Ananilea Nkya (PhD) @AnanileaN
Human Rights Activist & Trainer on Media and National Development Issues|Tanzania's Woman of Courage Award Recipient 2010|TAMWA Executive Director 2001-2012 Joined March 2020-
Tweets2K
-
Followers53K
-
Following386
-
Likes468
Hiyo video iliyoambatanishwa na ujumbe huu "Huko Nairobi, Mzungu akicharazwa viboko baada ya kumuita pump attendant Nyani" nimeipata kwenye mtandao mmoja. Swali: 👉🏾Je ingekuwa ni wewe ungechukua hatua gani tofauti na hii waliyochukuwa hawa watu?
Leo #MariaSpaces tunajadili: Je genge la watekaji liko CCM? Nani analiendesha? Tumeona utekaji na utesaji unashika kasi huku kauli za viongozi wa UVCCM na CCM kuonyesha uhusika au kuonya kutenda uhalifu huu. Jeshi la polisi liko kimya! Nani yuko nyuma ya hii? Saa 2 uck leo
Ili kujenga taifa lako ni lazima ujenge taifa la watu wanaofikiri , watu wanaodadisi. Lakini taifa haliwezi kupata watu hao bila Tume Huru ya Uchaguzi ambapo viongozi watapatikana kwa ushindani @Goblesslema x.com/i/spaces/1eaKb…
Leo #MariaSpaces tunajadili: Uchafuzi au Uchaguzi 2025? #KatibaMpya tumeshindwa kudai? Mabadiliko ya sheria za uchaguzi inatupa ishara uchaguzi utakuwaje? Je tuendelee hivyohivyo bila #KatibaMpya ? Tunashindwa kuidai au tumeamua kushindwa? Leo saa 2 usiku USIKOSE!
Ndg RC Makonda,nimesikia ukisema kuwa mtaongeza ulinzi kwa watalii kwa kuweka Polisi wapanda baiskeli ktk Jiji la Arusha.Umeshawaza kuwa ktk Mataifa ambayo umepigwa marufuku kukanyaga kama USA na kwa Washirika zake kwa pamoja wanachangia zaidi ya takribani 70% ya watalii Nchini…
Happy birthday mpambanaji @frediejustine 🎉🎉🎊🎈 Mungu akulinde na waovu na wenye husda na akujalie maisha marefu yenye mafanikio na baraka tele! Keep shining and never let the Darkness in others dim your Light! ✊🏽
Watu 33 wapoteza maisha kutokana na mafuriko Pwani na Morogoro
#TANZANIA: MAJI YA BWAWA LA MWALIMU NYERERE YALIFUNGULIWA BILA KUTOA TAARIFA KWA WANANCHI - ZITTO "Shirika la @tanescoyetutz lilijua kuwa Bwawa la Mwalimu Nyerere linajaa na lazima maji yafunguliwe. Maji yalifunguliwa bila kutoa tahadhari kwa wananchi wa ‘downstream’. Serikali…
Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili jina jipya la 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi' lina uhalali wowote kisheria au ni mbwembwe & ulaghai wa kisiasa wa CCM tu?
#TANZANIA: Dkt. @AnanileaN afunguka mzito wimbi la vijana waliomaliza Vyuo Vikuu kujazana mitaani bila ajira, mbaya zaidi hadi waliopata mafunzo ya Jeshi nao wako mtaani, adai Serikali inatengeneza bomu la Nyuklia baadae litalipuka hasa ukiangalia kuna wimbi kubwa sana la ufisadi…
Leo #MariaSpaces tunajadili: #KatibaMpya na uwajibikaji - Utekaji, Maafa Rufiji, Ngorongoro Hata CCM wanajua kiu yetu kuhusu #KatibaMpya ya wananchi itakayoleta uwajibikaji! Je itatusaidiaje kuzuia na kuadhibu wahusika wa maafa Rufiji, utekaji na uporaji ardhi? Leo saa 2 uck
Katiba Mpya itaimarisha uadilifu, viongozi wanaochaguliwa na wananchi katika ngazi zote kuanzia Rais hadi mwenyekiti wa Kitongoji watalipwa mshahara. Hivi sasa ni Madiwani, Wenyeviti wa Serikali za Vijiji/Mitaa na vitongoji hawalipwi mshahara. Msikilize👇
Goli 1 = shs Milioni 10 Kiko wapi? Watawala wa warumi walisema wape wananchi mkate na sarakasi (burudani) - utawatawala kirahisi! Sasa mkate ni shida, burudani haifurahishi 😀 CCM wanalo! #TutaelewanaTu
Tunasheherekea Pasaka. Yesu amefufuka. Tuliombee taifa letu nalo lifufuke. Tuione Tanzania mpya ambayo keki ya taifa inanufaisha Watanzania wote na siyo kikundi kidogo cha watawala. Mungu ibariki Tanzania
Hussein Bashe akiwa Bunge kabla hajawa Waziri alisema kama CCM inashindwa kuishauri Serikali kwa ukweli haina sababu ya kubaki madarakani👇. Mimi naongeza kama CCM inashindwa kuishauri Serikali iandike Katiba Mpya haina sababu kuendelea kuongoza Serikali.
Leo #MariaSpaces tunajadili: Bandari, michezo, elimu, kila sekta - madudu au utani wa CCM? Tunaona nchi inaenda mrama na viongozi wakitoa matamko yaliyokosa weledi na hata kuambiwa kuwa tunataniwa! Je CCM inatutania nini? Au ni mbinu ya kufunika madudu? Tunatokaje? Leo saa 2 uck
“Rasilimali namba moja ya nchi ni viongozi bora wenye maadili. Na viongozi hao wanapatika kwa katiba yenye chaguzi bora na maadili mema ya viongozi na kuyadhibiti. — @AnanileaN #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/4ab3jMi
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo @NdumbaroDamas alipiga marufuku kuvaa jezi za @Masandawana na @AlAhly uwanja wa Mkapa timu hizo zitakapocheza dhidi ya @SimbaSCTanzania na @YoungAfricansSC na kwamba mashabiki hao wataingia uwanjani kwa kutumia passport. Masandawana…
DP WORLD HAWATAKI KUFANYA KAZI NA WATANZANIA, WANATAKA KUTUMIA MWANYA HUU KUINGIZA WATU WAO, POLENI WAFANYAKAZI WOTE WA BANDARI YA DAR ES SALAAM HAYA NDIO MADHARA YA KUWA NA VIONGOZI MATAPELI NA WALA RUSHWA.
"Tunashauri sana kuanzishwa kwa kanzi data ya taifa ambayo itaweka kumbukumbu ya wanawake viongozi katika kila eneo ili kuonesha hali halisi ya usawa wa jinsia," Dkt. Mzuri Issa Ali, Mkurugenzi TAMWA Zanzibar #MwanamkeNiKiongozi @SWILProject @NorAmbTZ
Godbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherMaria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Martin Maranja Masese @IAMartin_
502K Followers 2K Following MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum |Boniface Jacob @ExMayorUbungo
451K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberJohn Heche @HecheJohn
734K Followers 1K Following Member of chadema central committee. Former Member of Parliament ,Tarime rural constituency 2015- 2020.fatma karume aka Shan.. @fatma_karume
1.1M Followers 601 Following Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fightHilda Newton @HildaNewton21
849K Followers 1K Following ●MWANDISHI WA HABARI, ●MWENYE KITI BAVICHA (M) TEMEKE, ●RAIS WA TANZANIA 2045.Twaha Mwaipaya @Twaha_Mwaipaya
287K Followers 4K Following Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) Prison graduate 133 days in jail.John Pambalu @John_Pambalu
282K Followers 1K Following BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.Think Different @lifeofmshaba
420K Followers 3K Following #ChangeTanzania |#KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi | for activism contact via WhatssApp and Telegram +1 (862) 438-3337 |Personal Views| like Not upholding |Tito Magoti, PG @TitoMagoti
244K Followers 10K Following Bingwa. Attorney | Human rights | #NguvuMoja🦁Freeman Mbowe @freemanmbowetz
630K Followers 499 Following Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA & Chairman for DUAMdude Chadema @mdudechadematz
123K Followers 389 Following I'm back from prison. MDUDE PEOPLE'S VOICE (MPV). An Activist For Democracy and Good Governance. Tanzanian🇹🇿.Zitto MwamiRuyagwa Ka.. @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWoteThabit Jacob, PhD @ThabitSenior
104K Followers 4K Following Scholar, feather ruffler & lots of other hats. Political economy of devt, all things Energy, Extractives & more. ⚽️ junkie 🦁💙. Not necessarily in that orderTundu Antiphas Lissu @TunduALissu
742K Followers 307 Following Tanzania 🇹🇿 Presidential Candidate 2020 for @chadematz | Former President of the Tanganyika Law Society | Parliamentarian | Political Leader | SurvivorPatrick John Assenga @PatrickJAssenga
67K Followers 2K Following Mwenyekiti CHADEMA Jimbo la Segerea | Mgombea Ubunge Rombo 2020 | Diwani Tabata 2015-2020 |Richard Mabala @MabalaMakengeza
294K Followers 1K FollowingKumbusho Dawson Kagin.. @KumbushoDawson
190K Followers 1K Following Democracy must be built through open societies which shares information. When there is information there is enlightenment.Frank Bbd @FrankBbd49106
2 Followers 206 FollowingAbdul Marandu @AbdulMaran17188
2 Followers 97 FollowingFredrick Odongo @Fred718653870
0 Followers 396 FollowingFrank Frugence @FrankFruge94368
1 Followers 81 FollowingJames Yonah @yonah67483
27 Followers 82 FollowingAbdullah Ali @Abdulla81441036
6 Followers 262 FollowingFredy Mayemba @fredy_maye94398
4 Followers 232 FollowingBakari ali @Bakariali497670
0 Followers 94 FollowingJaphet Kembo @kembo_japhet
252 Followers 773 FollowingRichard Daniel @Richard82021044
23 Followers 167 FollowingMichael Buur @Mikeb19822020
2 Followers 94 FollowingKohelethi @aheadtheroad
22 Followers 225 Following Step into your light, it illuminates the path for others to shine too.ZEE LA KULEA @ZeeLAkulea
549 Followers 1K Following Insurance officer, Motivational speaker, critical thinker #mAmBoMenGimDaMcHaChE#Mohamed Ally @_mohamedally
53 Followers 540 Followingbartazar joseph @bartazar_joseph
3 Followers 138 FollowingBaba Ruu @baba_ruu
7 Followers 218 Followingzolarushaka rushaka @totalfootbal442
2 Followers 60 FollowingStephen Sylvester Lue.. @Stephanos2019
57 Followers 417 Followingisajodayo @isajodayo43558
49 Followers 548 Following[email protected].. @mpindamahamud
20 Followers 204 FollowingDeus Mshina @DMshina9
8 Followers 227 FollowingJoseph S. Peter @JosephSPeter1
75 Followers 376 FollowingChristopher Mbwiga @ChrisNMbwiga
17 Followers 354 FollowingHassan Said @HassanSaid77193
1 Followers 91 FollowingSaid Mlacha @SaidMlacha
3 Followers 125 FollowingJafari shageda @shageda90637
1 Followers 126 FollowingKitende Gabriel @KitendeG49550
4 Followers 198 FollowingMasudi @Masudi735385
16 Followers 280 Followingboniface ibunga @IbungaBoni12861
0 Followers 12 FollowingAyubu Ngimbudzi @ngimbudzi_ayub
393 Followers 2K Following Husband | Father | Medical Doctor | Specialising in O&GSuma Muddy @SumaMuddy123313
5 Followers 74 Followingangelo Paga @paga1230
2 Followers 81 Followinggodfrey kivumah @gkivumah
24 Followers 205 FollowingCharles Henry Stephan.. @CharlesHen88350
7 Followers 68 FollowingYosia Lema @yosia_lema
2 Followers 72 FollowingGodbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherMaria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Martin Maranja Masese @IAMartin_
502K Followers 2K Following MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum |Boniface Jacob @ExMayorUbungo
451K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberJohn Heche @HecheJohn
734K Followers 1K Following Member of chadema central committee. Former Member of Parliament ,Tarime rural constituency 2015- 2020.fatma karume aka Shan.. @fatma_karume
1.1M Followers 601 Following Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fightHilda Newton @HildaNewton21
849K Followers 1K Following ●MWANDISHI WA HABARI, ●MWENYE KITI BAVICHA (M) TEMEKE, ●RAIS WA TANZANIA 2045.Mfanyakazi Online Med.. @MfanyakaziNews
420K Followers 0 Following UKWELI NA UWAZI : : [email protected]Twaha Mwaipaya @Twaha_Mwaipaya
287K Followers 4K Following Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) Prison graduate 133 days in jail.Ayubu Madenge @ayubu_madenge
306K Followers 2K Following Dad|Friend|Citizen|Humble servant of the peopleJohn Pambalu @John_Pambalu
282K Followers 1K Following BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.Think Different @lifeofmshaba
420K Followers 3K Following #ChangeTanzania |#KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi | for activism contact via WhatssApp and Telegram +1 (862) 438-3337 |Personal Views| like Not upholding |Tito Magoti, PG @TitoMagoti
244K Followers 10K Following Bingwa. Attorney | Human rights | #NguvuMoja🦁Freeman Mbowe @freemanmbowetz
630K Followers 499 Following Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA & Chairman for DUAJoseph Mbilinyi @TheRealJongwe
401K Followers 154 Following Businessman/Former Member of Parliament for Mbeya Urban Constituency/Central Committee Member - CHADEMA/Legendary African Hiphop ArtistMdude Chadema @mdudechadematz
123K Followers 389 Following I'm back from prison. MDUDE PEOPLE'S VOICE (MPV). An Activist For Democracy and Good Governance. Tanzanian🇹🇿.Jebra Kambole @Advocate_Jebra
335K Followers 299 Following Law Guards Advocates, Criminal, Corporate and Civil Litigation lawyer. Togo Tower, kinondoni Business Only Call +255748334032Zitto MwamiRuyagwa Ka.. @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWoteTundu Antiphas Lissu @TunduALissu
742K Followers 307 Following Tanzania 🇹🇿 Presidential Candidate 2020 for @chadematz | Former President of the Tanganyika Law Society | Parliamentarian | Political Leader | SurvivorAdo Shaibu @AdoShaibu
62K Followers 1K Following Secretary General, Alliance for Change & Transparency (ACT Wazalendo)Holy @yose_hoza
154K Followers 32K Following Digital Manager | Media Strategic | Telecommunication EngineerSikilizaTogolani @SikilizaTogolan
54K Followers 0 Following Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake!Liberatus Mwang'ombe @Liberatus80
49K Followers 1K Following MP Candidate 2020 for CHADEMA. Human Rights Activist. Ujasiri. Uhuru. Umoja. Retweets aren’t endorsements. My tweets are protected by the First Amendment.Jukwaa la Katiba @JUKATA_Tz
1K Followers 165 Following The Official Twitter Account of Tanzania Constitution Forum/Jukwaa la Katiba Tanzania(JUKATA). JUKATA is a Non-Governmental Organization Based in Tanzania.Necto Kitiga @NectoKitiga
41K Followers 2K Following 𝗠𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲𝗸𝗶𝘁𝗶 𝘄𝗮 𝗕𝗮𝘃𝗶𝗰𝗵𝗮 𝗠𝗸𝗼𝗮 𝘄𝗮 𝗜𝗿𝗶𝗻𝗴𝗮 |𝗠𝗷𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶𝗮𝗺𝗮𝗹𝗶|𝐇𝐮𝐦𝐚𝐧 𝐑𝐢𝐠𝐡𝐭𝐬 𝐀𝐜𝐭𝐢𝐯𝐢𝐬𝐭Hilmi Hilal @HilmiHilal88
20K Followers 390 Following An activist: I fight for; The Sovereignity of Zanzibar & Tanganyika. Rights, Justice & Democracy. Proudly Zanzibari❤ +259Mzururaji✈ Dec 8🎂Mrisho Mpoto @MrishoMpoto
24K Followers 441 Following Official Account of the Africa's Number 1 Slam Poet. A StorytellerMWANAMAPINDUZI @MachumuKadutu
734 Followers 88 Following Askofu Maximillian Kadutu| Mwanamapinduzi wa Afrika| Mpigania Haki, Uhuru, Demokrasia na Maendeleo| Mwanasiasa|Mchambuzi na Mshauri wa Mambo ya Siasa.Tanzania Leaks @TanzaniaLeaks
68K Followers 121 Following Tanzania Leaks: Inform. Share. Embrace confidentiality. Whistleblowing. Tuna tunza siri. Inbox or Email Leaks: [email protected].Babii @yusufu3133
160 Followers 244 Following Biologists,teacher,medical laboratory scientist, clinician, Father of 2 kids & Entrepreneurstratton mushi @stratton_mushi
113 Followers 717 Followingsamweli kilua @SamweliKilua
35 Followers 253 FollowingKitila Mkumbo (PhD) @kitilam
145K Followers 763 Following Proud husband to Prosista, and Dad to Aggrey, Calvin and Abigail. MP- Ubungo Constituency, Minister President’s Office-Planning and Investment. Tweets mine!Boniface Mwabukusi @Mwabuk2Boniface
18K Followers 2K Following Advocate | father | husband. HUMAN RIGHTS. Tanzania🇹🇿 Politics Review. Busokelo.Jacques Bonjawo @JacquesNBonjawo
93K Followers 26 Following Tech entrepreneur, award-winning author. President & Founder @oicpole. Fmr Sen. Manager @Microsoft. Fmr president of AV University. Member @NetExplo.Hon Martha Wangari CB.. @HonWangari
194K Followers 1K Following Mother,Daughter,Sister,MP Gilgil and a servant of the people.Anna Tibaijuka @AnnaTibaijuka
29K Followers 29 Following Retired 1. UN Under Secretary General & 2. Executive Director UNHABITAT 3. Tanzanian MP and Minister.Shamira Mshangama @shummymshangama
22K Followers 810 Following Founder @mwanamkeuongozi / Vice President DARUSO 2016/17 / Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM TAIFA 2022-2027 / Women Empowerment championMAKONGOCHE ADAM @makongochea
4 Followers 96 FollowingRoseline K. Njogu, CB.. @roselinenjogu
35K Followers 2K Following Principal Secretary, State Department for Diaspora Affairs, Ministry of Foreign and Diaspora Affairs, Republic of Kenya. @diaspora_KE @ForeignOfficeKEDr. Raymond Omollo �.. @ray_omollo
50K Followers 1K Following Principal Secretary, State Department for Internal Security and National Administration-Kenya - https://t.co/oIdcWYs57ZHildaya - Makash @HildayaD
36K Followers 3K Following MISS TOURISM MBEYA 2020-2021: Former Miss TIA Inst @hildaya_de 👉#MtaliiMzalendo campaign aimed to promote domestic tourism in Tanzania. #MzuriRice ownerSharifaSuleiman @SharifaSul
8K Followers 187 Following Kaimu Mwenyekiti BAWACHA Taifa| Makamu Mwenyekiti BAVICHA -Zanzibar 2009-2014Faraja Kotta @FarajaNyalandu
302K Followers 1K Following Improving lives through learning opportunities @ShuleDirect @ndotohub | Chairlady @ten_met | Board Member @globaleducation @yglvoices | @WEF Young Global LeaderCharlene Ruto @charlruto
127K Followers 789 Following Youth Champion| PanAfricanist |Member of the Deaf Community (I sign in KSL)| Mama Bees 🐝 | Farmer | Founder & Patron@smachs_orgMalisa GJ @malisa_gj1
19K Followers 67 Following Human Rights Activist || Democratiae Defensorem || Simba SC Die Hard FanDr. Mohamed Osman, Ph.. @MohamedOsmanSom
39K Followers 5K Following Member of @NEC_Somalia & National Economic Advisor to Pres. @HassanSMohamud |Sub-Regional Rep @UN @UPEACE ME, Eastern & Southern of Africa| CEO @Sadar_InstituteEzekia Wenje @EzekiaWenje
2K Followers 227 Following Ezekia Wenje, is former member of Parliament of the United Republic of Tanzania. former Banker and country business manager at Nation Media group Tz office.MwanaHabari @MwanaHabariNews
63K Followers 47 Following Pata Habari za Kitaifa na Kimataifa Kwa Saa 24.Jenerali Ulimwengu @raiyajenerali
29K Followers 124 Following Official Twitter Page for Rai ya Jenerali Juzuu III, by Jenerali Ulimwengu. Launch Date - 6 Aug| Tweets are my own personal opinions| @jeneralionline hackedTanzania Abroad TV @AbroadTanzania
63K Followers 117 Following Online TV based Abroad , we retrieve different quotes of different leaders no matter when stated ..email us on [email protected]Cindy McCain @WFPChief
131K Followers 652 Following Mother, humanitarian, Arizonan. Now serving as the 14th Executive Director of the UN World Food Programme, @WFP.Rahma Hassani @rahma_hassani
36K Followers 4K FollowingOdo @NajjatOmar
44K Followers 2K Following @TheChanzo Journalist || Script Writer || Voice Over || Awards Winning Journalist.Katie Shoshiashvili @KShoshiashvili
19K Followers 925 Following Senior Corruption Researcher @Transparency_Ge. About democratization and foreign policy. Covering 🇬🇪, Слава Україні! Opinions mine https://t.co/eqyw4w7n2nIda Hadjivayanis @IdaHadjivayanis
4K Followers 562 Following Senior Lecturer in Swahili @SOAS Interest in #Africa #Africadiaspora #Education #Translation #Languages #swahiliatsoas𝙈𝙝𝙖𝙢𝙢�.. @MhamedKhamis1
127 Followers 489 Following Journalist | Bloger | Photojournalist | Communiction Officer|D.P in Journalism | B.A Journalism| M.A Media managment.Haki TV @HakiTV_
738 Followers 4 Following Tazama Haki TV kwa visa na taarifa za kuelimisha kuhusu sheria na haki za binadamu. Subscribe YouTube https://t.co/J9faSM0RSATanzania Agricultural.. @tadbtz
16K Followers 29 Following Tanzania Agricultural Development Bank Limited (TADB) is a state-owned development finance institution (DFI) established as an apex national-level bank.Lusajo Mwanyingili @LusajoMwan12693
136 Followers 674 FollowingNukta Africa @NuktaAfrica
2K Followers 662 Following We are a digital media company specialising in research, training and development of digital and data-driven news and tools. We ❤ data & digital storytelling.Union of Tanzania Pre.. @UTPCtz
2K Followers 439 Following Official Account for the Union of Tanzania Press Clubs | 28 Press Club Members all over Tanzania | [email protected] | FoE | ATI | Safety Of Journalists |VavagaaTanzania @VavagaaSoma
372 Followers 108 Following We are an online Talk Show focused on addressing contemporary issues in the community, particularly those that relate to women and their roles in society.Branding Tanzania �.. @tzbranding
16K Followers 3K Following A lifetime initiative established with a purpose to profile positive legacy & create compelling brand image on all aspects of 🇹🇿. #ProudlyTanzanianTanzania Private Sect.. @tpsftz
39K Followers 483 Following TPSF is an apex body of the private sector in Tanzania comprising of Business Associations,Corporate Organizations and Business Facilitating agents country wideLeo #MariaSpaces tunajadili: #KatibaMpya na uwajibikaji - Utekaji, Maafa Rufiji, Ngorongoro Hata CCM wanajua kiu yetu kuhusu #KatibaMpya ya wananchi itakayoleta uwajibikaji! Je itatusaidiaje kuzuia na kuadhibu wahusika wa maafa Rufiji, utekaji na uporaji ardhi? Leo saa 2 uck
More than 10 police invaded my place but I was not in the house. If anything is to happen, @SuluhuSamia and @tanpol bears primary obligation. Otherwise, this does not intimidate or stop me doing what I do, it’s lawful, it’s logical, it’s sensible and no threat can stop me.
Nipo na @mdudechadematz na @LusakoAlphonce Tunatafakari Madhila ya wakosoaji wa Bandari.Tunakuja na tamko la kina kuhusu ulaghai na uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam.Hatuta nyamaza mpaka tutakapo inusuru Bandari yetu.Hatuta ruhusu wazalendo kutiwa hofu.SAY TANGANYIKA
“Tusikubali ubabaishaji ambao unafanywa ili kuchelewesha #KatibaMpya. Tunatakiwa kupata #KatibaMpya bila kuchelewa” — @Mwabuk2Boniface #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/3TpnMaP
Wakati anatoa matamshi haya RC Arusha John Mongela alikuwepo na hakuona kama ni shida.Maana yake ni kwamba siasa za ubaguzi ndiyo ajenda yao kubwa.Ninaogopa sana mwelekeo huu mbaya unaofanywa na hawa wapumbavu.Ktk kauli yake nyingine alitamka hata siasa za ukabila kwa namna mbaya…
Malengo yangu kwa mwaka 2024 ni haya yafuatayo; 1. Kuhakikisha SHERIA inachukua MKONDO wake dhidi ya PAULINE GEKUL 2. Kuhakikisha WAKILI yeyote HAFUTWI UWAKILI, mimi nikiwa HAI 3. Kuhakikisha GENGE la wote WANAOONEA watu, LINADHARAULIKA kwenye jamii. Ee MUNGU NISAIDIE.
@AnanileaN Mtoto wako mm nitakuepo Haina Kurudi,Nimejiandaa Kwa lolote but najua safari imeshaanza na tutafika..#katibaMpya #TumeHuru #Sukari #Nauli #GharamazaMaisha Kwa ujumla..Nimenunua track mpyaa na sketchers ready to walk on this road to freedom✊GOD SPEED
Hivi Mataga & Machawa wanahali gani baada ya press ya Mhe. Lissu Hasa wale Machawa ambao walikuwa busy kuponda Maandamano ya Chadema na kumpamba Mhe. Lissu kwamba hatoshiriki Maandamano ndo maana yupo zake Ivory Coast. Maana Mhe. Lissu kawapiga na kitu kizito kwenye utosi 😂
Huu ni uongo! @SuluhuSamia ni Rais na Mwenyekiti wa Chama! Mbona Ndugai alimtoa bila shida? Kuwasingizia @JMakamba @mwigulunchemba1 na @KassimMajaliwa_ kuwa ndo wanakwamisha #KatibaMpya is just that KISINGIZIO! Ukweli ni kuwa hataki yeye na ikiwezekna anataka miaka 10 mingine!…
Kwa mlango wa nyuma SSH anadai wanaomkwamisha kupata #KatibaMpya na tume huru ni Makamba,Mwigulu na PM Katelefone kwa sababu ya maslahi binafsi ya urais 2030. Kwamba katiba mpya ikiwepo itakwamisha wao kupata vyeo wanavyotarajia. Maoni yangu naona SSH ndiye mkwamishaji namba moja
@godbless_lema Moja ya kitu huwa nakipenda sn kutoka kwako na nichakuigwa ni jinsi unavyoithamini sn familia yako na namna unavyompenda sn mke wako, unampa thaman KUBWA sn hata ktk maongezi yako niliyowahi kukusikia. Siyo wanaume wengi wanaoonesha waziwz ku appreciate wake zao. Chukua maua yko
Official statement from Chairman Freeman Aikael Mbowe "Chama kinatangaza maandamano ya amani ya kuishinikiza Serikali kuzingatia maoni na mapendekezo ya wadau mbalimbali wa uchaguzi nchini ambayo yataanza Dar Es salaam tarehe 24/01/2024 mpaka hapo Serikali itakapoondoa miswada…
IMHO - Without a clear path to a new democratic constitution, heading toward 2025 elections #Tanzania is closely looking at living out a 2007 Kenya scenario A deeply unpopular party blinded and led by myopic mediocre leaders think that brutal violent repression will help them…
@MariaSTsehai @MwanzoTvPlus Tupiganie tu Katiba Mpya. Chadema washawahi kushinda Halmashauri niliyokuwepo. Shida za ongezeko wa ushuru na kudai kwa vitisho wananchi walitamani heri wale wale CCM. Hata hawa Chadema hawatakua na nafuu yoyote kwetu. Dawa ni katiba mpya ili mamlaka yawe kwa wananchi.
Uteuzi wa Makonda na dhana ya historia hujirudia Nililazimika kukaa darasani kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita kufanya (PhD] kutafuta maelezo ya kisayansi, kibaolojia, kihistoria na kisheria ili kuelewa ni kwanini watu kama John Magufuli na genge lake wanaweza kuamua…
Huyu ndiye Jaji Robert Kisanga. Kabla ya 1993, ili uishtaki Serikali ulitakiwa uombe KIBALI toka kwa Serikali yenyewe! Kisanga akiwa Jaji wa Mahakama ya Rufani akasema hapana, 1993 akatoa hukumu kupitia kesi ya Kukutia Ole P. v AG ili Serikali ishtakiwe kama wengine…
Tanzania imefika pabaya. Watawala wetu watumie busara. Unaweza kutisha na kuua watu lakini hauwezi kuwanyang’anya kile wanachokiamini. Huu ni ujumbe tosha kwa Mamlaka. Msiwe kama Pharaoh ambaye aliziba masikio hadi pale vilio vilitamalaki ndani ya Misri.
Vile TEC wanamalizana na madhulmat na mafisadi wa kuuza bandari 😂 Sasa tangazeni kuwa Baraza zima la maaskofu ni wahaini kama nyie mahodari 🤣🤣 #TutaelewanaTu #OkoaBandariZetu