Talanta Mhanga @MhangaTalanta
Human Rights Activists. Music&Politics fun. Former Bavicha Secretary Mufindi. Minister in the Kingdom of God. Mhang.go.tz Mafinga,Iringa Tanzania. Joined August 2015-
Tweets10K
-
Followers64K
-
Following4K
-
Likes14K
Picha za matukio mbalimbali Mkutano wa Makamu Mwenyekiti Bara Mhe Tundu Lissu Mkoa wa Singida.
Sengerema now.
Maandamano ya amani Singida
Kazi nzuri sana kwa Walimu hawa, kazi yenu ni njema nilazima Wabunge Waheshimu wapiga kura, sasa Mbunge yupo ila Wanafunzi wanakarabati barabara. Mbunge wa Mufindi Kaskazini Kigahe kazi imemshinda.
Ni jambo la ajabu na aibu kwa serikali ya awamu hii kuwakamata watu kwa sababu wanatetea maslahi ya wananchi. Kama kuna vijana wanauawa na Polisi na hizi taarifa sio za kweli toeni vithibitisho na sio kukamata raia. Tunakosa uhuru kwenye Nchi yetu wenyewe. #FreeBoni #FreeMalisa
Aiseee Marehemu Ruge aliwahi kusema Ogopa Mungu na Teknolojia 😂
Msoma mmetisha sana. Hongereni Kwa mwitikio.
Tunalitaka jeshi la polisi kuwaachia @ExMayorUbungo & @MalisaGJ_ haraka sana. Hawa ni mashujaa wanapigania uhai wa Watanzania.
Maandamano ya amani mjini Geita yakiongozwa na mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @freemanmbowetz . #VuguvuguLaKudaiHaki #WikiYaMaandamano
Barabara za wilaya ya mufindi, Wilaya 02 kwa utajiri, Lkn hali ndio hii kila mahali. Mufindi kaskazini haina hata KM5 za lami licha ya utajiri wa kutosha. Mbunge wake Exaud Kigahe hajawahi kukanyaga jimboni hata kwa bahati mbaya ktk msimu kama huu ataonekana wakati wa uchaguzi.
Sio shamba ni bara bara ya Mafinga Mgololo.Bara bara mhimu katika kusafirisha mazao ya misitu.Shughuri zimesimama Kwa sababu wa uozo wa bara bara.wilaya ya 2 katika kuliongezea pato taifa. Naibu (w)viwanda na Naibu Uchukuzi wapo ila hawajali wanasubiria kuja kuomba kura 2025.😭
Asanteni sana Bariadi 🤝
Maandamano ya Chadema Jimbo la Bariadi muda huu.
Boniface Jacob @ExMayorUbungo
451K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberMaria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Martin Maranja Masese @IAMartin_
502K Followers 2K Following MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum |Hilda Newton @HildaNewton21
849K Followers 1K Following ●MWANDISHI WA HABARI, ●MWENYE KITI BAVICHA (M) TEMEKE, ●RAIS WA TANZANIA 2045.John Heche @HecheJohn
734K Followers 1K Following Member of chadema central committee. Former Member of Parliament ,Tarime rural constituency 2015- 2020.Twaha Mwaipaya @Twaha_Mwaipaya
286K Followers 4K Following Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) Prison graduate 133 days in jail.John Pambalu @John_Pambalu
282K Followers 1K Following BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.fatma karume aka Shan.. @fatma_karume
1.1M Followers 601 Following Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fightPatrick John Assenga @PatrickJAssenga
67K Followers 2K Following Mwenyekiti CHADEMA Jimbo la Segerea | Mgombea Ubunge Rombo 2020 | Diwani Tabata 2015-2020 |Think Different @lifeofmshaba
420K Followers 3K Following #ChangeTanzania |#KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi | for activism contact via WhatssApp and Telegram +1 (862) 438-3337 |Personal Views| like Not upholding |Freeman Mbowe @freemanmbowetz
630K Followers 498 Following Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA & Chairman for DUATito Magoti, PG @TitoMagoti
244K Followers 10K Following Bingwa. Attorney | Human rights | #NguvuMoja🦁Mchokozi !! @OleMtetezi
353K Followers 686 Following Mwenyekiti Wa Umoja Wa Kizazi Cha Kuhoji Twita//Trust Me Iam Everything Ur NotKumbusho Dawson Kagin.. @KumbushoDawson
190K Followers 1K Following Democracy must be built through open societies which shares information. When there is information there is enlightenment.CPA Catherine Ruge (M.. @CatherineRuge
155K Followers 2K Following UN -empower women champion for change. Secretary General for CHADEMA Women Wing . Former Member of Parliament of UR of Tanzania 2017-2020Moyo wa TAIFA ™️ @bajabiri
408K Followers 41K Following 💥BA,MA-IDS,UDSM| 💥Street SOUL|JUST FIT STORES' BRAND AMBASSADOR & Marketing Manager|M/kiti Chama Cha Wanafki 😀Jon Mrema @JonMrema
205K Followers 1K Following Chadema Director for Communications and Foreign Affairs .NTOBI @Ntobi_
66K Followers 3K Following Concerned Citizen || Ngokolo Ward Councilor 2015-2020 || Banker || Activist || UDSM Alumni || Chairman of CHADEMA Shinyanga Region || WhatsApp +255 715 956595Vitus Nkuna @VitusNkuna
88K Followers 2K Following Mwanachama, Mpenzi na Mfuasi wa @Chadematz. ||Ex- Katibu wa Bavicha Iringa.|| Next Kyerwa MP-2025 |I M4C || Tuilinde kwa wivu Chadema✌️Stephen Sylvester Lue.. @Stephanos2019
57 Followers 417 FollowingNgusa Singili @ngusa55895
1 Followers 57 FollowingTime Of My Life ✨ @Abusalama_3
1K Followers 4K Following kama Unashindwa kuwa Daraja Kwa Mtu Kuvukia Basi Isiwe Uzio Kwake.📌NJIWA PORI @njiwa_pori
17 Followers 123 FollowingEzekiel Kimario @Mshua50000
12 Followers 216 FollowingHaki iheshimiwe @KimaroCath95717
57 Followers 334 FollowingDenis Davis @davis_deni79135
5 Followers 254 Followinginterested boy @amedesaimo49706
5 Followers 99 FollowingHassan @BAbashur
325 Followers 2K Following Peace be with You// @Arsenal //@YoungAfricanSc// Motor Grader Operator.FRANK SIMEO(MTUMISHI .. @FrankSimon57180
81 Followers 726 FollowingNeema Boniface @NeemaBonif95882
1 Followers 141 Followingsaidsaid @saidsai81374930
16 Followers 193 FollowingSijo damson @sijo_damson
45 Followers 573 FollowingRevlin Mbugi @Revline_2109
152 Followers 142 Following Mratibu wa uhamasishaji CHASO UDSM,Mwenyekiti BAVICHA Jimbo la Kilolo.January Kaganga @january_ka76997
13 Followers 192 FollowingMr kavindi @Kasavaga50
427 Followers 2K Following Son of peasants//Udsm Alumni//Economics Teacher//@Yanga 1935supporter//Iringa//ukabila na udini huua utaifa mpaka uchumi wa taifa.Félicien NDAHABONIMA.. @FlicienNDA28964
46 Followers 249 FollowingSelemani Jilya🇹�.. @JilyaSelemani
115 Followers 782 Followingmshana @mshana43362954
54 Followers 257 FollowingSamwel Noah @NoahSamwel98315
21 Followers 255 FollowingMSLegalAidCampaign @MsLACampaign
198 Followers 464 Following Kampeni ya utoaji huduma ya Msaada wa Kisheria kwa wanyonge iliyopewa jina la Mama Samia legal Aid Campaign.Catherine Msanze @CMsanze2759
2 Followers 81 FollowingERICK MKAMBA @ErickMkamb14843
69 Followers 625 Followingjose malamso @jose_malam53918
11 Followers 369 Followingobio_matunda🇹🇿 @OvinSwai61574
25 Followers 270 Following risk taker. teacher by professional but now I'm young interprenuer. Shuduz C.E.OFrancis Katembwe @FrancisK54875
188 Followers 1K FollowingPetro Maro @petromaro13
6 Followers 114 Followingjakarandantobo @jakarandan85412
2 Followers 96 FollowingDavid Kiya @DavidKiya3534
2 Followers 111 FollowingRodern Kikoti @k_kikoti
129 Followers 626 FollowingSperatus Thodorius @thodorius95324
1 Followers 200 Followingmaulino Mgaya @MaulinoMga9308
4 Followers 2K FollowingElisha Mange @MangeElish93342
44 Followers 791 Followingmkorea @mwanasheria123
343 Followers 189 FollowingWaziri Seph Ramadhani @SephWaziri
44 Followers 429 Following NAIBU WAZIRI WA MIKOPO NA USTAWI WA WANAFUNZI UDSM KATIBU UHAMASISHAJI NA CHIPUKIZI UVCCM KATA YA MNAZI MBUNGE DARUSO MLIMANI BALOZI WA HESHIMA UVCCM UDSMJohn Boniphace @JohnMuhongo088
98 Followers 389 FollowingIbrahim Mrisho @IbrahimMri84366
4 Followers 386 FollowingAmos Masalu @AmosMasalu14600
3 Followers 231 FollowingElieth Anatory @anatory78825
0 Followers 40 FollowingSamuel willium @KikaSamwel29135
58 Followers 638 FollowingAfrica Child Foundati.. @child_tanz85275
1 Followers 64 FollowingSephania mawawa mwash.. @SephaniaM31564
8 Followers 101 FollowingWASAFIRI TANZANIA @wasafirtanzania
13K Followers 743 FollowingJi OG @kasubi22
18 Followers 358 Followingally shabani @allyshaban2754
3 Followers 188 FollowingGodbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherBoniface Jacob @ExMayorUbungo
451K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberMaria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Martin Maranja Masese @IAMartin_
502K Followers 2K Following MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum |Hilda Newton @HildaNewton21
849K Followers 1K Following ●MWANDISHI WA HABARI, ●MWENYE KITI BAVICHA (M) TEMEKE, ●RAIS WA TANZANIA 2045.Mfanyakazi Online Med.. @MfanyakaziNews
420K Followers 0 Following UKWELI NA UWAZI : : [email protected]John Heche @HecheJohn
734K Followers 1K Following Member of chadema central committee. Former Member of Parliament ,Tarime rural constituency 2015- 2020.Twaha Mwaipaya @Twaha_Mwaipaya
286K Followers 4K Following Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) Prison graduate 133 days in jail.John Pambalu @John_Pambalu
282K Followers 1K Following BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.Ayubu Madenge @ayubu_madenge
306K Followers 2K Following Dad|Friend|Citizen|Humble servant of the peoplefatma karume aka Shan.. @fatma_karume
1.1M Followers 601 Following Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fightMdude Chadema @mdudechadematz
123K Followers 389 Following I'm back from prison. MDUDE PEOPLE'S VOICE (MPV). An Activist For Democracy and Good Governance. Tanzanian🇹🇿.Joseph Mbilinyi @TheRealJongwe
401K Followers 154 Following Businessman/Former Member of Parliament for Mbeya Urban Constituency/Central Committee Member - CHADEMA/Legendary African Hiphop ArtistPatrick John Assenga @PatrickJAssenga
67K Followers 2K Following Mwenyekiti CHADEMA Jimbo la Segerea | Mgombea Ubunge Rombo 2020 | Diwani Tabata 2015-2020 |Think Different @lifeofmshaba
420K Followers 3K Following #ChangeTanzania |#KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi | for activism contact via WhatssApp and Telegram +1 (862) 438-3337 |Personal Views| like Not upholding |Freeman Mbowe @freemanmbowetz
630K Followers 498 Following Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA & Chairman for DUALubasha Jr @MarekaMalili
621K Followers 2K Following |Digital Consultant | |Baba Maggie & Gian |Youth Development| |Parenting| |Financial Literacy| |#ManU #LBJLoyalKnight|Dr. Hamisi Kigwangall.. @HKigwangalla
1.2M Followers 661 Following #HK is a Member of Parliament for Nzega Rural. Former Minister for Natural Resources and Tourism. Former Deputy Minister for Health. Former Chair, TAMISEMI.Mwananchi Newspapers @MwananchiNews
1.0M Followers 301 FollowingTito Magoti, PG @TitoMagoti
244K Followers 10K Following Bingwa. Attorney | Human rights | #NguvuMoja🦁Joramu Nkumbi @NkumbiJoram
48K Followers 320 Following Author 6 Books AMAZON 📚📚=| MBA | MLUMBI I Leadership Expert /John 15:16 IMC | Trainer-0757464874 MD:AYLF and PLO Lumumba Foundation SUB YOUTUBE —Joramu NkumbiFortunatus Buyobe @fbuyobe
93K Followers 829 Following Pool of thoughts. A commander of the hand to mouth battalion. Environmental Pioneer. Social Engineer. #CertifiedMchapaUzi . Telegram: https://t.co/aEEOOryJWOAMRI IFX @amrisaly
10K Followers 89 Following 📄Professional forex trader | CEO & founder @IntelligenceFx 👇Become a profitable traderHaki bin haki @AnthonyAlo33415
353 Followers 789 Following procurement specialist/ founder egemeo business/ entrepreneur/dad / servant of servants , I accomplish what others can't, go where others can't . liberal.Christina shusho @ShushoChristina
57K Followers 10K Following Gospel Artist | Song writer | Host: Hekima za Bitina | CEO-Relax | Founder- The dreamers centre |Balozi wa Mazingira 🇹🇿Irene Lema @Irene_Lema1
1K Followers 171 Following Mgombea Ubunge (VM) Mkoa wa Kilimanjaro || Katibu wa Mbunge Mhe Freeman Mbowe || Mjumbe- Mkutano Mkuu Taifa || CEO BINTI MSAFI FOUNDATION ll Child of GodChristian Lema @ChristianL71419
98 Followers 438 FollowingDaniel Godfrey Chongo.. @chongolo_daniel
20K Followers 9 Following Mkuu wa Mkoa wa Songwe na Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)EMMA A KIMAMBO @Emmakimambo1
2K Followers 2K Following Chairperson CHADEMA youth Wing Arusha Region//Activist//Married//mother//Photographer//Simba fanFOR SURE! @Ponge_Bromine
5K Followers 2K Following BETTING | SPORTYBET | MEGA PARI | 1XBET | BETPAWA | FREE TIPS DAILY 🌏PT @PaschalTemu
10K Followers 4K Following You can’t change people if you don’t change their environment 💭DStv (TZ) @DStv_Tz
21K Followers 144 Following Tanzania's top entertainment destination. FOLLOW us for the latest entertainment & programming news. https://t.co/rU3sm4I7M6 https://t.co/7gkxCCq50Cdeogratious Mwananzic.. @deogratiousMwa1
279 Followers 562 FollowingKIRIKUU✏️ @Kirikuu20
247K Followers 2K Following Graphics Designer &mr. AI //My posts are real and they’re spectacular//cartoonist// If you’re funnier than me,I will block you.KANISA KATOLIKI TANZA.. @TEC_kurasini
4K Followers 8 Following Ni Ukurasa wa twitter wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania. Pia Tunapatikana katika Youtube,Facebook na Instagram kwa Jina la Kanisa Katoliki Tanzania TECAdui Wa Yanga @Aduiwayanga
176K Followers 376 Following MATANGAZO KWA BEI YA PUNGUZO NJOO DM Die fan for @SimbaSCTanzania and @ChelseaFC Gracias💕💕💕Imani Luvanga @Imaniluvanga
5K Followers 766 Following Award winning Journalist | Digital rights advocate and gender justice activist | Founder - @digitwithimaniTutuvengele1 @MussaMartin14
2K Followers 1K Following DIWANI 2015-2020 | MBUNGE WA WANANCHI 2020 | MJUMBE KT KANDA YA MAGHARIBI|Gwangway Ole yohani @gwangwayyohani
3K Followers 226 Following Investigative Journalist/ Freelance journalist/Digital storyteller/ 4 Times Winner of Excellence of Journalism Awards in Tanzania (EJAT)Ishengoma Irene @IshengomaIrene
18K Followers 2K Following I am a solution|Women Football Welfare #sokalawanawaketz 🇹🇿|#AmaniHuanziaNyumbani|Online Safe Space| I work @globalpeacetz | Maisha Plus 2nd runner 2016.Naipamei Kaikai @Kaikainaipaa
9K Followers 3K Following |CEO Youth Champions for SDGs 🇰🇪|Natural Resource & Monetary Economist|REWAM Consultancy|Carbon Credit|International Youth SDGs Parl|Vee Kimwanya @VeronicaEvord1
60K Followers 884 Following I Depend On ze Strenght of God Always✊ //Yeremia 17:7♥️Irene Killenga @IreneKillenga
6K Followers 197 Following A Senior Journalists On Air Personality Host Joto la Asubuhi News Anchor Narrator @Efm Radio & TV E TanzaniaEmilia Savannah @emilia_savannah
24K Followers 3K Following Ice cream 🍦| kind heart ❤ | Netflix fun 📺 | Foodie 🤗| Don't break my heart 💔| cat lover 🐈Jukwaa la Katiba @JUKATA_Tz
1K Followers 165 Following The Official Twitter Account of Tanzania Constitution Forum/Jukwaa la Katiba Tanzania(JUKATA). JUKATA is a Non-Governmental Organization Based in Tanzania.Binti Mansour @misshuwely
7K Followers 630 Following Ig @Naa_tastycakes fresh,yummiest cakes I bake with love😊 kuna delivery (juu ya mteja) decorated cake order zake napokea siku mbili or moja kabla.[email protected].. @GODIANISTANSLA2
1K Followers 4K FollowingEkania Dunstan @DunstanEkania
78 Followers 628 FollowingEliya Kibola @KaratuYetu
79 Followers 473 FollowingAnko J. @IamMborrow93
7K Followers 1K Following Content creator ✍🏽, MD 👨🏽⚕️/Entertaining/Article/Joke/Believer.♎♑🧔🏻♂️ #Chelsea #Yanga.DCI KENYA @DCI_Kenya
1.7M Followers 113 Following Official Twitter Account for The Directorate of Criminal Investigations-Kenya. Mazingira Complex,Kiambu Road. P.O BOX 30036-00100 GPO. Email: [email protected]Lightness Mhagama @LightnessM13984
119 Followers 80 FollowingOLESANGAU NGOTIEKI @RealChangeTZ
400 Followers 2K Following THE FUTURE IS YOUTH. KEEP UP A GOOD FIGHT. CHEMISTRY AND ICT EXPERT. BELIEVING THAT AGRICULTURE CAN BRING CHANGE IN OUR LIFEJohmakini @JohMakini
211K Followers 236 Following #Formula feat.Bien & Jay melody https://t.co/vAJdtz2iVlwachumathew @wachumathew0
1K Followers 1K Following UHURU HAKI NA MAENDELEO YA WATU.🇹🇿KATIBU MWENYEKITI WA BARAZA LA VIJANA KATA.( BAVICHA)tedy jackson @tedyjackson3
24 Followers 114 FollowingHistoria Yetu @HistoriaYetu
34K Followers 0 Following Ukurasa kuhusu historia ya Tanzania. Kabla na baada ya uhuru. Tundikie 📧- [email protected]Albertinho 77 @mhigoalbert
937 Followers 2K FollowingLion Heart @LionHea20248265
81 Followers 167 FollowingPicha za matukio mbalimbali Mkutano wa Makamu Mwenyekiti Bara Mhe Tundu Lissu Mkoa wa Singida.
Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. @TunduALissu akiongoza maandamano ya amani Babati Mjini.
Ni jambo la ajabu na aibu kwa serikali ya awamu hii kuwakamata watu kwa sababu wanatetea maslahi ya wananchi. Kama kuna vijana wanauawa na Polisi na hizi taarifa sio za kweli toeni vithibitisho na sio kukamata raia. Tunakosa uhuru kwenye Nchi yetu wenyewe. #FreeBoni #FreeMalisa
Aiseee Marehemu Ruge aliwahi kusema Ogopa Mungu na Teknolojia 😂
Msoma mmetisha sana. Hongereni Kwa mwitikio.
Tunalitaka jeshi la polisi kuwaachia @ExMayorUbungo & @MalisaGJ_ haraka sana. Hawa ni mashujaa wanapigania uhai wa Watanzania.
NjombeYetu, FahariYetu... #SisiNiWaleTunaopiganiwaNaBwana
Muda huu nikisababisha naoma hapa GEITA watu wapo tayari kwa maandamano.
Barabara za wilaya ya mufindi, Wilaya 02 kwa utajiri, Lkn hali ndio hii kila mahali. Mufindi kaskazini haina hata KM5 za lami licha ya utajiri wa kutosha. Mbunge wake Exaud Kigahe hajawahi kukanyaga jimboni hata kwa bahati mbaya ktk msimu kama huu ataonekana wakati wa uchaguzi.
Sio shamba ni bara bara ya Mafinga Mgololo.Bara bara mhimu katika kusafirisha mazao ya misitu.Shughuri zimesimama Kwa sababu wa uozo wa bara bara.wilaya ya 2 katika kuliongezea pato taifa. Naibu (w)viwanda na Naibu Uchukuzi wapo ila hawajali wanasubiria kuja kuomba kura 2025.😭
Asanteni sana Bariadi 🤝
Tukisema Mufindi hakuna barabara Wabunge wa CCM kutoka Mufindi wanabisha,sasa juzi Naibu Waziri David Kihenzile (Mb) akatukuta site, zoezi ni kuvuta magari yaliyokwama. Kihenzile aligeuza gari yake speed 180 kurudi alikotoka (Picha ya kwanza).Akatuachia shida zetu Jimboni kwake.
Maandamano ya amani Bukoba Leo hii. Chadema ni tegemeo la Wananchi wengi Wa Tanzania.
Haya maandamano ninayo hakika mpk sasa yamekuwa na impact kubwa sana kwny mioyo ya WaTz weng, Kuna siku kila mtu atashuhudia hapa, na naawahakikishia CCM watatoka madarakan either kwa kupenda ama kwa nguvu ya umma lkn sio kututawala Tena 2025 Tumechoka. #MaandamanoYaAmani #Bukoba
Kheri ya kuzaliwa Wakili msomi @AdvMatata
Leo mdogo wangu @majora_arts ameniletea zawadi ya picha. Ukitizama kwa haraka huwezi kujua kama ni picha ya kuchora. Hakika @majora_arts ana kipaji cha pekee katika uchoraji. Kwa kutumia penseli tu amefanya kazi hii bora na ya kupendeza. Ni wazi kuwa mkono wake unaongea kwa…
Nasubiri ONYO Kutoka kwa Jaji mstaafu Francis Mutungi ambae ni msajili wa Vyama vya Siasa, UVCCM wa Bukoba kasema watapoteza watu na akawaambia Polisi wasiwatafute. Mpka saa hii 15:40 sioni ONYO KWA CCM why?!