Peter Madeleka @PMadeleka
Chief Legal Counsel at Stalwart Law Chambers Tabora, Tanzania Joined April 2021-
Tweets9K
-
Followers94K
-
Following6K
-
Likes4K
“AJIRA ZA MKATABA” kwa baadhi ya WATENDAJI wa MAHAKAMA, kunaongeza MASHAKA juu ya UHURU WA MAHAKAMA.
Kuna “MAHAKAMA HURU” na “TUME HURU”. Sasa kinachohitajika ni “HAKI HURU”😂😂
Nimetaarifa na Wakili Msomi HEKIMA MWASIPU kwamba muda huu, @ExMayorUbungo na @MalisaGJ_ WAMEPEWA DHAMANA.
Biashara ya NYAMA za Binadamu kwa kawaida hufanywa na WACHAWI. Kwa siku za hivi karibuni WATU wamekuwa “WAKIPOTEZWA” na KUULIWA kinyume cha SHERIA. Nadhani, UCHAWI kwa sasa UMERUHUSIWA. Kijana JAMES WILLIAM SIJE hajulikani alipo tangu mwaka 2021.
Mwandishi wa Habari, ERICK KABENDERA ameitaka Kampuni ya Simu ya VODACOM TANZANIA kumlipa USD 1,000,000 MILIONI ndani ya SIKU 14 kwa KUFANIKISHA KUTEKWA KWAKE mwaka 2019. Amefanya hivyo kupitia kwa WAKILI wake PETER MADELEKA.
Kuna KESI inaendelea MAHAKAMANI huko MTWARA kuhusu POLISI 7 KUUWA MTU. Sasa, “UONGO” wa @ExMayorUbungo na @MalisaGJ_ UKO WAPI HAPO?. Hebu @tanpol ACHENI KUONEA WATU. Mkitaka TUTAWAKUMBUSHA KESI YA ZOMBE.
Kuendelea kuwa na TUME YA HAKI JINAI wakati kimsingi, HAKUNA HAKI JINAI yoyote, ni KUPOTEZA FEDHA za WANANCHI.
Mkoa wa DAR ES SALAAM umejaa AMANI na Wananchi wake wapo “SALAMA SANA”. Katika MAZINGIRA hayo, ni KICHAA pekee ndiyo anaweza KUAMINI kwamba MOCHWARI ya Hospitali ya Wilaya ya Ilala, AMANA ilikuwa “IMEJAA” wakati HAKUNA MAUAJI YA HALAIKI yaliyoripotiwa.
Moja kati ya mambo muhimu ambayo MAHAKAMA itahitaji kuyafahamu, iwapo @ExMayorUbungo na @MalisaGJ_ watafikishhwa mbele yake, ni haya; 1. Ni JAMII gani iliyopata TAHARUKI? 2. Ni TAHARUKI gani ambayo JAMII ilipata?
Hakuna SHERIA yoyote ya Tanzania inayotoa MAMLAKA kwa @tanpol KUZURULA na MTUHUMIWA kwa KISINGIZIO chochote, iwe ni “UPEKUZI” au vinginevyo. MTUHUMIWA akishakamatwa anatakiwa AKAE MAHABUSU au APEWE DHAMANA. Ni KOSA KISHERIA KUZURULA na MTUHUMIWA.
Kitendo cha @tanpol KUSHINDWA kutoa DHAMANA kwa @ExMayorUbungo na @MalisaGJ_ ni FEDHEHA kwa UTAWALA WA SHERIA kwa sababu “MAKOSA” yanayowakabili yana DHAMANA kwa mujibu wa SHERIA. Mbona yule KIJANA wa UVCCM kule KAGERA ANAYEPOTEZA WATU HAJAKAMATWA?
Inawezekana RAIS wetu akawa ndiye TAJIRI ZAIDI kuliko MARAIS WOTE DUNIANI. Anatoa FEDHA kwenye MIRADI MINGI. Tunao wajibu wa KUITUNZA MIRADI hiyo ili KUMUENZI🙏🏻🙏🏻
Ndani ya MIAKA 60 ya MUUNGANO, “AMANI” na “USALAMA” wa BEN SAANANE na AZORY GWANDA, HAUPO. Familia zao bado zinaendelea KUADHIMISHA MISIBA ambayo haina UKOMO @SuluhuSamia
“Hata MBUYU ulianza kama MCHICHA”. Damu za watu zinazoendelea KUMWAGIKA kinyume cha SHERIA ni LAANA na MKOSI kwa taifa letu.
Godbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherMaria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Boniface Jacob @ExMayorUbungo
451K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberMartin Maranja Masese @IAMartin_
502K Followers 2K Following MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum |Hilda Newton @HildaNewton21
849K Followers 1K Following ●MWANDISHI WA HABARI, ●MWENYE KITI BAVICHA (M) TEMEKE, ●RAIS WA TANZANIA 2045.John Heche @HecheJohn
734K Followers 1K Following Member of chadema central committee. Former Member of Parliament ,Tarime rural constituency 2015- 2020.fatma karume aka Shan.. @fatma_karume
1.1M Followers 601 Following Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fightTwaha Mwaipaya @Twaha_Mwaipaya
286K Followers 4K Following Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) Prison graduate 133 days in jail.John Pambalu @John_Pambalu
282K Followers 1K Following BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.Mdude Chadema @mdudechadematz
123K Followers 389 Following I'm back from prison. MDUDE PEOPLE'S VOICE (MPV). An Activist For Democracy and Good Governance. Tanzanian🇹🇿.Think Different @lifeofmshaba
420K Followers 3K Following #ChangeTanzania |#KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi | for activism contact via WhatssApp and Telegram +1 (862) 438-3337 |Personal Views| like Not upholding |Freeman Mbowe @freemanmbowetz
630K Followers 498 Following Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA & Chairman for DUADr. Hamisi Kigwangall.. @HKigwangalla
1.2M Followers 661 Following #HK is a Member of Parliament for Nzega Rural. Former Minister for Natural Resources and Tourism. Former Deputy Minister for Health. Former Chair, TAMISEMI.Tito Magoti, PG @TitoMagoti
244K Followers 10K Following Bingwa. Attorney | Human rights | #NguvuMoja🦁Patrick John Assenga @PatrickJAssenga
67K Followers 2K Following Mwenyekiti CHADEMA Jimbo la Segerea | Mgombea Ubunge Rombo 2020 | Diwani Tabata 2015-2020 |Zitto MwamiRuyagwa Ka.. @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWoteMoyo wa TAIFA ™️ @bajabiri
408K Followers 41K Following 💥BA,MA-IDS,UDSM| 💥Street SOUL|JUST FIT STORES' BRAND AMBASSADOR & Marketing Manager|M/kiti Chama Cha Wanafki 😀Kumbusho Dawson Kagin.. @KumbushoDawson
190K Followers 1K Following Democracy must be built through open societies which shares information. When there is information there is enlightenment.CPA Catherine Ruge (M.. @CatherineRuge
155K Followers 2K Following UN -empower women champion for change. Secretary General for CHADEMA Women Wing . Former Member of Parliament of UR of Tanzania 2017-2020Mchokozi !! @OleMtetezi
353K Followers 686 Following Mwenyekiti Wa Umoja Wa Kizazi Cha Kuhoji Twita//Trust Me Iam Everything Ur Notglory @gee4808
2K Followers 1K FollowingMhappa Crithony jr @MhappaJ95577
241 Followers 1K FollowingMwanyemi Nickson @MwanyemiN14152
0 Followers 12 FollowingAfritanza Attorneys @afritanza
27 Followers 37 Following ATA is a law firm registered in Tz. As a fully-fledged law firm, we specialize in Corporate Law | Conveyance | Tax Law | Probate | Human rights lawsKitende Gabriel @KitendeG49550
4 Followers 199 Followingjamar @jamar2961
1K Followers 917 Following 🇹🇿 son||brother||dady @manchesterunited & @yanga fan ✊ hustlerOliva Divvier @divvier51944
0 Followers 39 Followingangelo Paga @paga1230
2 Followers 81 FollowingSabina Luoga @SabinaL0208
1 Followers 21 Followinggodfrey kivumah @gkivumah
24 Followers 205 FollowingDenis Ernest 3.7🗨 @DenisErnestz1
1K Followers 967 Following || Finance || Tax ||Accounting || CPA Cand || Marketing Strategist || Results Oriented Business Developer I tweet and Retweet to Communicate🌍. Philippians 4:13Mackson Boneka @MaxMebos
144 Followers 2K Following Health Care Provider| Assistant Researcher| Counselor| Health Educator|Dioniz Ngussa @DionizN99330
1 Followers 52 FollowingHand Fix @Handfixtz
0 Followers 19 FollowingIsaac Masele @isaac_masele
0 Followers 20 Followinglidya masanjalaRN @lidyanoel64
35 Followers 158 Following The Aga Khan University Alumni|Muhas|Nursing officer,Emergency room NurseFUTA~ 😎 @Abou61303859
342 Followers 855 FollowingOness Lyimo @LyimoOness18334
8 Followers 116 FollowingHANBAL @HANBALNAHYAN
13 Followers 74 FollowingDERRICK PAMBA @PambaDerrick
308 Followers 789 FollowingSuleiman Sarota @SarotaSuleiman
1 Followers 58 FollowingOne off @OneOff_Tz
2K Followers 1K FollowingMental health 🧠 @GervazGisera
125 Followers 619 Following Only God is perfect\\Bachelor of Education in Guidance and Counseling \\UDOM\\ Simba sc fan\\ Psychology for Healing.JS @JS3266760379666
1 Followers 68 FollowingJuma Juma @jjuma3276
14 Followers 128 FollowingHalidi Hasani @HassaHali43397
70 Followers 362 FollowingGwanggaeto The King @GwanggaetoK
14 Followers 197 FollowingRashid Kachaa @RKachaa37740
2 Followers 167 FollowingDr. KASAWE.Mmed @TheMaskjr01
1K Followers 1K Following God First 📍 SSC fan 💮 📍Live Like You Will Die Tomorrow|| Use Food As Medicine. |words spoken cannot be unspoken| ONDOA TUMAINI KWA WATU KWANI WANABADILIKA.🎭mkwamidzi @mgayaizack191
421 Followers 412 Followingijumaa. @HIjumaa11517
1 Followers 78 Followingmkushifurniture @Mrfurniture007
3 Followers 114 Following Kalibu mkushi furniture ujipatie furniture za aina zote pia tunafanya repair za furniture aina zote Loc:mbezi mwisho msigani Mob:0657834555pishon stephano @StephanoPi45039
2 Followers 194 FollowingAugustine Tizolekeza @ATizolekeza
61 Followers 337 FollowingHarrison Mwanry @MwanryHarrison
33 Followers 129 FollowingGodbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherMaria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Boniface Jacob @ExMayorUbungo
451K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberMartin Maranja Masese @IAMartin_
502K Followers 2K Following MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum |Hilda Newton @HildaNewton21
849K Followers 1K Following ●MWANDISHI WA HABARI, ●MWENYE KITI BAVICHA (M) TEMEKE, ●RAIS WA TANZANIA 2045.John Heche @HecheJohn
734K Followers 1K Following Member of chadema central committee. Former Member of Parliament ,Tarime rural constituency 2015- 2020.fatma karume aka Shan.. @fatma_karume
1.1M Followers 601 Following Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fightTwaha Mwaipaya @Twaha_Mwaipaya
286K Followers 4K Following Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) Prison graduate 133 days in jail.John Pambalu @John_Pambalu
282K Followers 1K Following BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.Mdude Chadema @mdudechadematz
123K Followers 389 Following I'm back from prison. MDUDE PEOPLE'S VOICE (MPV). An Activist For Democracy and Good Governance. Tanzanian🇹🇿.Think Different @lifeofmshaba
420K Followers 3K Following #ChangeTanzania |#KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi | for activism contact via WhatssApp and Telegram +1 (862) 438-3337 |Personal Views| like Not upholding |Masoud Kipanya @masoudkipanya
2.0M Followers 74K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - CEO/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - IndustrialistFreeman Mbowe @freemanmbowetz
630K Followers 498 Following Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA & Chairman for DUAJoseph Mbilinyi @TheRealJongwe
401K Followers 154 Following Businessman/Former Member of Parliament for Mbeya Urban Constituency/Central Committee Member - CHADEMA/Legendary African Hiphop ArtistDr. Hamisi Kigwangall.. @HKigwangalla
1.2M Followers 661 Following #HK is a Member of Parliament for Nzega Rural. Former Minister for Natural Resources and Tourism. Former Deputy Minister for Health. Former Chair, TAMISEMI.Tito Magoti, PG @TitoMagoti
244K Followers 10K Following Bingwa. Attorney | Human rights | #NguvuMoja🦁Patrick John Assenga @PatrickJAssenga
67K Followers 2K Following Mwenyekiti CHADEMA Jimbo la Segerea | Mgombea Ubunge Rombo 2020 | Diwani Tabata 2015-2020 |Jebra Kambole @Advocate_Jebra
335K Followers 299 Following Law Guards Advocates, Criminal, Corporate and Civil Litigation lawyer. Togo Tower, kinondoni Business Only Call +255748334032Zitto MwamiRuyagwa Ka.. @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWoteTundu Antiphas Lissu @TunduALissu
742K Followers 307 Following Tanzania 🇹🇿 Presidential Candidate 2020 for @chadematz | Former President of the Tanganyika Law Society | Parliamentarian | Political Leader | Survivorchalkboard teacher @justyfromNorth
593 Followers 1K FollowingMallessa's luxury Gei.. @mallessa01
321 Followers 158 Following safari za kila siku kwenye rout ya DSM-GEITA 📞Mbezi 0674460933 📞Shekilango.0654788327 📞Magomeni 0654788327 📞Geita +255615571539 📞MD 0692600123Randus @Randusrajup
399 Followers 982 Following For the good of me, for the good of the people around the world let think not only to think but let do it critically and sink.Haki Huinua Taifa @papajomupapajo1
346 Followers 736 FollowingAbdulkarim Mhandeni @Amhandeni
429 Followers 2K Following |Translator(English-Swahili)|Language teaching|Semiotics/Intersemiotic Translation|Ecotranslation|Multimodality|Culture|Critical thinking|Language & Gender|Tume Huru ya Taifa ya.. @TumeUchaguziTZ
37K Followers 20 Following Kusimamia na Kuratibu Uendeshaji wa chaguzi kwa mujibu wa Sheria ili kulinda demokrasia kwa manufaa ya wananchi, vyama vya siasa na wagombea.Lumola Steven Kahumbi @Lumola_Steven
5K Followers 632 Following ENG/PMP/CMA/SCS/MCS & PBI 🛠️ I'm an Engineer with a passion for project management and Data analysis. Holder of PMP, CMA, SCS MCS & Power BI certifications.Hussein M Bashe @HusseinBashe
542K Followers 349 Following Minister, Ministry for Agriculture | MP - Nzega Urban Constituency | Farmer | Politician #TanzaniaKwanzaSOBER HOUSE TANZANIA .. @hajikassimu681
102 Followers 262 Following SOBER HOUSE FAMILY WE HATE DRUG ABUSE 😒 ALCOHOL ,HEROINE ,AND MARIJUANA IS DANGEROUS .festo gervas @FestoObeid22044
46 Followers 296 FollowingⓂⓒⓁⓔⓞⓝⓐ.. @mclenny2006
1K Followers 5K Following | PhDc| Intreprenuer/ESAMI & MsM Alumni/ MBA in General Management. Tactical Football Analyst trained by FC Barcelona Hub.Ikumoinein Woyengikur.. @KuroPk
1K Followers 2K Following Agricultural & Environmental Scientist 🌍 | Passionate about Agro-Environmental Research 🌾 | Expert in Nutrient Management 🌿 | Hydroponics Enthusiast 💧Free Movies Delivery @latariico
28K Followers 2K Following Tunadeliver Movies & Series | Tunainstall Windows OS, Antivirus, etc kwa bei poa | Delivery ni BURE | Karibu sana. 📱0736336245Juliways @juliways
2K Followers 6K Following Daily dose of Lifestyles and DIY's Videos blog for you TIKTOK: https://t.co/Z9eQ3GEYUk FB PAGE: https://t.co/vDjEDs8fzY片平真樹(MASAKI K.. @masa_8888888888
956 Followers 5K Following SQUADRON ASIA PACIFIC FIRST VICE PRESIDENT Metabus Economy laboratory Capital Founder https://t.co/2tS77x8a0fAbsalom Kibanda @absakibanda
62K Followers 5K Following Author, Communication Strategist, Editor, Analyst, Media Personality, Political & Leadership Consultant, Columnist & Former Chair Tanzania Editors' Forum.DonTheBos 🇹🇿 @Binance_Tz
1K Followers 3K Following #Ambassador//Affiliate//Educator, #Bitcoin Mining,Gain BTC Everyday, Register #Binance⬇️Get Rewards $100. https://t.co/Lz9M23pY6KMwanzoTV @MwanzoTv
49K Followers 274 Following @MwanzoTv, The Official Twitter Feed of Premier News Source with Top Stories and Special Features about East African Region. Uncensored & Undaunted.SAIS The North Africa.. @NAI_SAIS
1K Followers 5K Following The North Africa Initiative (NAI) is dedicated to enhancing scholarship on the political economies, and internal dynamics in North AfricaGilbert Guillamot @gilbertguillam1
729 Followers 2K Following Ingénieur agro*chimiste-Agroparistech et ParisXI - Directeur des transitions Missions Internationales - Correspondant SAP Directions Industrielles unit SEVESO 3Grace Patricia Kabogo @kabogotrisha
581 Followers 476 Following Multimedia Journalist @DeutscheWelle | Member of the @FPA_Africa |🌴anzanian 🇹🇿Asádi Ezrã Gōzdē�.. @AsadiIam
7K Followers 2K Following An Architect and Modern Interior Designer, https://t.co/wizUArTj5a https://t.co/5ffqIsRnUHEdwin F.M @EdwinMjeru
3K Followers 1K Following EM Scholar 🇹🇿🇫🇷 ||Author || Business Storytelling Coach || I help YOU to create STORIES that convert your ideal clients using S-T-O-R-I-F-Y FRAMEWORKBeatus Kundi @BeatusKundi
198 Followers 1K Following Professional Mechanical Engineer and Management ConsultantAna Paula Oliveira @anaaholiveira2
2K Followers 2K Followingmastacaptain @JohnPau10227488
551 Followers 591 Following Founder&ceo-@jodecliquorpoint|enterpreneur |desgner|Businessman|capenter|contentcreator|jodec liquor founder| https://t.co/umXdQKspTEPotin David Pello @PDPTz
415 Followers 385 Following Farmer who deeply love one job, which is the easiest job to love, and the hardest job to quit. Know what? Farming / Agriculture have the deepest passion in me!MwanzoTvPlus @MwanzoTvPlus
111K Followers 213 Following Independent Online Media serving East Africa with premier news - Uncensored and UndauntedRichard Mahumbi @Mahumbirich
1 Followers 61 FollowingNshimimana @asungwile
190 Followers 319 FollowingMo Abu @Moh_visionary
70 Followers 115 Following I have no education. I have inspiration. Reviewing school of leadership, Philosophy and Theory.TADAMU AANG' 🫶 @olewapii
6K Followers 5K Following BE YOURSELF Don't pretend to be someone's else while you can't be.G_MaDeVu @G_madevu
120 Followers 346 Following Sports Soccer NBA Music News Pop Hip-Hop/Rap LifestyleMoyo wa TAIFA ™️ @bajabiri
408K Followers 41K Following 💥BA,MA-IDS,UDSM| 💥Street SOUL|JUST FIT STORES' BRAND AMBASSADOR & Marketing Manager|M/kiti Chama Cha Wanafki 😀gervas optaty @optaty_gervas
198 Followers 818 Following Pan-Africanist | Industrialist | Listerner | Visionery My self small world....greater than the world itself....😊Herode the 3rd. @HeradiKj
784 Followers 754 Following Loyal Father to Grace&Vaileth|Human Rights Defender| Simba SC & Chelsea FC FanAlikuwa ni mtaalamu kwenye maswala ya anga jeshini. Akiwa amehudumu kama mkufunzj kwenye chuo cha jeshi cha anga. Pia akiwa kama makamu kamanda wa jeshi la anga nchini mwake. Isingewezekana apande helicopter mbovu.
@PMadeleka Kwani kaka shida si ilikuwa jina au kuna kingine?😂😂
@PMadeleka Hivi kama mama yangu ni mtz aknizaa Kenya nikakulia Tanzania baba yangu simjui Mimi ni raia wa wapi
@PMadeleka Piga kwenye kichwa bado anahema 🤣🤣🤣
#TANZANIA: "Watu wote waliokuwa wakitoa maoni tofauti na yale Serikali ilikuwa inataka, kama hawakupewa kesi ya uhaini basi walipelekwa gerezani na kama hawakupelekwa gerezani waliitwa ni wapotoshaji, Viongozi wa dini TEC walitoa mawazo yao wakaishia kuzodolewa na hata juzi…
🤣🤣🤣
Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyoketi Dar Es Salaam kuanzia tarehe 23 Novemba 1981 hadi 7 Disemba 1981, ilipitisha MUONGOZO WA CHAMA 1981. Ibara ya 58 ya MUONGOZO huo inasema KUJIKOSOA na KUKOSOANA ni SILAHA YA MAPINDUZI. Siku hizi ni KUSIFIANA tu.
@ayubu_madenge Alihusika kujenga Uhuru wa watu na vitu katika utawala wake Tanzania ilizinduka kutoka nchi ya Mizimu na Vibwengo hadi kuwa nchi ya wanadamu, Aliondoa kamanyora na suti za kaki na mawaziri wake kununua Suti London huku yeye akiwambia watanzania Ruksaaa
Leo jioni saa moja 19:00 na @fatma_karume @PMadeleka @Chahali @MediaNadj tube in #YangavsFeitoto #Yanga #mpira #Feitoto #MigogoroyaMichezo
Leo jioni kupitia NADJ MEDIA CENTRE ya UJERUMANI, tutazungumzia vyombo viwili vya USULUHISHI WA MIGOGORO YA MICHEZO yaani: 1. The International Council of Arbitration for Sports (ICAS) 2.The Court of Arbitration for Sports (CAS) Na CODE OF SPORTS-RELATED ARBITRATION OF 2020
@PMadeleka Katika Watu Waliowahi Kufiwa Na Magufuli Huyu Ni Mmoja Wao. Alikuwa Kama Mke Mdogo Wa Magufuli
@PMadeleka @Udadisi Hakika mkuu🙏🏼🙏🏼 JINSIA SIO KIGEZO.
@PMadeleka Nakumbuka kwenye kesi ya kutunga ya Mhe. Mbowe na wenzake alisema wanatoka asubuhi wanashinda na njaa na wakirudi gerezani muda wa kula umepita. Hii nchi wafungwa wanapitia magumu sana kuliko tunavyowaza wala kudhania. #KatibaMpya
@PMadeleka There is no point in this cherry picking myopia! The Task Force should have conducted open town hall public meetings to solicit views from a wide spectrum of the “wananchi “! Why select individuals they could have met TLS, and all professional association including labour unions
@PMadeleka @Udadisi Kaka kuna watu ni vilaza sana, wanaumizwa lakini hawaoni kama wanaumia. Kuna mambo sio ya kijinsia, ni mambo nyeti kabisa. Weredi, Utashi na dhamira ndio mambo yanafanya mtu kuwekwa katika hatua fulani ya maamuzi na sio jinsia, dini, kabila, rangi, n.k
@PMadeleka @Udadisi Hajibu ng'oooo. 🤣🤣🤣🤣🤣 Akitutajia Ibara iliyobeba moyo, sie tutamtajia iliyobeba Kichwa🤷♂️🤡
@PMadeleka @Udadisi Ukimuelimisha mtu ukaona anashupaza shingo unamwacha aendelee kujipoteza maana mjinga huelimishwa ila mbishi, haishi kubishana. The law is clear on the requirements for one to be appointed a judge of the high court.
polisi ni fedheha kubwa katika msitakabali wa haki Tanzania, hiki ni kitendo cha fedheha,PERIOD!
MAHABUSU na WAFUNGWA waliopo GEREZA LA SEGEREA kwa KESI ZA KUBAMBIKIWA, watakuwa WAMEFEDHEHESHWA sana na TUKIO hili. Nasema hivi, kutokana na UZOEFU nilionao kwa KUISHI kwenye GEREZA hilo. Pia KESI za KUBAMBIKIZA 1840 ZILIZOFUTWA ni USHAHIDI tosha wa hili.
mboga mboga ifike mahali waone aibu dhidi ya type hizi na akuwatenga hadharani Kwa mambo ya hovyo na ukatili wao dhidi ya Raia waliofanya,
Kusema ukweli, UCHAGUZI MKUU WA 2020 ulikuwa ni wa KIPEKEE sana na itachukua MUDA MREFU sana KUSAHAULIKA. Hapa kwenye PICHA hii lipo JAMBO MUHIMU sana la KUJIFUNZA.