followers 1K Following ●MWANDISHI WA HABARI, ●MWENYE KITI BAVICHA (M) TEMEKE, ●RAIS WA TANZANIA 2045.Twaha Mwaipaya @Twaha_Mwaipaya
286K Followers 4K Following Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) Prison graduate 133 days in jail.John Pambalu @John_Pambalu
282K Followers 1K Following BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.fatma karume aka Shan.. @fatma_karume
1.1M Followers 601 Following Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fightMdude Chadema @mdudechadematz
123K Followers 389 Following I'm back from prison. MDUDE PEOPLE'S VOICE (MPV). An Activist For Democracy and Good Governance. Tanzanian🇹🇿.Ayubu Madenge @ayubu_madenge
306K Followers 2K Following Dad|Friend|Citizen|Humble servant of the peopleFreeman Mbowe @freemanmbowetz
630K Followers 498 Following Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA & Chairman for DUAJoseph Mbilinyi @TheRealJongwe
401K Followers 154 Following Businessman/Former Member of Parliament for Mbeya Urban Constituency/Central Committee Member - CHADEMA/Legendary African Hiphop ArtistPatrick John Assenga @PatrickJAssenga
67K Followers 2K Following Mwenyekiti CHADEMA Jimbo la Segerea | Mgombea Ubunge Rombo 2020 | Diwani Tabata 2015-2020 |Think Different @lifeofmshaba
420K Followers 3K Following #ChangeTanzania |#KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi | for activism contact via WhatssApp and Telegram +1 (862) 438-3337 |Personal Views| like Not upholding |Tito Magoti, PG @TitoMagoti
244K Followers 10K Following Bingwa. Attorney | Human rights | #NguvuMoja🦁Dr. Hamisi Kigwangall.. @HKigwangalla
1.2M Followers 661 Following #HK is a Member of Parliament for Nzega Rural. Former Minister for Natural Resources and Tourism. Former Deputy Minister for Health. Former Chair, TAMISEMI.The Chanzo @TheChanzo
63K Followers 155 Following We Are Bilingual Multimedia Storytellers Looking At The World From Ground Up. Una habari? WhatsApp/Telegram 0753815105Bassirou Diomaye Faye @PR_Diomaye
205K Followers 12 Following Président de la République du Sénégal 🇸🇳Tanzania Center For D.. @TCDemokrasia
21K Followers 188 Following Enhancing & deepening the culture of Multiparty Democracy in Tanzania through dialogue, Political Education & Mutual Consultation. #DemocracyInTanzaniaKizza @Sensotarimo2
106 Followers 152 FollowingDEUSDEDITH SOKA @DEUSDEDITHSOKA
17K Followers 2K Following Business Administration (BA) | Black Lives Matter | Musician | CEO Broadcast World |Activist | MGOMBEA UDIWANI KATA YA BUZA🙏https://t.co/njAsEuvkkjCRDB Bank PLC @CRDBBankPlc
68K Followers 26 Following Tumekuzingatia, tupo kurahisisha miamala yako na kukua pamoja. #tunakusikilizaGH Foundation @ghfoundationtz
21 Followers 21 Following GH Foundation is a youth-led non-government organization dedicated to combat Non Communicable Diseases (NCDs) and championing gender equality. +255 743 330373(---) Onesmo Mushi @EduTalkTz
21K Followers 1K Following EDUCATION | Social Justice | #SDGs 4 & 8 | Decolonizing | The PeopleMackphason מקפסו.. @mackphason
16K Followers 4K Following In perfect world everyone is blind | @ManUtd |@realmadriden | @blackYellow |@inter_en | @yangasc1935 |Spooky place 134M...Kolnerio Frances Odon.. @KolnerioO
6K Followers 764 FollowingBoniface Mwabukusi @Mwabuk2Boniface
18K Followers 2K Following Advocate | father | husband. HUMAN RIGHTS. Tanzania🇹🇿 Politics Review. Busokelo.Edwin Odemba @chiefodemba
20K Followers 229 Following MTANGAZAJI WA TAIFA. Host MEDANI ZA SIASA, Udsm Alumnus, LUO ICON, CEO. CHIEF ODEMBA ENTERPRISES LTD.Salim Kikeke @Salym
1.0M Followers 524 Following Award-winning Radio & TV Presenter | Freelance Journalist | Former BBC | 🇹🇿🇬🇧 **Tweets in English & Swahili** #VisitTanzaniaNtele Bh @ntele_bh
3K Followers 2K Following Kiongozi Asiyekuwa na Cheo | Youth advocate | UDSM Alumni | Human right defender| Chelsea fanDaruso Mlimani @darusoudsm
2K Followers 10 Following This is the official account for Dar es Salaam University Students' OrganisationBavicha Queens @BavichaQueens
8K Followers 106 Following CHADEMAQueens Official Account #VVVIPQueens @Chadematz #KatibaMpyaNiLazima𝐏𝐫𝐨𝐟 𝐔.. @profutajuahujui
741 Followers 75 Following 𝐀𝐜𝐭𝐢𝐯𝐢𝐬𝐭 | 𝐅𝐨𝐥𝐥𝐨𝐰 𝐈𝐧𝐬𝐭𝐚𝐠𝐫𝐚𝐦 👉 https://t.co/b79qjw61zh | 𝐅𝐚𝐜𝐞𝐛𝐨𝐨𝐤❌MUNISHI FAUSTIN STEVE.. @munishiofficial
5K Followers 951 FollowingTogolani Mavura @tonytogolani
256K Followers 2K Following Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake! To Each, According to Own Gifts, Own Abilities and Own DestinySharifaSuleiman @SharifaSul
8K Followers 187 Following Kaimu Mwenyekiti BAWACHA Taifa| Makamu Mwenyekiti BAVICHA -Zanzibar 2009-2014zuhura yunus @venusnyota
235K Followers 481 Following Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais -Ikulu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania/Director of Presidential Communications @SuluhuSamia, President of Tanzania.James Tupatupa @jamestupatupa_
23K Followers 77 Following Media Personality (CMG) ||Football Coach, Pundit ||MC ||An Arsenal Fan.Godlove Mwakibete @chiefgodlove_
22K Followers 0 Following Influencer, Financial services, Psychology, Marketing strategy, Social digital marketingIssa Shivji @IssaShivji
164K Followers 67 Following Professor Emeritus of Public Law & First Julius Nyerere University Prof, Uni of Dar es Salaam. THE ART OF KNOWING IS KNOWING WHAT TO IGNORE -RumiNipashe Tanzania @Nipashetz
205K Followers 5 Following The Guardian Ltd Home of Great Newspapers Mikocheni Light Industrial Area P.O. Box 31042 Dar es salaam Tel:+255 745 700 710 [email protected]Tanganyika Law Societ.. @TanganyikaLaw
70K Followers 571 Following TLS is a membership organization that represents Advocates in Tanzania Mainland. TLS is constituted through Tanganyika Law Society Act CAP 307 R.E. 2002.SikilizaTogolani @SikilizaTogolan
54K Followers 0 Following Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake!Vicensia Shule @vicensiashule
19K Followers 618 Following Disclaimer: Parody account with fictitious and/or false content purely for entertainment and amusement 🤩 You may visit @ViJoShule for serious info & content✊🏿MalisaGJ @MalisaGJ_
22K Followers 61 Following Award winning Philanthropist || SBC Specialist || Human Rights Activist || Simba SC Die Hard FanErick Kabendera @kabsjourno
36K Followers 2K Following Researching Transitional Justice & the ICC @KingsCollegeLon. Formerly #EIU & #TheEastAfricanJenerali Ulimwengu @raiyajenerali
29K Followers 124 Following Official Twitter Page for Rai ya Jenerali Juzuu III, by Jenerali Ulimwengu. Launch Date - 6 Aug| Tweets are my own personal opinions| @jeneralionline hackedSusan Limbweni KIWANG.. @Susan_Kiwanga
7K Followers 152 Following Christ is my above all things | MP of the URT (2015-2020) Mlimba Constituency | Former Special Seats MP (2010-2015) CHADEMA | #UhuruHakiNaMaendeleoyaWatuShekh Ponda Issa Pond.. @SheikhPonda
19K Followers 234 FollowingYosepher F Komba @yosepherfkomba
24K Followers 233 Following Former Tanzania Member of Parliament,Special Seat Tanga.Majizzo @officialmajizzo
16K Followers 23 Following Founder & CEO - @EfmTanzania | #TVE #MuzikiUnaongeaTFF TANZANIA @Tanfootball
855K Followers 173 Following Official Twitter account of the Tanzania Football Federation. Founded in 1930 and affiliated to FIFA in 1964.Shaffih Dauda @shaffihdauda1
892K Followers 923 Following Head of Programs at @CloudsMediaLive | Sports Analyst at CLOUDSFM Radio and CLOUDS TV | Tweets are my ownJokate Mwegelo @jokateM
1.2M Followers 1K Following Visionary | Leader | Former District Commissioner - UR Tanzania, President’s Office | Secretary General Youth Wing @ccm_tanzania member of @clubdemadridEng. Pamela Maassay @Ladymaassay
3K Followers 1K Following A member of Parliament East African Community %Qualified Food Safety /Quality ^%Management Systems Auditor/Public Health Specialist. Engineer in Food and BiochDeogratias Mahinyila @AdvMahinyila
5K Followers 622 Following Advocate of High Court| Notary Public and Commissioner for Oaths.#JoinTheChain @JoeSmithsone
3K Followers 828 Following TANZANIA 🇹🇿 #KataaTozo #Katibampya #newConstitution #NoToDpWorld #KatibaMpyaSasa #StopMasaiEviction #mwenyenchiwananchiHuyu Bibi ameshajitokeza tayari kwa kuandamana huko mkoani MWANZA alafu utakuta kuna kijana amemaliza chuo ni mwaka wa tano yupo nyumbani hajapata ajira, alafu hajajitokeza kudai haki yake kwa njia ya MAANDAMANO.
Ni Tanzania pekee Askari anaweza kutoka Dar es salaam hadi Kidia, Moshi Vijijini (Kilimanjaro) Karibia KM 600 kwenda kupekua Uchochezi au taarifa za Uongo. Kuna jina lingine zuri la kuuita huu ujinga zaidi ya UPUMBAVU?
Shukran sanaa Mawakili wote @PMadeleka
Nimetaarifa na Wakili Msomi HEKIMA MWASIPU kwamba muda huu, @ExMayorUbungo na @MalisaGJ_ WAMEPEWA DHAMANA.
Hatimaye @ExMayorUbungo na @MalisaGJ_ wameachiwa Kwa dhamana na Jeshi la Polisi-Leo jumamosi April,27.....Wamemchelewesha @ExMayorUbungo kwenda kuandamana tuu!
Boniface Jacob na Godlisten Malisa wameachiwa kwa dhamana ya polisi katika kituo kikuu cha polisi kati (central police DSM) walipokuwa wakishikiliwa kwa zaidi ya saa 40 kwa tuhuma za uchochezi na kuzua taharuki kwa jamii dhidi ya Jeshi polisi. Polisi ndiyo walalamikaji.
Update Baada ya Utaratibu wa kutoa Maelezo kukamilika na wadhamini kuwasilisha Barua za Dhamana kwa mujibu wa utaratibu. Polisi wamekataa kutoa dhamana Muda huu, Ndugu zetu wanarudishwa lockup kwa Mara nyingine tena. Justice for @MalisaGJ_ and @ExMayorUbungo tunaondoka hapa…
NCHI HII KUBWA: Bora Taharuki kuliko Mauaji. ANAANDIKA BABA ASKOFU BENSON BAGONZA Sifa moja muhimu ya kiongozi ni kufanya maamuzi yenye maslahi mapana kwa jamii. Nyumba inapoungua moto, ni bora kuokoa hata godoro moja kuliko kuua panya wanaokimbia moto unaounguza nyumba.…
TAARIFA KWA UMMA..! Jana Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam ofisi za ZCO na RCO Kinondoni walifika nyumbani kwangu saa 7:30 usiku. Baada ya kukaa muda mrefu nje ya geti, mwisho waliacha ujumbe kwamba nifike kituo cha polisi Oysterbay (Mkoa wa Kinondoni.) leo asubuhi.…
Unamnyima mtuhumiwa dhamana katika kesi ambayo sheria imetoa dhamana kwa kuwa hajawasilisha simu yake? Simu ni mali yake halali, hataki kuwasilisha, kaombe idhini mahakamani. Unasema utampa dhamana ikiwa tu watawasilisha simu zao. Kwanini? Masharti hayo yameelezwa katika sheria…
Tuna taarifiwa kuwa @tanpol wanawashikilia @ExMayorUbungo na @MalisaGJ_ na wameenda kuwafanyia upekuzi nyumbani kwao! Kama walitoa taarifa za watu kupotezwa ,Sasa mnapoenda kuwapekua majumbani mnaenda kuwatafuta hao waliopotezwa? Imenikumbusha Lisu na kupimwa mkojo Kwa uchochezi!
ANAANDIKA WAKILI DICKSON MATATA Napenda kuutaarifu umma kuwa wateja wetu Malisa GJ na Boniface Jacob bado wako mikononi mwa jeshi la Polisi kufuatia kuitikia wito wa kuhojiwa. Kufuatia hilo, polisi wanahitaji kwenda nyumbani kwa kila mmoja wao kwa ajili ya upekuzi. Katika…
Ni bahati mbaya sana hatuna chombo cha kulichunguza jeshi la polisi zaidi ya polisi yenyewe. Taarifa zilizoibuliwa na @ExMayorUbungo na @MalisaGJ_ zilipaswa kutumiwa na chombo kingine kuichunguza polisi, lkn badala yake polisi wamewakamata watoa taarifa. Safari ya haki ni ndefu!
Kitendo cha @tanpol KUSHINDWA kutoa DHAMANA kwa @ExMayorUbungo na @MalisaGJ_ ni FEDHEHA kwa UTAWALA WA SHERIA kwa sababu “MAKOSA” yanayowakabili yana DHAMANA kwa mujibu wa SHERIA. Mbona yule KIJANA wa UVCCM kule KAGERA ANAYEPOTEZA WATU HAJAKAMATWA?
Kuwazuia @ExMayorUbungo na @MalisaGJ_ ni matumizi mabaya ya dhamana na Madaraka. Hakuna kosa lolote wala uzushi walio ufanya na yote waliyosema yako bayana .Ni jukumu la kila Mtanzania kupigia kelele dhuluma hii. Is 4R timidity?
Nimefahamishwa na Wakili Mwasipu: Polisi wanakwenda kupekua nyumbani kwa @ExMayorUbungo na Kilimanjaro kwa @MalisaGJ_. Kwamba hawatapewa dhamana hadi simu zao zipatikane. Wanashikiliwa Central DSM kwa 'kosa' la uchochezi na taharuki. Hawa ndio polisi wetu. Lakini tutashinda.
Wiki ya Maandamano imeanza Leo Mkoani Kagera na Hali Iko hivi ! KAGERA imeitwa ,ikaitika !
Kwenye hili suala la MAADILI naomba NIMTETEE ndugu PAUL MAKONDA. Kwani wakati ANATEULIWA kuwa Mkuu wa Mkoa, CCM ilikuwa HAIJUI kuhusu MAADILI ya MAKONDA? Naomba kwenye suala hili la MAADILI, tafadhali, MAKONDA ASIONEWE😂😂
Tulitembelea kiwanda cha vinywaji cha Hill kilichopo Mapiga - Bagamoyo. Tulijionea mchakato wa kuandaa maji ya Hill unavyoanza kwa kuchimba maji chini ya ardhi, kusafisha, kuyamimina na kuyafungia kwenye chupa. Hakuna mkono wa mtu, ni mashine tu. Usafi na usalama wa hali ya juu.